Hata kujilisha chakula huwezi unasema mbinu ya wazungu!!Mtatawaliwa mpaka mkome, maana mbinu za wazungu hizo.
Hasa katika ukandamizaji wa haki za binadamuHizo ni tafiti zilizofanyika zile enzi za Tanzania ya giza kabla ya awamu ta tano. Ukifanya utafiti kama huo leo utashangaa tunaongoza kwa kila kitu!
heri yako usietawaliwaMtatawaliwa mpaka mkome, maana mbinu za wazungu hizo.
br umeuwa"Wanatuonea gere tu" mbona mabo yetu safi tu kwa mfano Mzee Jecha tumemuamini iliyobaki ni kumzawadia tu.
Uhuni wa Jecha ni ushahidi tosha tena kielelezo muhimu cha unafiki wa wenzetu. Waalaniwe milele hawa."Wanatuonea gere tu" mbona mabo yetu safi tu kwa mfano Mzee Jecha tumemuamini iliyobaki ni kumzawadia tu.