Je, Wazazi mnayajua wanayofanya mabinti zenu wawapo vyuoni?

the_forum

the_forum

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2017
Messages
438
Likes
535
Points
180
the_forum

the_forum

JF-Expert Member
Joined Apr 28, 2017
438 535 180
Habari zenu wana JF,

Leo nimeona nilete bandiko lenye kichwa hiko cha habari hapo juu...

Kwa kuanza napenda kueleza kuwa binafsi nimebahatika kusoma katika taasisi tofauti za elimu ya juu na katika mikoa tofauti... nikimaanisha College kwa ajili ya diploma na University kwa ajili ya bachelor degree katika mikoa miwili tofauti...

Katika mazingira hayo nimeshuhudia mabinti kwa asilimia kubwa wakifanya mambo ya kusikitisha katika miaka yao yote vyuoni...binti ambae akiwa nyumbani hataki kusaidia kazi ndogo ndogo za nyumbani, basi akiwa chuoni anakaa chumba kimoja kama mume na mke na kijana wa kiume au hata mtu mzima kwa miaka yote anapokua chuo

Zaidi ya hapo anafanya kazi zote za hapo getoni...anapika anafua nguo zake na za mumewe, anafanya usafi wa geto lakini pia anatoa unyumba kila siku kwa sababu wanalala kitanda kimoja!

Bahati mbaya binti akiwa nyumbani hafanyi na hataki hata kuosha kikombe chake alichonywea chai yeye mwenyewe....na hii ni asilimia kubwa sana ya mabinti wanaishi hivi wakiwa vyuoni.

Wazazi tafakarini na muongee na watoto zenu wakike wanaosoma chuo mjue uhalisia wa maisha yao wanapokua vyuoni.

NB: Kila nikiwaza hivi napata jawabu kwanini ndoa zimekua ngumu sana siku hizi. Mabinti wamekuwa wakianza maisha ya ndoa kabla ya muda wake hvyo wanapata experience ambayo ni ya uongo kuhusu ndoa...na hili ni tatizo. Zaidi ni kiasi cha mimba ambazo mabinti wanazitoa katika kipindi cha miaka ya chuo...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karucee

Karucee

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2012
Messages
13,188
Likes
8,346
Points
280
Karucee

Karucee

JF-Expert Member
Joined Mar 11, 2012
13,188 8,346 280
......Sidhani wanajua pia kuwa vidume vyao vinajifanyaga faza house vikiwepo chuo. Vinafikia hadi kuhama hostel na kuingia kitaa ambako wanaishi kabisa na watoto wa watu na kuwapachika hadi mimba.

Ipo haja ya wazazi kujihususha zaidi na maisha ya watoto wao.
 
mangi Lemule

mangi Lemule

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2017
Messages
689
Likes
582
Points
180
mangi Lemule

mangi Lemule

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2017
689 582 180
Halafu wakimaliza chuo kila mmoja anakwenda kivyake .Mwanamke anakuja kwako umuowe akati alisha ishi miaka 3 na njemba ndani

Kuna haja kubwa sana ya wazazi kuwafuatilia watoto wao wawapo chuoni

Saa nyingine kwenye maisha unapokosa mtu wa kukukemea inakuwa tabu sana ,,pia unapo toka kwenye imaya ya kukemewa na haujakomaa vizuri kiakili ,inakuwa pia tabu sana
 
sir venance

sir venance

Senior Member
Joined
Oct 26, 2017
Messages
139
Likes
165
Points
60
sir venance

sir venance

Senior Member
Joined Oct 26, 2017
139 165 60
Hii ipo sana vyuoni na mbaya zaidi hawazingatii kilichowapeleka vyuoni,wazazi wanajitahidi sana kwa Hali na Mali watoto wao wasome lakini wakifika vyuoni wanachukua majukumu ya kuwa wake au waume,hakuna ndoa itakayodumu baada ya maisha ya hapo na Kama ikitokea ni chache Sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
the_forum

the_forum

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2017
Messages
438
Likes
535
Points
180
the_forum

the_forum

JF-Expert Member
Joined Apr 28, 2017
438 535 180
......Sidhani wanajua pia kuwa vidume vyao vinajifanyaga faza house vikiwepo chuo. Vinafikia hadi kuhama hostel na kuingia kitaa ambako wanaishi kabisa na watoto wa watu na kuwapachika hadi mimba.

