Leo nawaelimisha kwamba Mama yake Yesu aliolewa kihalali akiwa na maiaka 15, Yusufu alitenda dhambi gani iliyomchukiza Mwenyezi Mungu ?

Uncle bright

JF-Expert Member
Feb 9, 2023
1,040
4,080
MUHIMU: NAOMBENI TUHUSIKE NA MAADA KUU MEZANI, HAYO MAMBO YA KUMZAA YESU, MIUJIZA, N.K. TUYAWEKE KANDO, SWALI NI YUSUFU ALITENDA DHAMBI IPI KUMUOA MARIA ALIPOKUWA NA MIAKA 14 hadi 15 ?

Hata mama yake Yesu alitolewa posa na Yusufu akiwa nyumbani kwao na akahamia kwa Yusufu akiwa na miaka 14 hadi 15, Huu ndio ulikuwa utamaduni wao na kwa kiasi kikubwa naweza kusema tamaduni za enzi hizo zilifanana, ni mpaka kwa wazungu, waarabu, hata hapa kwetu tamaduni zilikuwa ni kuoa binti miaja 14 hadi 16.

Tulipotifautiana labda ni posa tu, wengine walitoa posa kabla binti hajazaliwa, wengine binti akiwa mdogo, wengine baada ya binti kumaliza balehe, Kwa upande wa Israel mabinti waliomaliza balehe walitolewa posa walibaki nyumbani walau kwa mwaka ili kupewa mafunzo ya ndoa na baada ya hapo wanahamia kwa mwanaume, ilikuwa ni nadra sana kukuta binti ana 15 hajaolewa.

Kwa wanaume suala la kuoa halikuwa kwa kubalehe pekee bali kuweza kujua namna ya kujitegemea, kumhudumia mkeo na watoto, ndio maana wengi walikuwa wanaoa wakiwa na miaka kuanzia 20 japo kwa watoto wa wafalme walioa mapema zaidi.
 
Mimi na ugalatia wangu nashangazwa sana na wanaomuita Maria kuwa ni bikira wakati Yesu alikuwa na wadogoze ambao wengine wakawa Wanafunzi wake
NAOMBENI TUHUSIKE NA MAADA KUU MEZANI, HAYO MAMBO YA KUMZAA YESU, MIUJIZA, N.K. TUYAWEKE KANDO,

YUSUFU ALITENDA DHAMBI IPI KUMUOA MARIA ALIPOKUWA NA MIAKA 14 hadi 15 ? (HUU NDIO ULIKUWA UTARATIBU WA KUOA SI KWA WAISRAEL PEKEE BALI WAAFRIKA, WAARABU, N.K.)
 
Kwa dunia ya sasa ni kukiuka haki za kibinadamu

mama yake Yesu alitolewa posa na Yusufu akiwa nyumbani kwao na akahamia kwa Yusufu akiwa na miaka 14 hadi 15

huu ndio ulikuwa utamaduni wa kuoa huko Israel, mabinti waliomaliza balehe walipotolewa posa walibaki nyumbani walau kwa mwaka ili kupewa mafunzo ya ndoa na baada ya hapo wanahamia kwa mwanaume, ilikuwa ni nadra sana kukuta binti ana 15 hajaolewa.

Kwa wanaume suala la kuoa halikuwa kwa kubalehe pekee bali kuweza kujua namna ya kujitegemea, kumhudumia mkeo na watoto, ndio maana wengi walikuwa wanaoa wakiwa na miaka kuanzia 20 japo kwa watoto wa wafalme walioa mapema zaidi.

Nachokumbuka kwa haraka haraka Mwenyezi Mungu alimuotesha ndoto Yusufu kwam mimba aliyopata Maria sio ya kibinadamu ya kumsaliti bali ni mimba ya kimiujiza, hivyo akamsihi Yusufu asimuache mke wake, baada ya hapo ndio wakapata watoto wao wadogo kwa Yesu.
Unaweza kuthibitisha huyo Mungu yupo?

Unaweza kuondoa contradictions zilizopo katika dhana ya kuwepo huyo Mungu?
 
