Mke wako awe wa nyumbani au mwajiriwa, kama ana dhamira ya kucheat ata-cheat tu regardless mazingira aliyopo

Eli Cohen

JF-Expert Member
Jun 19, 2023
1,309
4,017
Life is a b**ch you know!

Jinsi kama ulivyo wewe master wa kuandaa ubunifu wa kutengeneza mazingira ya kukutana na mchepuko wako hadi mke wako wa nyumbani (housewife) asijue hivyo hivyo mke wako wa nyumbani (housewife) nae ana uwezo wa kuandaa mpango kazi wa kukutana na mchepuko wake na hata usijue hadi amzalie mtoto na hata usijue.

Tofauti na hapo umfanye mtoto wa watu awe mfungwa something which haiwezekani labda kama ungekuwa unaishi miaka 1920.

Acheni watoto wa watu wafanye kazi. Uchumi umekuwa mgumu, jitihada zao zilete matunda nyumbani.

Acheni wake zenu wafanye kazi nao wawe inspiration kwa mabinti zenu mtakaowazaa. Utamshauri nini binti yako kwamba asiajiriwe? Unamsomesha ili iweje?

Mbona ndoa zinavunjika sana hata kwa hawa housewives, mbona hata hawa housewives wana dharau na viburi ndani.

Kwa hio tusipende ku-generalize vitu sana.

Haya maisha ni yamejaa surprises, hatujui kile tutakachokipata ingawa tunajitahidi kukitafuta. So utatafuta binti wa kijijini, kanisani au msikiti lakini mwishoni akaishia kuwa wa bar.
 
Ndoa zina changamoto nyingi sana.

NDIO MAANA WATU WENGI WENYE AKILI HAKUWAHI KUOA.

PambanaZaidi/CottonandMore
 
_20240222_113452.JPG
 
Back
Top Bottom