Wewe ndiye tunaye kuonea huruma uko Brain washed mna muamini mungu asiye kuwepo

Mungu wa haki na mwenye upendo Kwa watu wote Alikuwa wapi wakati watanzania walipo kuwa wanauliwa Tarehe 29 ,

Wafia dini mnaujinga mwingi sana 🤣🤣🤣
Alikuwepo anaangalia
Hayo yote ni Kwa sababu hawamtii Mungu
Walishepewa option ya hayo kutotokea
Kama Kiongozi angesikiliza Sauti ya Mungu yenye ujumbe ndani yake.

Mungu hapendi haya yatokee
Binadamu kwa ujinga wao wanafanya yatokee
 
Bi
From bible
Bible ni kitabu tu Cha fiction story za kale kwaajili ya kuwa monitor watu ili JAMII iweze kuwa na power imbalance nothing else
Alikuwepo anaangalia
Hayo yote ni Kwa sababu hawamtii Mungu
Walishepewa option ya hayo kutotokea
Kama Kiongozi angesikiliza Sauti ya Mungu yenye ujumbe ndani yake.

Mungu hapendi haya yatokee
Binadamu kwa ujinga wao wanafanya yatokee
Binaadamu Kwa Ujinga wao Wana fanya yatokee !? Ina maana binaadamu Wana nguvu kubwa kuliko mungu !?

Kwanini mungu asinge tumia uweza wake wa yote aloo nao kuzuia Yale mauaji !?

Huyo mungu wenu mbona ana shangaza sana !?
 
Ndio
Fear cause a person to be in lower dimensions
Walking on water breaks basic physics.
Mass, gravity and surface tension hazijali hisia, imani wala ujasiri wako.

Don’t hide impossibilities nyuma ya mashairi ya imani.

If something can happen, it can be measured, repeated and demonstrated, If it can’t, Inabaki story tu.
 
Looh salaleee, kumbe mbinguni, ni hali ya moyo wangu,

Dunia simama nishuke, moyo ukiteseka na maumivu ni kuzimu tosha, lakini moyo ukitulia na kuwa na amani pamoja na furaha ni peponi tosha,

Heaven is the state of heart.
 
Reason kills faith amigo.

Faith was invented before reason,
Imani ni mtoto wa Mungu na sababu ni mtoto wa sayansi, hivyo hawawezi kuendana sura na tabia.
 
Looh salaleee, kumbe mbinguni, ni hali ya moyo wangu,

Dunia simama nishuke, moyo ukiteseka na maumivu ni kuzimu tosha, lakini moyo ukitulia na kuwa na amani pamoja na furaha ni peponi tosha,

Heaven is the state of heart.
Heaven isn't just a state of mind.
There is no heaven at all.

Heaven haipo, haikuwahi kuwepo na haitakuja kuwepo.
 
Reason kills faith amigo.

Faith was invented before reason,
Imani ni mtoto wa Mungu na sababu ni mtoto wa sayansi, hivyo hawawezi kuendana sura na tabia.
Ukweli haujali nani alianza au nani alichelewa, Unachojali ni uthibitisho tu.

Kitu ambacho hakiwezi kupimwa, kurudiwa, wala kuonyeshwa, hakiwezi kutoroka ukweli kwa kujificha kwenye hadithi za kusisimua.
 
There is no heaven.

Ukisema heaven is the state of mind ni kama unajifanya deffensive mechanism.

Heaven haipo, haikuwahi kuwepo na haitakuja kuwepo.
Mwili ukitenda ubaya unajihisi wenye hatia na moyo huchukua jukumu la kuadhibu mwili

Na ikatokea mwili ukatenda wema basi na moyo utaupa mwili amani, na furaha

Hivyo ndivyo wachungaji walivyoamua kutenganisha mbingu na ardhi,

Jf kungekuwa na space inayoruhusu mazungumzo ningehakikisha hili jambo linaeleweka Kwa namna inavyostahili,

Bibilia ni kitabu kinachoeleza historia ya mapambano kati ya mtu(roho) na mwili(animal nature)

Mtu wa kwanza alikuwa Adam, haikuchukua muda mrefu kabla ya kushindwa na mnyama(mnyama)

Wamekuja watu na watu lakini Bado imekuwa ni ngumu kwao kuweza kumdhibiti mnyama(mwili) au Kwa jina lingine shetani kama inavyotakiwa na shetani mara nyingi amekuwa anashinda vita, ni Christ pekee, ndiye aliyeweza kumfanya shetani akawa malaika





Hivyo hii vita siku zote hukumu yake hutolewa na moyo, Kwa maana ndio mbingu yenyewe
 
Fairytale
 
Kwanini mungu asinge tumia uweza wake wa yote aloo nao kuzuia Yale mauaji !?
Huyo mungu wenu mbona ana shangaza sana !?
Heee! Basi mtataka ata wake zenu wakiwa wnashonwa gesti Mungu akawatoe mkuku kwamba wana ndoa zao😂

mwizi naye akija kuiba Mungu amkimbize!!

Tuna free will, mambo yalibadilika tu shetani alipoingia, una uwezo wa kuchagua wema au ubaya

Pia aombaye hupewa ukitaka kitu unakuomba kwa kumaanisha utapewa, wala hizi kejeli hazikufanyi kuwa mr perfect, unaishia kukufuru kwa jambo usilolijua..

