Je, Wazazi mnayajua wanayofanya mabinti zenu wawapo vyuoni?

the_forum

the_forum

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2017
Messages
436
Likes
533
Points
180
the_forum

the_forum

JF-Expert Member
Joined Apr 28, 2017
436 533 180
Habari zenu wana JF,

Leo nimeona nilete bandiko lenye kichwa hiko cha habari hapo juu...

Kwa kuanza napenda kueleza kuwa binafsi nimebahatika kusoma katika taasisi tofauti za elimu ya juu na katika mikoa tofauti... nikimaanisha College kwa ajili ya diploma na University kwa ajili ya bachelor degree katika mikoa miwili tofauti...

Katika mazingira hayo nimeshuhudia mabinti kwa asilimia kubwa wakifanya mambo ya kusikitisha katika miaka yao yote vyuoni...binti ambae akiwa nyumbani hataki kusaidia kazi ndogo ndogo za nyumbani, basi akiwa chuoni anakaa chumba kimoja kama mume na mke na kijana wa kiume au hata mtu mzima kwa miaka yote anapokua chuo

Zaidi ya hapo anafanya kazi zote za hapo getoni...anapika anafua nguo zake na za mumewe, anafanya usafi wa geto lakini pia anatoa unyumba kila siku kwa sababu wanalala kitanda kimoja!

Bahati mbaya binti akiwa nyumbani hafanyi na hataki hata kuosha kikombe chake alichonywea chai yeye mwenyewe....na hii ni asilimia kubwa sana ya mabinti wanaishi hivi wakiwa vyuoni.

Wazazi tafakarini na muongee na watoto zenu wakike wanaosoma chuo mjue uhalisia wa maisha yao wanapokua vyuoni.

NB: Kila nikiwaza hivi napata jawabu kwanini ndoa zimekua ngumu sana siku hizi. Mabinti wamekuwa wakianza maisha ya ndoa kabla ya muda wake hvyo wanapata experience ambayo ni ya uongo kuhusu ndoa...na hili ni tatizo. Zaidi ni kiasi cha mimba ambazo mabinti wanazitoa katika kipindi cha miaka ya chuo...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mla Bata

Mla Bata

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2013
Messages
1,795
Likes
2,089
Points
280
Mla Bata

Mla Bata

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2013
1,795 2,089 280
daaaah maisha yanaenda kasi sanaaaa, nikikumbuka Enzi hizo na mimi najikuta fazaaa house kwa kumiliki self contained room mtoto wa watu anatoka hostel kila ijumaa mbaka jpili jioni akishinda ndani na kujipa majukumu ya ndoa akirudi hostel nakiulizwa na wenzake anajibu alikuwa "kwake" na mwisho wa siku ananogewa na kuhamia kabisa masikini, hapo anakubali kuingia rasmi kwenye ndoa ya mkataba wa miaka 3,

Tukubali tu maisha ya chuo kikuu ni akili kumkichwa, sio wote wanaoanza hivyo wanaishia kuachana baada ya chuo kuisha, wapo ambao nawafahamu walifika mbali kwenye mahusiano yao.
 
B

Baba Nla

Member
Joined
Nov 21, 2018
Messages
18
Likes
11
Points
5
B

Baba Nla

Member
Joined Nov 21, 2018
18 11 5
......Sidhani wanajua pia kuwa vidume vyao vinajifanyaga faza house vikiwepo chuo. Vinafikia hadi kuhama hostel na kuingia kitaa ambako wanaishi kabisa na watoto wa watu na kuwapachika hadi mimba.

Ipo haja ya wazazi kujihususha zaidi na maisha ya watoto wao.
Mbon unanisema!! Mi father house now
 
titimunda

titimunda

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2014
Messages
7,139
Likes
8,390
Points
280
titimunda

titimunda

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2014
7,139 8,390 280
Malezi Malezi Malezi.mtoto umleavyo ndivyo akuavyo.kama hujamlea mtoto wako kwa misingi ya kujielewa,kuwa na nidhamu na kujiongoza mwenyewe,na hukumpa hata elimu ya dini basi imekula kwako.

Kaa elimu ya uzazi na mambo ya ngono mwanao kajifunzia kwenye tv,mitandao na kwa marafiki badala ya kwako wewe mzazi hesabu maumivu pia

Kama mwanao ulimkuza kwa fimbo,vitisho na kumlimit exposure yake na dunia ukidhani ndio unamlinda pia imekula kwako

Nimebahatika kusoma na kuishi na wanafunzi wa chuo bongo na ughaibuni,wanayoyafanya ni makubwa na ya kutisha kuliko yaliyoandikwa hapa.