Ipo haja ya wazazi kujihususha zaidi na maisha ya watoto wao.
Ni kweli mkuu,wazazi wanakosa mda wa kutosha na watoto hasa wakifika ktk ngazi hii ya chuo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
the_forum

the_forum

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2017
Messages
438
Likes
535
Points
180
the_forum

the_forum

JF-Expert Member
Joined Apr 28, 2017
438 535 180
Halafu wakimaliza chuo kila mmoja anakwenda kivyake .Mwanamke anakuja kwako umuowe akati alisha ishi miaka 3 na njemba ndani

Kuna haja kubwa sana ya wazazi kuwafuatilia watoto wao wawapo chuoni

Saa nyingine kwenye maisha unapokosa mtu wa kukukemea inakuwa tabu sana ,,pia unapo toka kwenye imaya ya kukemewa na haujakomaa vizuri kiakili ,inakuwa pia tabu sana
Mkuu mtoto katafunwa miaka yote ya chuo (3,4,5) afu akitoka hapo anapaswa kuolewa duh! Mana chuo kikiisha na hyo ndoa ya chuo ndo hua imevunjika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gama

Gama

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Messages
9,943
Likes
1,755
Points
280
Gama

Gama

JF-Expert Member
Joined Jan 9, 2010
9,943 1,755 280
Habari zenu wana JF,leo nmeona nilete bandiko lenye kichwa hiko cha habari hapo juu...

Kwa kuanza napenda kueleza kua,binafsi nmebahatika kusoma ktk taasisi tofauti za elimu ya juu na katika mikoa tofauti... nikimaanisha College kwa ajili ya diploma na University kwa ajili ya bachelor degree,katika mikoa miwili tofauti...

Katika mazingira hayo nimeshuhudia mabinti katika asilimia kubwa wakifanya mambo ya kusikitisha katika miaka yao yote vyuoni...binti ambae akiwa nyumbani hataki kusaidia kazi ndogo ndogo za nyumbani,basi akiwa chuoni anakaa chumba kimoja kama mume na mke na kijana wa kiume au hata mtu mzima kwa miaka yote anapokua chuo,zaidi ya hapo anafanya kazi zote za hapo getoni...anapika anafua nguo zake na za mumewe,anafanya usafi wa geto lakini pia anatoa unyumba kila siku kwa sababu wanalala kitanda kimoja! Bahati mbaya binti akiwa nyumbani hafanyi na hataki hata kuosha kikombe chake alichonywea chai yeye mwenyewe....na hii ni asilimia kubwa sana ya mabinti wanaishi hivi wakiwa mavyuoni.

Wazazi tafakarini na muongee na watoto wenu wakike wanaosoma chuo mjue uhalisia wa maisha yao wanapokua vyuoni.

NB: kila nikiwaza hivi napata jawabu kwanini ndoa zimekua ngumu sana skuiz,mabinti wamekua wakianza maisha ya ndoa kabla ya muda wake hvo wanapata experience ambayo ni ya uongo kuhusu ndoa...na hili ni tatizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa, lakini umejuaje kuwa manito hawataki kufanya kazi za nyumbani wakiwa nyumbani kwao?
 
the_forum

the_forum

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2017
Messages
438
Likes
535
Points
180
the_forum

the_forum

JF-Expert Member
Joined Apr 28, 2017
438 535 180
Sawa, lakini umejuaje kuwa manito hawataki kufanya kazi za nyumbani wakiwa nyumbani kwao?
Bro kwani si namimi ni mwana familia pia ni jirani wa familia nyingine pia ni rafiki wafamilia nyingine...nakosaje kuyajua hayo! Swali lako ni level ya chini mno...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
the_forum

the_forum

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2017
Messages
438
Likes
535
Points
180
the_forum

the_forum

JF-Expert Member
Joined Apr 28, 2017
438 535 180
Hii ipo sana vyuoni na mbaya zaidi hawazingatii kilichowapeleka vyuoni,wazazi wanajitahidi sana kwa Hali na Mali watoto wao wasome lakini wakifika vyuoni wanachukua majukumu ya kuwa wake au waume,hakuna ndoa itakayodumu baada ya maisha ya hapo na Kama ikitokea ni chache Sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni changamoto mno...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
stephot

stephot

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2012
Messages
6,834
Likes
4,661
Points
280
stephot

stephot

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2012
6,834 4,661 280
Utashangaa unaoa mtoto katokea chuo,kama kafanya kitu kibaya ukamuwashia mziki utasikia,mbona wanaume wenzako hawako/hawafanyi hivyo?unabaki kujiuliza huyu kajuaje haya mambo...!
Halafu wakimaliza chuo kila mmoja anakwenda kivyake .Mwanamke anakuja kwako umuowe akati alisha ishi miaka 3 na njemba ndani