Hatuwezi endesha dunia ya sasa kwa mifumo ya kizamani ya miaka 2000 iliyopita , mwanangu akifika umri huo nikikukuta nae na kushusha hiyo shingo.
imekuwa ni kawaida binti wa miaka hata 16 awe na boyfiend anaezini nae na hata wazazi wakawa wanajua na kuchukulia poa lakini binti huyo huyo akiolewa kwa baraka za Mwenyezi Mungu na kuikwepa zinaa ni kosa jwa kizazi cha sasa

NAOMBENI TUHUSIKE NA MAADA KUU MEZANI, HAYO MAMBO YA KUMZAA YESU, MIUJIZA, N.K. TUYAWEKE KANDO,

YUSUFU ALITENDA DHAMBI IPI KUMUOA MARIA ALIPOKUWA NA MIAKA 14 hadi 15 ? (HUU NDIO ULIKUWA UTARATIBU WA KUOA SI KWA WAISRAEL PEKEE BALI WAAFRIKA, WAARABU, N.K.)
 
Karika watu ambao sina muda wa kujibishana nao ni wewe atheist usieamini uwepo wa Mungu,

Tafadhali nakuomba uende kwenye uzi wenu wa atheists, utanikuta huko
Sasa mbona umenijibu hapa wewe guluguja usiye na ubongo wala uti wa mgongo?

Huna muda wa kujibizana nami au huwezi kujibu hoja zangu?

Maana kama muda wa kunijibu umenionesha unao, kwa kuninukuu na kusema huna muda wa kunijibu.

Kitu ambacho huna ni hoja za kujibu hoja zangu.

Unaweza kuthibitisha huyo Mungu yupo?

Unaweza kuondoa contradictions zilizopo katika dhana ya kuwepo huyo Mungu?
 
Sasa si alimzaa akiwa bikra mkuu. Tena bila mtwangio kumgusa! Hoja yako ingekuwa na mashiko kama kabla ya kumzaa Yesu alikuwa tayari na watoto, nilidhani!
NAOMBENI TUHUSIKE NA MAADA KUU MEZANI, HAYO MAMBO YA KUMZAA YESU, MIUJIZA, N.K. TUYAWEKE KANDO,

YUSUFU ALITENDA DHAMBI IPI KUMUOA MARIA ALIPOKUWA NA MIAKA 14 hadi 15 ? (HUU NDIO ULIKUWA UTARATIBU WA KUOA SI KWA WAISRAEL PEKEE BALI WAAFRIKA, WAARABU, N.K.)
 
Karika watu ambao sina muda wa kujibishana nao ni wewe atheist usieamini uwepo wa Mungu,

Tafadhali nakuomba uende kwenye uzi wenu wa atheists, utanikuta huko
Ukishaweka uzi apa tambua sio mali yako tena ,
imekuwa ni kawaida binti wa miaka hata 16 awe na boyfiend anaezini nae na hata wazazi wakawa wanajua na kuchukulia poa lakini binti huyo huyo akiolewa kwa baraka za Mwenyezi Mungu na kuikwepa zinaa ni kosa jwa kizazi cha sasa
Maisha yamebadilika mtoto wa kike ana haki ya kupambania ndoto zake kama alivyo wa kiume na kufikia mataminio yake .

Hiyo mifumo ya kizaman haifai kwa dunia ya sasa hata swala la ndoa siku hizi halina uzito kama unavyofikiri .

Binti wa miaka 16 bado hajaonyesha ata mwanga wa kuzikamata ndoto zake .
 
Bikra ya mariamu ni ya aina yake sio ya kibinadamu.

Maria alizaaa bila kulala na mwanaume, hicho ndio kinachofanya bikra yake iwe ya ajabu, sio bikra ya kawaifa hii, ni ya kimiujiza.

Baada ya kumzaa yesu ndipo wakapa awatoto wao yeye na Yusufu

Huwezi ikuta aina hii ya Bikra kokote
Umejuaje bikra yake ni aina yake,mkuu unafurahisha sana
 
Back
Top Bottom