Je, wajua asili ya jina Afrika?

Je, wajua asili ya jina Afrika?

hahaaaaa Kumbe na mpare nae aliefukuzwa milimani na wachaga huku MCHAGA akisema MPAREE maana yake PIGA, nae alishiki kutunga neno AFRICA
Hahahaa tulia uanduke kitu kinachoeleweka mkuu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
wewe ni mtumwa wa waarabu, unawahusudu waarabu wakati waarabu hao ndio waliokuwa vinara wa biashara ya utumwa waliwauza babu zetu, wakawaingilia kinyume na maumbile, wakawachinja wote ndio maana hakuna masalia kule

achana na ujinga wa utapeli wa kidini

Mkuu kama kuna masuala ambayo uyajui vizuri ni bora kuuliza, kuuliza si ujinga - tatizo la walio wengi mnachukulia majibu ya Faiza kimzaa mzaa mnatumbukiza mpaka dini!

Siku moja niliwahi kusoma thread ya FaizaFoxy akieleza wasifu wake (Electronics na Mawasiliano) akasema yuko tayari kutoa darasa - binafsi nilifikiri members wamepata fulsa ya kuuliza masuala ya kitekinolojia/sayansi maswali yanayo husu: Solid State Physics
wewe ni mtumwa wa waarabu, unawahusudu waarabu wakati waarabu hao ndio waliokuwa vinara wa biashara ya utumwa waliwauza babu zetu, wakawaingilia kinyume na maumbile, wakawachinja wote ndio maana hakuna masalia kule

achana na ujinga wa utapeli wa kidini

Hii kali, amesahau kwamba watumwa wengi kutoka Barani Africa walipelekwa Amerika ya Kasikasini na Kusini,visiwa vya Caribean nk, je , na hapo Waarabu walihusika?

Mkuu hapo Dini inakujaje, yaani yote yaliyo fafanuliwa kisomi na Dada Faiza kuhusu origin ya jina "Afrika" wewe unabuni masuala ya Dini tu!!
 
fasili ya neno Afrika bado ni nadharia tu na kuna nadharia nyingi sana zilizotokea katika kufafanua neno Afrika.
 
WASOMI KAMA KAWAIDA YENU MNATAKA KUTUPOTEZA TENA!!!! Muungane kwanza mfanye utafiti wenu kuhusu asili ya Jina Afrika,then mtuletee jibu moja!!!!!!

Tusioenda shule hatupendi upuuzi sisi!!!!!!!!!!!!
 
wewe ni mtumwa wa waarabu, unawahusudu waarabu wakati waarabu hao ndio waliokuwa vinara wa biashara ya utumwa waliwauza babu zetu, wakawaingilia kinyume na maumbile, wakawachinja wote ndio maana hakuna masalia kule

achana na ujinga wa utapeli wa kidini

"kule", wapi?
 
mada nzuri sana ila watu wengine mnaleta siasa humu
 
wewe ni mtumwa wa waarabu, unawahusudu waarabu wakati waarabu hao ndio waliokuwa vinara wa biashara ya utumwa waliwauza babu zetu, wakawaingilia kinyume na maumbile, wakawachinja wote ndio maana hakuna masalia kule

achana na ujinga wa utapeli wa kidini
ni wapi huko unakosema hakuna masalia? Unaweza kunitajia japo nchi mojawapo tu?
 
Unamaanisha Afrika maana Waarabu wengi wapo Afrika kuliko kwengine kokote duniani. Kumbuka hilo.
Na lugha inayoongewa na watu wengi zaidi Afrika ni Kiarabu,Kiarabu kinaongewa na watu wengi zaidi Afrika kuliko lugha yeyote ile.
 
mleta mada ebu google hili jina- scipio africanus.

utapata story kutoka wikipedia n.k
pia kwenye you tube watu wameongelea why africa was named after the name of general scipio africanus.

ni ukweli au uongo,sijui.
 
Siku pingi wala sina elimu hiyo ya kubishana na watu ila napenda kukuuliza kwann comments zako nyingi zimejaa udini ndani yake? badilika bwana tunahitaji elimu lwkini hv unavowatenga nyuki si vizuri,
Tatizo lako wewe ukiona neno waarabu basi unatafsiri ni udini?! Sijaona sehemu yeyote ambayo faiza ameingiza udini! Au kwako mtu akitaja waarabu tayari ni udini?

Acha kukariri maisha kijana,wapo waarabu wengi tu ambao ni christian kwenye nchi kama Iraq,Syria,Misri,Lebanon na kwingineko.
 
Inasemekana kila jina lina asili yake na maana pia. Hata hilo jina lako ulipewa kwa sababu, na lina asili yake. Kama si la kutoka katika Biblia ama Quran, basi ni

download.jpg

La kimila lenye kumaanisha jambo, kama vile siku, tukio, mahali ama hata shida au raha aliyopata mama wakati wa uzazi wako.

