Kabisa
 

Kwanza, kosa lako ni kunielezea kama vile unanifahamu.
Hujui background yangu, kiwango changu cha ufahamu, wala nilichowahi kusoma, lakini unakurupuka kunipa presha za “go and read X.”
Hiyo ni presupposition isiyo na msingi.

Pili, unanipachika label ambazo sijasema.
Mimi si Atheist, na wala sijaweka identity yoyote ya imani hapa.
Umejijengea picha halafu unataka niingie humo.
Siendi huko.

Tatu, unaposema “sitakuelewa”…
Una data gani juu ya uwezo wangu wa kufikiri?
Cognitive ability haipimwi kwa hisia zako tu.

Na kabla hujaniletea lecture nyingine zisizokuwa na mantiki, hakikisha walau hata Level hii umeshaivuka;

1. Ego and The Id cha Sigmund Freud.

2. Man and His Symbols cha Carl Jun.

3. Sapiens cha Yuval Noah Harari.

4. The Art of Thinking Clearly cha Rolf Dobelli.

5. A History of God cha Karen Armstrong.

6. The Varieties of Religious Experience cha William James na —

7. The Origins of Religious Belief cha Pascal Boyer.
 
I stand to believe that Jesus walked on water;this is what the bible says.Revelation should not be confused with material things mentioned in the story(ie the boat,,peter,and the whilding wind)
 
 
Wale atheists
Nauliza
1. Uhai ulianzaje kwa mara ya kwanza?

-Je, inawezekana kitu hai kitokane na kitu kisicho hai bila mpangilio wowote?
-Kitu gani kilisababisha chembehai ya mwanzo?

2. Nini chanzo cha sheria za fizikia?
-Gravity,quantum rules zilitoka wapi?
- Kwanini ulimwengu unaonekana una mpangilio?

3. Kwanini kuna kitu badala ya hakuna kitu?
- kwanini kuna ulimwengu badala ya kutokuwepo kabisa?

4. Je namba na mantiki ( logic & mathematics) ni halisi au mawazo tu?
- kama ni mawazo tu kwanini hufanya kazi kila mahali ulimwenguni?
-kwanini ulimwengu unatii hesabu zilezile?

5. Asili ya maadili ( morals) inatoka wapi?
-Nini kinaamua mema na mabaya?
- kwanini kuua , kuiba au kudhulumu ni vibaya kwelikweli?
 
Maswali mazuri ila nahisi Atheist wengi wa humu ni flat earths sidhani kama wana amini kwenye gravity, na wanao amini watakuja na maswali yao ya ajabu mara umejuaje kama ulimwengu unachanzo, yani ni vyepesi wao kuamini ulimwengu hauna chanzo ila wanahoji inakuaje mungu yupo tu alitokea wapi
 
Nasubiri waje na maswali mengine pia.
 
Hahahaha ila fact tupu
Ngoja tumskie atakuuliza swali Gani.
Mtu haumbwi anazaliwa na mzazi wake fact kabisa.
Hili huwa ni jibu la ajabu sana huwa nashangaa , nisawa na kumuuliza mtu maharage yametoka wapi anakwambia yamevunwa, kuzaliwa ni kutoka sehemu sio chanzo cha wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…