Je, Wazazi mnayajua wanayofanya mabinti zenu wawapo vyuoni?

Hahaaa ..Aisee Ngojeni kwanza maisha ya mnase makofi ndio atawaelewa
Ha yo ni machache kuna mengi Maovu yanayofanyika Huko wazazi inabidi wawe makini. kuna dogo tunataka tumuweke kikao maana nahisi yule alikuwa anakaa dangulo, kamaliza chuo hataki kurudi nyumbani anasema anayamudu maisha Hana kazi,wala biashara na vyuma vilivyo kaza hivi Kila mtu hoii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo sio wao mabinti peke yao, hata sisi boys huwa tunachangia sana kuwaharibu. Unakuta binti ndio karipoti first year hana hata siku 3 basi team mafisi ni mwendo wa kuwahi makoloni mapema.
Pia ile kutafuta mtu hata wa kuwa anakufulia huwezi kumpata bila kumtongoza.
Maisha ya chuo ni kuyaacha kama yalivyo tu maana ingekuwa kuna kamera inarekodi matukio kuna wazazi wangekana watoto wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
team fisi sio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu achana naye huyo.Binafsi nilipokua mwaka wa 2 nilimfanyia mpango mdogo wangu wa kike asome certificate hapo hapo naposoma nilikua nammegea boom Kama ada yake na alikua hostel Mimi gheto.

Familia ilituambia dada mtu awe anakuja gheto anapika kwangu anakula na kusepa hostel.kuna siku zikawa zinapita simuoni kwangu na chuoni haonekani ,wenzie napishana nao yeye sipishani naye .nilimfatilia usiku hostel kwake nikaambiwa halali hostel.Aisee nilipata shida Sana nilifikiria hatima yake ya kielimu mbeleni na hata maisha yake yatakuaje ?Niliamua kumsaka hadi nilipompata baada ya siku 3 huku nilishatoa taarifa nyumbani,nilimkanya Sana na kumtishia nitampiga na sitomlipia ada but usiku nilianza kupokea vitisho kutoka kwa mwanaume nilipambana naye bado kidogo tulitaka kuzichapa kwa kua nilikua na hasira Sana alikimbia.baadae familia iliamua kumrudisha nyumbani.

Leo miaka 2 wale niliokua nasoma nao Jobless hata Yule mwanaume hana kazi..Sasa Kama mdogo wangu angepata mimba sijui angelea vipi na maisha haya magumu ?

Maisha ya chuo kwa watoto wa kike hatari Sana na Mara nyingi ndoa zao hazidumu baada ya kumaliza chuo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo sio wao mabinti peke yao, hata sisi boys huwa tunachangia sana kuwaharibu. Unakuta binti ndio karipoti first year hana hata siku 3 basi team mafisi ni mwendo wa kuwahi makoloni mapema.
Pia ile kutafuta mtu hata wa kuwa anakufulia huwezi kumpata bila kumtongoza.
Maisha ya chuo ni kuyaacha kama yalivyo tu maana ingekuwa kuna kamera inarekodi matukio kuna wazazi wangekana watoto wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
He hee hee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom