Kwa kuwa wote ni Watanzania, hakuna kuaminiana hadi mwaka 2020...hapa kazi tu
Birds of a feather .......Mfalme wa Morocco alijua ndio maana haraka alikua kututembelea
kisutu.......Naam ni kweli,pia ni inchi ambayo viongozi wake wana
Fikiri kwa sehemu za haja kubwa,hivi kafu ishinde halafu mfute matokeo,mkiulizwa mlitumia kiungo gani kufikiri,mtasema nikipi
Ni kweli kabisaMarekani kuna Nchi 52 kila jimbo lina Tabia zake lakini kumbuka marekani haipo kwenye Nchi Aminifu napo kuna mapungufu lakini hayafanani na haya ya Tanzania ambayo ni mabaya zaidi Duniani.
Hahahaaaaaa,ama kweli ukipenda hata chongo utaita kengezaMtatawaliwa mpaka mkome, maana mbinu za wazungu hizo.
Tanzania ni nchi yangu,lakini nimetapeliwa mara 7,natamani kuenda MarekaniIko sawa, viashiria tajwa viko wazi mno!
haha, kwani misomi yenu ya UDSM inayodai chuo chao sijui ni cha ngapi duniani.Haikuweza ng`amua?Wenzio ulaya wapo mahakamani, kurudisha elimu mbadala kwamba binadamu waliumbwa na Mungu. Hii yako ya UDSM haina hata fikra elimu mbadala kuhusu asili ya mwanadamu. Siku zote huwa nasema hii misomi yetu ni mipuuzi,miongo, inahubiri wasichokiamini wanaishi kisanii tuu. Sasa dunia inawaacha na kuwashangaa.Waongo wakubwa ni wazungu wenyewe waliotudanganya tumetoka kwa manyani na mambo mengi tu . ..afanalek . .wazungu wajinga sana!
Ku deal na hii mijitu inahitaji HEKIMAhaha, kwani misomi yenu ya UDSM inayodai chuo chao sijui ni cha ngapi duniani.Haikuweza ng`amua?Wenzio ulaya wapo mahakamani, kurudisha elimu mbadala kwamba binadamu waliumbwa na Mungu. Hii yako ya UDSM haina hata fikra elimu mbadala kuhusu asili ya mwanadamu. Siku zote huwa nasema hii misomi yetu ni mipuuzi,miongo, inahubiri wasichokiamini wanaishi kisanii tuu. Sasa dunia inawaacha na kuwashangaa.
Yeah, ila taratibu watanzania wakianza jifunza jisomea wenyewe vitabu vingi,utashi wao utawaamsha sana na mwishowe kujinasua ktk makucha ya hawa jamaa wanaojiita manguli wa elimu kumbe ni mapandikiz ya CCM kuharibu akli za watu .Ku deal na hii mijitu inahitaji HEKIMA
Hapo ndipo inabidi tuachane njia panda maana mimi ni CCM KWELI KWELI . ..Chama hichi kimenitoa mbali siwezi kukiasi hata punje . ..samahani sana . ..Yeah, ila taratibu watanzania wakianza jifunza jisomea wenyewe vitabu vingi,utashi wao utawaamsha sana na mwishowe kujinasua ktk makucha ya hawa jamaa wanaojiita manguli wa elimu kumbe ni mapandikiz ya CCM kuharibu akli za watu .