Je, Wazazi mnayajua wanayofanya mabinti zenu wawapo vyuoni?


the_forum

the_forum

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2017
Messages
436
Likes
533
Points
180
the_forum

the_forum

JF-Expert Member
Joined Apr 28, 2017
436 533 180
Habari zenu wana JF,

Leo nimeona nilete bandiko lenye kichwa hiko cha habari hapo juu...

Kwa kuanza napenda kueleza kuwa binafsi nimebahatika kusoma katika taasisi tofauti za elimu ya juu na katika mikoa tofauti... nikimaanisha College kwa ajili ya diploma na University kwa ajili ya bachelor degree katika mikoa miwili tofauti...

Katika mazingira hayo nimeshuhudia mabinti kwa asilimia kubwa wakifanya mambo ya kusikitisha katika miaka yao yote vyuoni...binti ambae akiwa nyumbani hataki kusaidia kazi ndogo ndogo za nyumbani, basi akiwa chuoni anakaa chumba kimoja kama mume na mke na kijana wa kiume au hata mtu mzima kwa miaka yote anapokua chuo

Zaidi ya hapo anafanya kazi zote za hapo getoni...anapika anafua nguo zake na za mumewe, anafanya usafi wa geto lakini pia anatoa unyumba kila siku kwa sababu wanalala kitanda kimoja!

Bahati mbaya binti akiwa nyumbani hafanyi na hataki hata kuosha kikombe chake alichonywea chai yeye mwenyewe....na hii ni asilimia kubwa sana ya mabinti wanaishi hivi wakiwa vyuoni.

Wazazi tafakarini na muongee na watoto zenu wakike wanaosoma chuo mjue uhalisia wa maisha yao wanapokua vyuoni.

NB: Kila nikiwaza hivi napata jawabu kwanini ndoa zimekua ngumu sana siku hizi. Mabinti wamekuwa wakianza maisha ya ndoa kabla ya muda wake hvyo wanapata experience ambayo ni ya uongo kuhusu ndoa...na hili ni tatizo. Zaidi ni kiasi cha mimba ambazo mabinti wanazitoa katika kipindi cha miaka ya chuo...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
the_forum

the_forum

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2017
Messages
436
Likes
533
Points
180
the_forum

the_forum

JF-Expert Member
Joined Apr 28, 2017
436 533 180
N

neez

Member
Joined
Mar 4, 2018
Messages
64
Likes
44
Points
25
N

neez

Member
Joined Mar 4, 2018
64 44 25
the_forum

the_forum

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2017
Messages
436
Likes
533
Points
180
the_forum

the_forum

JF-Expert Member
Joined Apr 28, 2017
436 533 180
N

neez

Member
Joined
Mar 4, 2018
Messages
64
Likes
44
Points
25
N

neez

Member
Joined Mar 4, 2018
64 44 25
the_forum

the_forum

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2017
Messages
436
Likes
533
Points
180
the_forum

the_forum

JF-Expert Member
Joined Apr 28, 2017
436 533 180
Ww ndo narrow minded yaan kigezo umeona ni mabinti ambao hawashiriki shughuli za nyumban ndio hao wanawekwa kinyumba vyuoni

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ningeweka hizo details zote unazoziongelea huu uzi unafikiri hata wew ungeusoma! Kwanini niweke uzi mrefu uliojaa maelezo yasiyo kua lengo kuu!? Kama lengo kuu limeongelewa hayo mengine kwa ufaham wako wa kawaida na degree yako hyo ya maendeleo ya jamii ungelewa tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
N

neez

Member
Joined
Mar 4, 2018
Messages
64
Likes
44
Points
25
N

neez

Member
Joined Mar 4, 2018
64 44 25
Mkuu ningeweka hizo details zote unazoziongelea huu uzi unafikiri hata wew ungeusoma! Kwanini niweke uzi mrefu uliojaa maelezo yasiyo kua lengo kuu!? Kama lengo kuu limeongelewa hayo mengine kwa ufaham wako wa kawaida na degree yako hyo ya maendeleo ya jamii ungelewa tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
watu bwana asa huon hapa degree ya maendeleo ya jamii ndo mahala pake?mtu mwenyew umesoma elimu ya kuungaunga had ukafikia hyo degree af yo here insulting people

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Snipes

Snipes

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2013
Messages
7,676
Likes
13,341
Points
280
Age
25
Snipes

Snipes

JF-Expert Member
Joined Jul 2, 2013
7,676 13,341 280
Inakera sana ,mm sitaoa mwanamke yoyote aliye toka chuoni kama sina taarifa zake za kutosha, ,bora yule aliye chapwa siku moja moja kuliko yule aliye ishi na njemba kabisa

Ndo maana mabinti wanamaliza elimu zao wanakosa Watu wa kuishi nao
hii ni mbaya sana, yani ushajiwekea kwamba binti anaesoma chuo ni mchafu kitu ambacho sio kweli.

mbona hata hao wa mtaani (wasiosoma chuo/shule) wanaishi maisha hayo ya mke na mume na baada ya muda fulani wanaachana.

huko mavyuoni watu wanaendeleza na kufanya mambo yao kwa uhuru lakini hizo tabia wanatokanazo makwao, mbona wapo watu smart sana huko vyuoni mnaposemea.
 