Amini tu kama ubaya upo basi na wema upo! Kama shetani yupo na Mungu yupo!

Mkiongelea fiction,mkiongelea Yesu sijui ni fictious character mnakosea kwa sababu wengi wetu apa ni millenious na gen z hakuna alokuwepo,huo ujuaji wenu pelekeni mahala pengine uko mkajenge nchi, kweli mageneous wapo ila sio wa kiwango cha kutunga bible, tutadanganyana!!

Nyie ni viumbe vya aina gani mnaamini hakuna kitu cha kutuongoza kwneye njia sahihi, unataka kusema hatima yako unajipangia mwanzo mwisho hakuna mtu juu yako? Hmm jishusheni vijana! Huu ujuaji mlokuja nao hivi karibuni sio mchezo..!
 
Mkuu nashindwa kuelewa kwanini unaiita vita.
Hiyo si vita, ni psychology ya binadamu.
Ukifanya kitu nje ya instincts zako unahisi guilty.

Kumbuka, kuna watu wanafanya mambo ambayo kwako si sahihi, lakini wao wakifanya wanafeel just fine, ila sasa kwakuwa wewe huumizwa ukifanya hivyo bhasi unafikiri hata wao pia huumia wanapofanya hivyo (Projection D.M).

Kila mtu hufanya kile ambacho roho yake (tabia, conditioning, personality) inamtuma. Hii inaundwa na malezi aliyolelewa (dini, siasa, elimu), watu waliomzunguka, taarifa anazopokea mara kwa mara na wakati mwingine ego tu.

Lakini pia mtu wa kwanza si Adam, na mwili si shetani, na Biblia si reference sahihi kwenye hoja za psychological structure.

Umedai watu wa dini walijaribu kuzungumzia three dimensions (mwili, akili, roho) katika muundo wa kiimani, lakini hapo umejikuta umechanganya myths na biology.
 
Naam👍
 
Nani kakwambia tuna free will?
 
Wewe ni atheist kijana, unachanganya reason na faith, and to you reason makes sense while faith seems nonsense,

Huwezi kunielewa, and you miss a lot of subjects, focus on philosophy, theology, philology and literature, plus history kama bonus, kidogo tutaelewana..

Mwili una sifa ya kutoa maisha, na ndani ya haya maisha chochote kinaweza kuhifadhiwa Kwa sura na mfano wa mwili, mtu na Mungu ni wageni kwenye nyumba ya bwana sokwe,

Na siku ikatokea mwili ukakaribia kupoteza maisha, basi atatangulia mtu kuondoka, Kisha utafuata mwili,

Maisha hutoa nafasi ya chochote kuishi ndani yake, and most of those who understand this, including priests, they went on creating man so as to reside in apes palace.

Sisi wanyama tulichokuwa nacho ni silka tuu, na maisha yenyewe, ila fikra na mawazo yetu ni vitu ndani ya maisha,

Kuna vitu vinaelezeka Kwa kinywa ila haviandikiki, msamehe Mimi Bure, anasahau haraka sana maana ndivyo alivyojengwa, anaishi kama mtoto, asipoongea linakuja jambo lingine ambalo halimruhusu kukumbuka la awali,

Mtu ana sifa ya ubishi, kwakuwa ana ukaribu sababu, pamoja na Mimi,
Mtu anapenda ukweli, na akihisi anafahamu ya ukweli basi atamualika sababu na atakuja kama Mimi, yote ni kuonyesha kuwa amepata ukweli

Mtu anabadilika, ni Mimi ndio humchelewa kutokana na kujisikia tuu kwakuwa ana ukaribu na mnyama,

Sababu asikulaghai kuwa anafahamu ukweli, kwanza hakuzaliwa hapo anapoishi, kinachompa jeuri ni Kwakuwa mtu alimualika kama tabibu, baada ya Imani kudhohofika,
Na tangu afike amekuwa akimdanganya mtu kuwa hajawahi kuzingumza uongo, na mtu kinamweka sana Kwa sababu ni kivuli Cha Imani kinamsumbua, mpaka kupelekea kumuamini sababu
 
Fiction story

How do you believe Palikuwa na binaadamu na Hawa !? Which Evidence do you have !?
Mkiambiwa msome na kujifunza hesabu mnatingisha makalio kama chura kiziwi ...tatizo lako wewe ni kutokujua hisabati ...wacha nikupe wazo rudisha masaa nyuma ya dunia kisha angalia idadi ya watu mfano ukirudisha masaa nyuma hadi siku ambayo Tanganyika tulipata uhuru utagundua idadi ya watu walio kuwepo tanganyika ni wachache kama mil 10 hivi juu kidogo ya wakaazi wa dar es salaam ....sasa endelea kurudisha masaa nyuma kwa miaka 1000 utakuta dunia nzima itakuwa na watu wachache sana na ukiendelea kurudisha masaa nyuma zaidi utakuta dunia nzima ina watu chini ya 1000 sasa endelea kurudisha masaa nyuma zaidi utakuta kuna mtu mke mmoja na mtu mme mmoja hii ni kisayansi na kihesabu kabisa na kiakili ...hatackama hso watu wawili tukisema walikuwa manyani ila utakuta wawili kwa hoja ya adamu na hawa ni sahihi hata kisayansi.
 
Never use logic in faith
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…