Mzazi mlee mwanao katika misingi ya kujitambua,kuwa na busara na kujiongoza mwenyewe,hata akiwa mbali na wewe atakuwa salama,na hata akila ujana na kufanya uhuni atafanya kwa umakini na bila kuvuka mipaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
the_forum

the_forum

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2017
Messages
436
Likes
533
Points
180
the_forum

the_forum

JF-Expert Member
Joined Apr 28, 2017
436 533 180
Ha yo ni machache kuna mengi Maovu yanayofanyika Huko wazazi inabidi wawe makini. kuna dogo tunataka tumuweke kikao maana nahisi yule alikuwa anakaa dangulo, kamaliza chuo hataki kurudi nyumbani anasema anayamudu maisha Hana kazi,wala biashara na vyuma vilivyo kaza hivi Kila mtu hoii
basi tena huyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hon Dizzoh

Hon Dizzoh

New Member
Joined
Jan 12, 2019
Messages
3
Likes
5
Points
5
Hon Dizzoh

Hon Dizzoh

New Member
Joined Jan 12, 2019
3 5 5
daaaah maisha yanaenda kasi sanaaaa, nikikumbuka Enzi hizo na mimi najikuta fazaaa house kwa kumiliki self contained room mtoto wa watu anatoka hostel kila ijumaa mbaka jpili jioni akishinda ndani na kujipa majukumu ya ndoa akirudi hostel nakiulizwa na wenzake anajibu alikuwa "kwake" na mwisho wa siku ananogewa na kuhamia kabisa masikini, hapo anakubali kuingia rasmi kwenye ndoa ya mkataba wa miaka 3,

Tukubali tu maisha ya chuo kikuu ni akili kumkichwa, sio wote wanaoanza hivyo wanaishia kuachana baada ya chuo kuisha, wapo ambao nawafahamu walifika mbali kwenye mahusiano yao.
Nko nawe kweny hili,wapo wanaofunga had ndoa hku hku an
 
Erythrocyte

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Messages
55,402
Likes
47,883
Points
280
Erythrocyte

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2012
55,402 47,883 280
Habari zenu wana JF,

Leo nimeona nilete bandiko lenye kichwa hiko cha habari hapo juu...

Kwa kuanza napenda kueleza kuwa binafsi nimebahatika kusoma katika taasisi tofauti za elimu ya juu na katika mikoa tofauti... nikimaanisha College kwa ajili ya diploma na University kwa ajili ya bachelor degree katika mikoa miwili tofauti...

Katika mazingira hayo nimeshuhudia mabinti kwa asilimia kubwa wakifanya mambo ya kusikitisha katika miaka yao yote vyuoni...binti ambae akiwa nyumbani hataki kusaidia kazi ndogo ndogo za nyumbani, basi akiwa chuoni anakaa chumba kimoja kama mume na mke na kijana wa kiume au hata mtu mzima kwa miaka yote anapokua chuo

Zaidi ya hapo anafanya kazi zote za hapo getoni...anapika anafua nguo zake na za mumewe, anafanya usafi wa geto lakini pia anatoa unyumba kila siku kwa sababu wanalala kitanda kimoja!

Bahati mbaya binti akiwa nyumbani hafanyi na hataki hata kuosha kikombe chake alichonywea chai yeye mwenyewe....na hii ni asilimia kubwa sana ya mabinti wanaishi hivi wakiwa vyuoni.

Wazazi tafakarini na muongee na watoto zenu wakike wanaosoma chuo mjue uhalisia wa maisha yao wanapokua vyuoni.

NB: Kila nikiwaza hivi napata jawabu kwanini ndoa zimekua ngumu sana siku hizi. Mabinti wamekuwa wakianza maisha ya ndoa kabla ya muda wake hvyo wanapata experience ambayo ni ya uongo kuhusu ndoa...na hili ni tatizo. Zaidi ni kiasi cha mimba ambazo mabinti wanazitoa katika kipindi cha miaka ya chuo...

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukweli mtupu ! nimepangisha nyumba yangu wanachuo hayo yote unayoyasema nimejionea kwa macho yangu mwenyewe .
 
MAMESHO

MAMESHO

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2011
Messages
218
Likes
80
Points
45
MAMESHO

MAMESHO

JF-Expert Member
Joined Jul 5, 2011
218 80 45
huwa wanakwenda vuzuri kabla. wakishafika chuoni wanapata uhuru mkubwa kuliko waliokuwa wanaupata mwanzo. hivyo wanashindwa kuutumia vizuri na kuwa na hamu kubwa wa kuishi maisha ya kitamthilia wakidhani ndivyo yalivyo, baadaye sana wanapokuja kugundua maisha hayako hivyo walishapata majeraha.
 
nusuhela

nusuhela

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2014
Messages
3,981
Likes
3,938
Points
280
nusuhela

nusuhela

JF-Expert Member
Joined Jan 26, 2014
3,981 3,938 280
Habari zenu wana JF,

Leo nimeona nilete bandiko lenye kichwa hiko cha habari hapo juu...