the_forum

the_forum

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2017
Messages
436
Likes
533
Points
180
the_forum

the_forum

JF-Expert Member
Joined Apr 28, 2017
436 533 180
N

neez

Member
Joined
Mar 4, 2018
Messages
64
Likes
44
Points
25
N

neez

Member
Joined Mar 4, 2018
64 44 25
the_forum

the_forum

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2017
Messages
436
Likes
533
Points
180
the_forum

the_forum

JF-Expert Member
Joined Apr 28, 2017
436 533 180
It seems ulivyoipata hyo degree yako ukajua ndo kila kitu nmekueleza nasubiri udahili nkachukue shahada ya pili yaan ntakua na hizo degree unazoulizia mbili

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nimesoma ktk Chuo kikuu cha kwanza hapa Tanzania... tena Degree yangu ni 4yrs course

Mkuu nahisi unaweza ona namna IQ zetu zinaweza kua zimetofautiana sana! Kwani wew ni me au ke? Kama ni ke umewekwa geto miaka mingapi ukiwa undergraduate! Umetoa mimba ngapi? Why r u taking this thread too personal!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Beef Lasagna

Beef Lasagna

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2015
Messages
14,633
Likes
59,714
Points
280
Beef Lasagna

Beef Lasagna

JF-Expert Member
Joined Mar 30, 2015
14,633 59,714 280
Ha yo ni machache kuna mengi Maovu yanayofanyika Huko wazazi inabidi wawe makini. kuna dogo tunataka tumuweke kikao maana nahisi yule alikuwa anakaa dangulo, kamaliza chuo hataki kurudi nyumbani anasema anayamudu maisha Hana kazi,wala biashara 😨😨😨😨😨😨😨😨 na vyuma vilivyo kaza hivi Kila mtu hoii😅😅😅
 
James Comey

James Comey

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2017
Messages
3,791
Likes
4,846
Points
280
James Comey

James Comey

JF-Expert Member
Joined May 14, 2017
3,791 4,846 280
Ha yo ni machache kuna mengi Mao u yanayofanyika Huko wazazi inabidi wawe making. kuna dogo tunataka tumuweke kikao maana nahisi yule alikuwa anakaa dangulo, kamaliza chuo hataki kurudi nyumbani anasema anayamudu maisha Hana kazi,wala biashara na vyuma vilivyo kaza hivi Kila mtu hoii
Fanya surprise anapokaa au tafuta marafiki zake watakwambia. Ila mtu akimaliza chuo ni mtu mzima kimaamuzi.

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Beef Lasagna

Beef Lasagna

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2015
Messages
14,633
Likes
59,714
Points
280
Beef Lasagna

Beef Lasagna

JF-Expert Member
Joined Mar 30, 2015
14,633 59,714 280
Fanya surprise anapokaa au tafuta marafiki zake watakwambia. Ila mtu akimaliza chuo ni mtu mzima kimaamuzi.

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
Unadhani anakubali kumpeleka MTU, ni kweli mtu akimaliza chuo ni mtu mzima kimaamuzi lakini binti wa miaka 23 hataki kuwaambia ndugu zake na familia shughuli inayomuweka mjini Kama mzazi inauma subiri uwe mzazi mtoto wako afikie stage hii ndio utajua maharage ni mboga au futari!!!!!
 
M

Msafa

Senior Member
Joined
Dec 19, 2017
Messages
142
Likes
135
Points
60
M

Msafa

Senior Member
Joined Dec 19, 2017
142 135 60
Mkuu ningeweka hizo details zote unazoziongelea huu uzi unafikiri hata wew ungeusoma! Kwanini niweke uzi mrefu uliojaa maelezo yasiyo kua lengo kuu!? Kama lengo kuu limeongelewa hayo mengine kwa ufaham wako wa kawaida na degree yako hyo ya maendeleo ya jamii ungelewa tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu achana naye huyo.Binafsi nilipokua mwaka wa 2 nilimfanyia mpango mdogo wangu wa kike asome certificate hapo hapo naposoma nilikua nammegea boom Kama ada yake na alikua hostel Mimi gheto.

Familia ilituambia dada mtu awe anakuja gheto anapika kwangu anakula na kusepa hostel.kuna siku zikawa zinapita simuoni kwangu na chuoni haonekani ,wenzie napishana nao yeye sipishani naye .nilimfatilia usiku hostel kwake nikaambiwa halali hostel.Aisee nilipata shida Sana nilifikiria hatima yake ya kielimu mbeleni na hata maisha yake yatakuaje ?Niliamua kumsaka hadi nilipompata baada ya siku 3 huku nilishatoa taarifa nyumbani,nilimkanya Sana na kumtishia nitampiga na sitomlipia ada but usiku nilianza kupokea vitisho kutoka kwa mwanaume nilipambana naye bado kidogo tulitaka kuzichapa kwa kua nilikua na hasira Sana alikimbia.baadae familia iliamua kumrudisha nyumbani.

Leo miaka 2 wale niliokua nasoma nao Jobless hata Yule mwanaume hana kazi..Sasa Kama mdogo wangu angepata mimba sijui angelea vipi na maisha haya magumu ?

Maisha ya chuo kwa watoto wa kike hatari Sana na Mara nyingi ndoa zao hazidumu baada ya kumaliza chuo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Forum statistics

Threads 1,250,078
Members 481,222
Posts 29,720,091