Je, Wazazi mnayajua wanayofanya mabinti zenu wawapo vyuoni?

Halafu wakimaliza chuo kila mmoja anakwenda kivyake .Mwanamke anakuja kwako umuowe akati alisha ishi miaka 3 na njemba ndani


Kuna haja kubwa sana ya wazazi kuwafuatilia watoto wao wawapo chuoni

Saa nyingine kwenye maisha unapokosa mtu wa kukukemea inakuwa tabu sana ,,pia unapo toka kwenye imaya ya kukemewa na haujakomaa vizuri kiakili ,inakuwa pia tabu sana
Hee hee leo kumekucha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu wana JF,

Leo nimeona nilete bandiko lenye kichwa hiko cha habari hapo juu...

Kwa kuanza napenda kueleza kuwa binafsi nimebahatika kusoma katika taasisi tofauti za elimu ya juu na katika mikoa tofauti... nikimaanisha College kwa ajili ya diploma na University kwa ajili ya bachelor degree katika mikoa miwili tofauti...

Katika mazingira hayo nimeshuhudia mabinti kwa asilimia kubwa wakifanya mambo ya kusikitisha katika miaka yao yote vyuoni...binti ambae akiwa nyumbani hataki kusaidia kazi ndogo ndogo za nyumbani, basi akiwa chuoni anakaa chumba kimoja kama mume na mke na kijana wa kiume au hata mtu mzima kwa miaka yote anapokua chuo

Zaidi ya hapo anafanya kazi zote za hapo getoni...anapika anafua nguo zake na za mumewe, anafanya usafi wa geto lakini pia anatoa unyumba kila siku kwa sababu wanalala kitanda kimoja!

Bahati mbaya binti akiwa nyumbani hafanyi na hataki hata kuosha kikombe chake alichonywea chai yeye mwenyewe....na hii ni asilimia kubwa sana ya mabinti wanaishi hivi wakiwa vyuoni.

Wazazi tafakarini na muongee na watoto zenu wakike wanaosoma chuo mjue uhalisia wa maisha yao wanapokua vyuoni.

NB: Kila nikiwaza hivi napata jawabu kwanini ndoa zimekua ngumu sana siku hizi. Mabinti wamekuwa wakianza maisha ya ndoa kabla ya muda wake hvyo wanapata experience ambayo ni ya uongo kuhusu ndoa...na hili ni tatizo. Zaidi ni kiasi cha mimba ambazo mabinti wanazitoa katika kipindi cha miaka ya chuo...

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu yeyote aliyefika chuo ni mtu mzima tayari!sasa unampa vipi mzazi majukumu mazito kama hayo ya kumchunga mtu mzima mwenzake!?wewe mtoa mada unajua mkeo huwa anafanya nini pindi wewe unapoondoka nyumbani!?acheni kutupatia kazi ya kulinda bahari ebo!
Poor mind

Sent by Diaspora
 
Wengine wanapokuwa vyuoni hujifunza michezo ya kurudi nyuma a.k.a tigo na wanatoka kwenye familia za kidini!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu yani vyuo ni tatzo skuiz! Nina ushahidi mtoto wa mchungaji ambae ni family friend alilipia hostel akija tembelewa na ndugu zake wanamkuta hostel ila muda wote hua anaishi kwa mshikaji kama mke na mume.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzazi afanyeje hapo mkuu? Hebu assume wewe ndiye mzazi nz una binti yako anasoma chuo. Utafanyeje kumchunga?

Wanaoingia vyuoni wanakuwa tayari ni watu wazima, hivyo tabia mbovu wanakuwa tayari wanayo japo kabla huenda walikua wakiifanya Kwa kificho. Vyuoni wapo pia wanaoishi kimaadili usisahau japo huenda ni wachache kuliko waliozibuka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
64 Reactions
Reply
Back
Top Bottom