Kwa kuanza napenda kueleza kuwa binafsi nimebahatika kusoma katika taasisi tofauti za elimu ya juu na katika mikoa tofauti... nikimaanisha College kwa ajili ya diploma na University kwa ajili ya bachelor degree katika mikoa miwili tofauti...

Katika mazingira hayo nimeshuhudia mabinti kwa asilimia kubwa wakifanya mambo ya kusikitisha katika miaka yao yote vyuoni...binti ambae akiwa nyumbani hataki kusaidia kazi ndogo ndogo za nyumbani, basi akiwa chuoni anakaa chumba kimoja kama mume na mke na kijana wa kiume au hata mtu mzima kwa miaka yote anapokua chuo

Zaidi ya hapo anafanya kazi zote za hapo getoni...anapika anafua nguo zake na za mumewe, anafanya usafi wa geto lakini pia anatoa unyumba kila siku kwa sababu wanalala kitanda kimoja!

Bahati mbaya binti akiwa nyumbani hafanyi na hataki hata kuosha kikombe chake alichonywea chai yeye mwenyewe....na hii ni asilimia kubwa sana ya mabinti wanaishi hivi wakiwa vyuoni.

Wazazi tafakarini na muongee na watoto zenu wakike wanaosoma chuo mjue uhalisia wa maisha yao wanapokua vyuoni.

NB: Kila nikiwaza hivi napata jawabu kwanini ndoa zimekua ngumu sana siku hizi. Mabinti wamekuwa wakianza maisha ya ndoa kabla ya muda wake hvyo wanapata experience ambayo ni ya uongo kuhusu ndoa...na hili ni tatizo. Zaidi ni kiasi cha mimba ambazo mabinti wanazitoa katika kipindi cha miaka ya chuo...

Sent using Jamii Forums mobile app
University bado unamuita mtoto?
Huwezi kuwa upo serious mkuu
 
ISLETS

ISLETS

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2012
Messages
7,016
Likes
2,837
Points
280
ISLETS

ISLETS

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2012
7,016 2,837 280
Tatizo sio wao mabinti peke yao, hata sisi boys huwa tunachangia sana kuwaharibu. Unakuta binti ndio karipoti first year hana hata siku 3 basi team mafisi ni mwendo wa kuwahi makoloni mapema.
Pia ile kutafuta mtu hata wa kuwa anakufulia huwezi kumpata bila kumtongoza.
Maisha ya chuo ni kuyaacha kama yalivyo tu maana ingekuwa kuna kamera inarekodi matukio kuna wazazi wangekana watoto wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtemikwila

Mtemikwila

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2013
Messages
1,227
Likes
834
Points
280
Mtemikwila

Mtemikwila

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2013
1,227 834 280
Wake zenu au nyie hamkupitia chuo? Mlifanya huo uchafu au mlikuwa malaika. Maisha yana hatua, mbaya zaidi ukiruka hatua za awali.
Jaribu kudadavua ili ueleweke punguza jazba mkuu, mm sijaelewa umeandika nn?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtemikwila

Mtemikwila

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2013
Messages
1,227
Likes
834
Points
280
Mtemikwila

Mtemikwila

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2013
1,227 834 280
Mtu yeyote aliyefika chuo ni mtu mzima tayari!sasa unampa vipi mzazi majukumu mazito kama hayo ya kumchunga mtu mzima mwenzake!?wewe mtoa mada unajua mkeo huwa anafanya nini pindi wewe unapoondoka nyumbani!?acheni kutupatia kazi ya kulinda bahari ebo!
Poor mind

Sent by Diaspora
Umepanic

Sent using Jamii Forums mobile app
 
lucas mobutu

lucas mobutu

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2017
Messages
8,801
Likes
15,536
Points
280
lucas mobutu

lucas mobutu

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2017
8,801 15,536 280
Mleta mada hapa wazazi unawaonea bure. Tufanye nini sisi ?! Kama kijana ninakuwa nimemfunda na kumuaga vizuri , na pengine kila mwezi namtumia posho .
Sasa maisha yake huko chuoni mzazi hajui chochote , wala hashiriki chochote zaidi ya gharama zake. Hakuna mzazi anayejua hayo kwa mwanaye

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoto wa kike akae hostel tu. Asipange geto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forum statistics

Threads 1,250,112
Members 481,224
Posts 29,721,096