Je, Wazazi mnayajua wanayofanya mabinti zenu wawapo vyuoni?

Aibu ya jana ndiyo mtindo wa maisha wa leo, Kwa miaka ya nyuma haya mambo yalikuwa kwa kificho na pia ilikuwa aibu sana ila kutokana na kufumbia macho yalipokuwa yanachipukia leo hii inaonekana ni sehemu ya mtindo wa kisasa wa maisha na ndiyo sababu unaweza ukatetea pasipokuona madhara yake
Wenye nyumba skuiz wanaona mengi sana wanayofanya wanafunzi wa chuo waliowapangisha
 
Tatizo la jamii nzima kufumbia mabaya yafanywayo na mtoto wa mwenzako kwa kudhani hakuhusu, kumbe anajenga jamii ambayo mjukuu wako atakuja kuona ni mtindo wa maisha na kuishi hivyo.
Umeongea vema kabisa
 
Si heri hata hao wa chuo ambao ni 18+

Shule za kata tu zisizo na hostel mabinti wanaishi kinyumba huko mitaani.
Skuiz college nyingi watoto wa form 4 kibao wanajoin hata 18 hawajafika skuiz...
 
Hivi vyuo vingi vimefungwa,lakini madada wako hosteli wanafanya ufuska na baadhi ya wanaume,wma-warden nadhani wakianza kuwafukuza vyumbani ndo wanapitia kwenye michepuko mingine,kufika nyumbani ni mwezi ujaoo...
Hatari sana sio
 
Back
Top Bottom