Je, Watanzania hatuaminiani?

Je, Watanzania hatuaminiani?

kwa utapeli ulofanyika acha huo utafiti uko sahihi kabisa
 
Hapo ndipo inabidi tuachane njia panda maana mimi ni CCM KWELI KWELI . ..Chama hichi kimenitoa mbali siwezi kukiasi hata punje . ..samahani sana . ..
Wala usihofu, kwani hata mada yenyewe pia inasema hivyo. So km umefikia ktk ccm busara zoeleka zinakimbia sina cha kufanya.
 
Wala usihofu, kwani hata mada yenyewe pia inasema hivyo. So km umefikia ktk ccm busara zoeleka zinakimbia sina cha kufanya.
Dah! kweli wewe ni mzalendo . ..barikiwa sana . .uwe na siku njema
 
Hata hio mkukuta siamini kwa sababu inatumika na chama kile cha bwana yule
 
Back
Top Bottom