Two dimension array
JF-Expert Member
- Jul 25, 2018
- 1,593
- 2,380
Ye baba! Tunaojilia papuchi kama tumewaoa watoto wa chuo tuna comment wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu naomba kujua level yako ya elimu! Mana uwezo wako wa kujenga hoja upo chini sana!Kwahyo hawa mabintii ambao wakirudi wanashiriki shughuli zanyumban wao hawafanyi hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
degree with honors from mzumbe university of morogoro nasubiri udahili uanze niombe kujiunga na shahada ya piliMkuu naomba kujua level yako ya elimu! Mana uwezo wako wa kujenga hoja upo chini sana!
Nikifaham nitajua ni vp ntakupa jibu rahisi kukusaidia usiumize tena kichwa kama hv.
Sent using Jamii Forums mobile app
Degree ktk ujuzi upi? Sitaki kuamini degree with honors tena mzumbe anakua narrow minded kiasi hiki.degree with honors from mzumbe university of morogoro nasubiri udahili uanze niombe kujiunga na shahada ya pili
Sent using Jamii Forums mobile app
Ww ndo narrow minded yaan kigezo umeona ni mabinti ambao hawashiriki shughuli za nyumban ndio hao wanawekwa kinyumba vyuoniDegree ktk ujuzi upi? Sitaki kuamini degree with honors tena mzumbe anakua narrow minded kiasi hiki.
Kuna tatizo sehem.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ningeweka hizo details zote unazoziongelea huu uzi unafikiri hata wew ungeusoma! Kwanini niweke uzi mrefu uliojaa maelezo yasiyo kua lengo kuu!? Kama lengo kuu limeongelewa hayo mengine kwa ufaham wako wa kawaida na degree yako hyo ya maendeleo ya jamii ungelewa tu!Ww ndo narrow minded yaan kigezo umeona ni mabinti ambao hawashiriki shughuli za nyumban ndio hao wanawekwa kinyumba vyuoni
Sent using Jamii Forums mobile app
watu bwana asa huon hapa degree ya maendeleo ya jamii ndo mahala pake?mtu mwenyew umesoma elimu ya kuungaunga had ukafikia hyo degree af yo here insulting peopleMkuu ningeweka hizo details zote unazoziongelea huu uzi unafikiri hata wew ungeusoma! Kwanini niweke uzi mrefu uliojaa maelezo yasiyo kua lengo kuu!? Kama lengo kuu limeongelewa hayo mengine kwa ufaham wako wa kawaida na degree yako hyo ya maendeleo ya jamii ungelewa tu!
Sent using Jamii Forums mobile app
hii ni mbaya sana, yani ushajiwekea kwamba binti anaesoma chuo ni mchafu kitu ambacho sio kweli.Inakera sana ,mm sitaoa mwanamke yoyote aliye toka chuoni kama sina taarifa zake za kutosha, ,bora yule aliye chapwa siku moja moja kuliko yule aliye ishi na njemba kabisa
Ndo maana mabinti wanamaliza elimu zao wanakosa Watu wa kuishi nao
Kwani hapo umeelewaje nlipoongelea maendeleo ya jamii!? Mkuu una bachelor degree kweli?watu bwana asa huon hapa degree ya maendeleo ya jamii ndo mahala pake?mtu mwenyew umesoma elimu ya kuungaunga had ukafikia hyo degree af yo here insulting people
Sent using Jamii Forums mobile app
It seems ulivyoipata hyo degree yako ukajua ndo kila kitu nmekueleza nasubiri udahili nkachukue shahada ya pili yaan ntakua na hizo degree unazoulizia mbiliKwani hapo umeelewaje nlipoongelea maendeleo ya jamii!? Mkuu una bachelor degree kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nimesoma ktk Chuo kikuu cha kwanza hapa Tanzania... tena Degree yangu ni 4yrs courseIt seems ulivyoipata hyo degree yako ukajua ndo kila kitu nmekueleza nasubiri udahili nkachukue shahada ya pili yaan ntakua na hizo degree unazoulizia mbili
Sent using Jamii Forums mobile app
Fanya surprise anapokaa au tafuta marafiki zake watakwambia. Ila mtu akimaliza chuo ni mtu mzima kimaamuzi.Ha yo ni machache kuna mengi Mao u yanayofanyika Huko wazazi inabidi wawe making. kuna dogo tunataka tumuweke kikao maana nahisi yule alikuwa anakaa dangulo, kamaliza chuo hataki kurudi nyumbani anasema anayamudu maisha Hana kazi,wala biashara na vyuma vilivyo kaza hivi Kila mtu hoii
Unadhani anakubali kumpeleka MTU, ni kweli mtu akimaliza chuo ni mtu mzima kimaamuzi lakini binti wa miaka 23 hataki kuwaambia ndugu zake na familia shughuli inayomuweka mjini Kama mzazi inauma subiri uwe mzazi mtoto wako afikie stage hii ndio utajua maharage ni mboga au futari!!!!!Fanya surprise anapokaa au tafuta marafiki zake watakwambia. Ila mtu akimaliza chuo ni mtu mzima kimaamuzi.
Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
Mkuu achana naye huyo.Binafsi nilipokua mwaka wa 2 nilimfanyia mpango mdogo wangu wa kike asome certificate hapo hapo naposoma nilikua nammegea boom Kama ada yake na alikua hostel Mimi gheto.Mkuu ningeweka hizo details zote unazoziongelea huu uzi unafikiri hata wew ungeusoma! Kwanini niweke uzi mrefu uliojaa maelezo yasiyo kua lengo kuu!? Kama lengo kuu limeongelewa hayo mengine kwa ufaham wako wa kawaida na degree yako hyo ya maendeleo ya jamii ungelewa tu!
Sent using Jamii Forums mobile app