Kuna haja kubwa sana ya wazazi kuwafuatilia watoto wao wawapo chuoni

Saa nyingine kwenye maisha unapokosa mtu wa kukukemea inakuwa tabu sana ,,pia unapo toka kwenye imaya ya kukemewa na haujakomaa vizuri kiakili ,inakuwa pia tabu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
the_forum

the_forum

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2017
Messages
438
Likes
535
Points
180
the_forum

the_forum

JF-Expert Member
Joined Apr 28, 2017
438 535 180
mangi Lemule

mangi Lemule

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2017
Messages
689
Likes
582
Points
180
mangi Lemule

mangi Lemule

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2017
689 582 180
Mkuu mtoto katafunwa miaka yote ya chuo (3,4,5) afu akitoka hapo anapaswa kuolewa duh! Mana chuo kikiisha na hyo ndoa ya chuo ndo hua imevunjika.

Sent using Jamii Forums mobile app

Inakera sana ,mm sitaoa mwanamke yoyote aliye toka chuoni kama sina taarifa zake za kutosha, ,bora yule aliye chapwa siku moja moja kuliko yule aliye ishi na njemba kabisa

Ndo maana mabinti wanamaliza elimu zao wanakosa Watu wa kuishi nao
 
mangi Lemule

mangi Lemule

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2017
Messages
689
Likes
582
Points
180
mangi Lemule

mangi Lemule

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2017
689 582 180
Utashangaa unaoa mtoto katokea chuo,kama kafanya kitu kibaya ukamuwashia mziki utasikia,mbona wanaune wenzako hawako/hawafanyi hivyo?unabaki kujiuliza huyu kajuaje haya mambo...!

Sent using Jamii Forums mobile app
Unakuta anauzoefu wa ndoa ya kuigiza ya chuo
 
A

afyakliniki

Senior Member
Joined
Nov 21, 2018
Messages
129
Likes
72
Points
45
A

afyakliniki

Senior Member
Joined Nov 21, 2018
129 72 45
the_forum

the_forum

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2017
Messages
438
Likes
535
Points
180
the_forum

the_forum

JF-Expert Member
Joined Apr 28, 2017
438 535 180
Inakera sana ,mm sitaoa mwanamke yoyote aliye toka chuoni kama sina taarifa zake za kutosha, ,bora yule aliye chapwa siku moja moja kuliko yule aliye ishi na njemba kabisa

Ndo maana mabinti wanamaliza elimu zao wanakosa Watu wa kuishi nao
Na wanakua na wrong perception kuhusu ndoa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
the_forum

the_forum

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2017
Messages
438
Likes
535
Points
180
the_forum

the_forum

JF-Expert Member
Joined Apr 28, 2017
438 535 180
Mtoa mada uliyoeleza ni machache sana kwa watoto wanaosoma vyuoni. Yanayofanyika huko yanatisha na kutia kinyaa. Hatuna budi kuwaombea hawa watoto wetu...
Ni kweli mkuu,vyuo kwa sasa ni sehem hatarishi mno kwa upande wa malezi na ukuaji wa watoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Odhiambo cairo

Odhiambo cairo

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
9,632
Likes
11,425
Points
280
Odhiambo cairo

Odhiambo cairo

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
9,632 11,425 280
Mleta mada hapa wazazi unawaonea bure. Tufanye nini sisi ?! Kama kijana ninakuwa nimemfunda na kumuaga vizuri , na pengine kila mwezi namtumia posho .
Sasa maisha yake huko chuoni mzazi hajui chochote , wala hashiriki chochote zaidi ya gharama zake. Hakuna mzazi anayejua hayo kwa mwanaye

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forum statistics

Threads 1,251,651
Members 481,811
Posts 29,778,891