Consigliere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 12,037
- 24,595
Kwa hiyo suala la uwanja na msikiti inawezekana tukawa tumepigwa changa la macho?
Tanzania na Morroko zimetajwa ndiyo nchi zisizokuwa aminifu zaidi duniani kati ya nchi 159 zilizofanyiwa utafiti. Utafiti huo umefanywa na jarida la week la Nature ambao umegusa maeneo ya Rushwa, Udanganyifu wa Kodi, Siasa, Kivuli cha Uchumi, Kipato cha mwananchi, Haki za kisiasa, Ufanisi wa serikali, Kuwalazimisha Watendaji nk.. Kenya pia imo katika orodha hiyo nchi zisizo aminifu. Nchi zilizotajwa kuwa aminifu zaidi kuliko zote duniani ni Uingereza, Uholanzi na Austria.
Tafsiri:
A study conducted by Nature, an international weekly journal of science, has named Tanzania and Morocco as the most dishonest countries in the world. The most honest countries, according to the study, were the United Kingdom, Austria and the Netherlands, while other dishonest countries included Kenya, Indonesia and Guatemala. The report, which examined 159 countries for their varying levels of corruption, political and tax fraud, also studied shadow economies, the prevalence of rule violations, government effectiveness, GDP per capita, political rights, constraint on executives and individualism.
View attachment 443066
Source: Intrinsic Honesty and the Prevalence of Rule Violations across Societies
Kwa hiyo suala la uwanja na msikiti inawezekana tukawa tumepigwa changa la macho?
kivuko feki,mabehewa chakavu,lugumi,kiwanda Hewa Lindi,chenji ya Rada,Reli kwenda Airport nk wametumbuliwa lini? Hii pesa inapotelea kwa siasa za maji Taka ya akina Lipumba unadhani hawaioni?Hawa watafiti si wazalendo hata kidogo. Tanzania ndio tunajipanga na tumeshatumbua majipu kadhaa ili kurejesha uaminifu wao wanaanika utafiti wao uchwara hadharani! Tusushabikie viutafiti hivi. Tanzania ni waaminifu sana kisiasa na rushwa ni tatizo la wote!! Tuwe wazalendo jameni!!!??????
Lugumi,Escrow,mabehewa mabomu,kivuko feki,Utafiti unaonesha familiar ya mtoa post inaongoza kwa utapeli
Aha hahaha umetishaaMfalme wa Morocco alijua ndio maana haraka alikua kututembelea
Do not cheat people,where did the radar scandle happen which led to millions refunded to TZ ?
Cabinet ministers Claire Short and Robin Cook tried to stopthe sale of a hugely expensive radar to the poverty- stricken Tanzanians.Do not cheat people,where did the radar scandle happen which led to millions refunded to TZ ?
Sawa mpaka nidhamu irudiHasa katika ukandamizaji wa haki za binadamu
Kwa kuwa wote ni Watanzania, hakuna kuaminiana hadi mwaka 2020...hapa kazi tuhata wewe sikuamini!!
Kumbe tunaenda mbele vibaya? Du! Nilifikili tunaenda dar vizuri? Mungu atuokoeLabda watupige mabomu, hii nchi inaenda mbele vibaya mno. Hao nabwana zenu kama hamjui wanaiongelea Tanzania kinyiume chake.