Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,103
Rejea tamko la Waziri J4 Maghembe:- WaTanzania wengi ni wezi....!! Soma gazeti la Mwananchi mwezi Novemba !!!Mtatawaliwa mpaka mkome, maana mbinu za wazungu hizo.
Rejea tamko la Waziri J4 Maghembe:- WaTanzania wengi ni wezi....!! Soma gazeti la Mwananchi mwezi Novemba !!!Mtatawaliwa mpaka mkome, maana mbinu za wazungu hizo.
Mtatawaliwa mpaka mkome, maana mbinu za wazungu hizo.
Shida kubwa zaidi ni wale walioko katika mamlaka za kufanya maamuzi hawako tayari kuona haya na kuyafanyia kazi! Yanawasaidia kuendelea kuwa kwenye power!ndio maana tunaogopa kuungana na majirani kwenye mambo mengi maana hatuaminiki na hatuaminiani.
Hizi tafiti ni aibu tena kipindi ambapo hata bunge liko gizani, matumizi ya pesa hayaeleweki, siasa ziko kapuni. Unaweza kuja kugundua ulipigwa mwaka 2017 mwaka 2023.
Kuna haja kama taifa tukae tujitafakari tulianguka wapi ili tuirudie njia kuu
Hizi akili za kudhani wazungu wanatutawala kumbe ni sisi wenyewe hatujui ni tufanye na tunakuwa wajinga/wazembe tunakimbilia kusema wazungu wanataka kutuendesha hazitusaidii.Labda watupige mabomu, hii nchi inaenda mbele vibaya mno. Hao nabwana zenu kama hamjui wanaiongelea Tanzania kinyiume chake.
Mkuu umetizama vizuri utafiti wao umegusa ktk sehemu zipiMkuu ungeandika "Tanzania ILIKUWAGA hivyo" lakini si SASA hivi.
Maana nikiisoma nakuangalia ni report iliyo STALE INFORMATION/NEWS/ Report ILIYOPITWA na WAKATI!
Maana kama nikuifuata basi iliandikwa ZAMANI pengine 2013-15.
Baadaye ikawa EDITED/ HARIRIWA 2016.
Halafu ikawekwa ONLINE Mwezi wa TATU/March 06/2016.
Hivyo iliandikwa BEFORE Magufuli aanze kuliongoza taifa la Tanzania. Na ilipowekwa online Magufuli alikuwa na MIEZI tu madarakani.
Sasa hivi NCHI IMEBADILIKA hebu wafanye utafiti tena HAWATAPATA hizo negative/hasi data zao kuhusu Tanzania!.
Wa tanzania ni waaminifu na tutazidi kuwa ni waaminifu!
Sikatai kuwa pale mwanzoni KULIKUWA na MADUDU mengi sana!
Ni hizo hizo alizoziweka kwa mhutasari. kama vileMkuu umetizama vizuri utafiti wao umegusa ktk sehemu zipi
Kweli ndege wa aina moja huruka pamoja lakini hiyo mikataba ni uongo hamna kitu hapo maana TZ na Moroko wote ni wasanii tu.Ndio maana tumesaini mikataaba22 na Moroccokumbe wote wahuni anaeuza cheni bandia na mtoa pesa bandia ngoma draw
Umesahau taifa ambalo sio aminifu ni marekani na washilika wake?Tanzania na Morroko zimetajwa ndiyo nchi zisizokuwa aminifu zaidi duniani kati ya nchi 159 zilizofanyiwa utafiti. Utafiti huo umefanywa na jarida la week la Nature ambao umegusa maeneo ya Rushwa, Udanganyifu wa Kodi, Siasa, Kivuli cha Uchumi, Kipato cha mwananchi, Haki za kisiasa, Ufanisi wa serikali, Kuwalazimisha Watendaji nk.. Kenya pia imo katika orodha hiyo nchi zisizo aminifu. Nchi zilizotajwa kuwa aminifu zaidi kuliko zote duniani ni Uingereza, Uholanzi na Austria.
Tafsiri:
A study conducted by Nature, an international weekly journal of science, has named Tanzania and Morocco as the most dishonest countries in the world. The most honest countries, according to the study, were the United Kingdom, Austria and the Netherlands, while other dishonest countries included Kenya, Indonesia and Guatemala. The report, which examined 159 countries for their varying levels of corruption, political and tax fraud, also studied shadow economies, the prevalence of rule violations, government effectiveness, GDP per capita, political rights, constraint on executives and individualism.
View attachment 443066
Source: Intrinsic Honesty and the Prevalence of Rule Violations across Societies
Mbinu za wazungu zinailenga Tanzania tu ....................!!!Mtatawaliwa mpaka mkome, maana mbinu za wazungu hizo.
ndege wafananao huruka pamoja hivi ule mkataba wa kujenga uwanja na msikiti ushaanza kufanyiwa kazi?Tanzania na Morroko zimetajwa ndiyo nchi zisizokuwa aminifu zaidi duniani kati ya nchi 159 zilizofanyiwa utafiti. Utafiti huo umefanywa na jarida la week la Nature ambao umegusa maeneo ya Rushwa, Udanganyifu wa Kodi, Siasa, Kivuli cha Uchumi, Kipato cha mwananchi, Haki za kisiasa, Ufanisi wa serikali, Kuwalazimisha Watendaji nk.. Kenya pia imo katika orodha hiyo nchi zisizo aminifu. Nchi zilizotajwa kuwa aminifu zaidi kuliko zote duniani ni Uingereza, Uholanzi na Austria.