Jiji la Dar es salaam zamani liliitwa Mzizima. Sultani Seyyid Majid wa Zanzibar ndiye aliyelipa jiji hili jina "Dar es Salaam" linalotokana na lugha ya Kiarabu (Dār as-Salām) lenye kumaanisha "nyumba ya amani." Maelezo yanayopatikana mara nyingi kuwa maana ni "bandari ya salama" yachanganya maneno mawili yanayofanana katika Kiarabu yaani "dar" (=nyumba) na "bandar" (=bandari).

Dar es Salaam ilichaguliwa na wakoloni Wajerumani kuwa mji mkuu wa Afrika ya Mashariki ya Kijerumani kwa sababu ya bandari asilia yenye mdomo pana ya mto Kurasini.

Kuanzia 1891 Dar es Salaam ilichukua nafasi ya Bagamoyo kama makao makuu ya utawala. Bandari pamoja na ujenzi wa reli ya kati kwenda Kigoma tangu 1904 ziliimarisha nafasi ya mji ulioendelea kama mji mkuu baada ya Tanzania bara kuwa koloni ya Tanganyika chini ya Uingereza.

Bado kuna mabishano ya ni nini hasa asili ya jina Africa. Wengine wanadai linatokana na neno la Kigiriki la APHRIKE, lililomaanisha kusikokuwa na baridi, ama la Kilatini APRICA, lenye kumaanisha nchi yenye jua daima.

Wengine wanasema neno "Afrika" limetokana na lugha ya Kilatini ya Waroma wa Kale. Waroma kwa jina hilo hawakumaanisha bara lote bali eneo katika jimbo la Carthage ama Tunisia ya leo tu.

Asili yake ni kabila la "Afrig" lililoishi sehemu zile.Wakati huo Wagiriki wa Kale walitumia zaidi jina la Libya kwa ajili ya nchi kusini ya Bahari ya Mediteraneo. Maeneo ya ndani kuelekea kusini mara nyingi yaliitwa kwa jina la "Ethiopia" linalomaanisha nchi ya watu weusiweusi (kwa Kigiriki "aithiops": aliyechomwa na jua).

Katika ramani za kale kutoka Ulaya maneno yote matatu ya "Afrika", "Lybia" na "Ethiopia" yanapatikana yakitumika kama jina la bara. Jina la "Afrika" limekuwa kawaida kuanzia karne ya 16 BK.

Misri ya wakati huo ilikuwa inachukuliwa kama sehemu ya bara la Asia,na alikuwa Mwanajiografia aitwaye Ptolemy (85-165A AD) ambaye aliigawa Afrika na Asia na Ulaya kwa kuchora ramani inayoonesha Suez na Bahari Nyekundu kuwa ndio mpaka baina ya Asia na Afrika.

Kwi kwi kwi teh teh teh

Ki Egyptian ni Kiarabu na hiyo uliyoleta ni porojo za kujazwa ujinga.

Kiarabu nnakifahamu.

AFRIKA ni neno la Kiarabu kama nilivyolielezea juu huko.

unaona usivoifahamu historia...huwa unasima nini wewe?,watu wa asili wa Egypt ni akina nani?,tangu lini hao ndugu zako wakawa na akili ? soma hapa
The Black Egyptians are the original settlers of Kemet
The Black Egyptians--Original Settlers of Kemet







The Black Egyptians are the original settlers of Kmt. "The native Sudanese are one of the original pigmented Arabs in that region. They are members of the same ethnic family with the ancient Egyptians, the Ethiopians, the Southern Arabians, and the primitive inhabitants of Babylon. They are all founders and sustainers of the mighty Nilotic civilization we still admire today. They are very great nation of Blacks, who did rule almost over all Africa and Asia in a very remote era, in fact beyond the reach of history of any of our records.


Egypt is a Greek word meaning “Black.”

bullet.gif
The Egyptians of the Bible were Negroid.
bullet.gif
The Bible says both Egyptians and Ethiopians are descendants of Ham.
bullet.gif
Arabs invaded Egypt in the 7th Century AD; Remember, Egypt wasn't invaded by Rome until 300 BC. The Bible dates 4000 BC.
bullet.gif
Therefore, Arabs have no more connection to Ancient Egypt than Europeans have to Ancient America.
bullet.gif
Egyptian is an Afro-Asiatic language. (AFRO, AFRO)
bullet.gif
The national language of modern day Egypt is Egyptian Arabic, which gradually replaced Coptic. (Coptic--Ethiopia)
bullet.gif

Black Egyptians were eventually mixed with invading Libyans, Persians, Greeks, Romans, Turks, Arabs and Western Europeans. That is where the mixed people of the modern-day Arabs come from.

History inaonesha Libya, Tunisia, Egypt, Algeria au nchi zote Africa zinazokaliwa na waarabu awali walikuepo weusi ila baada ya the conquest of North Africa na Invasion of Islam in Africa watu weusi waliuwawa kwenye hayo maeneo na kutwaliwa kimabavu na Muarabu.

History Ambayo mzungu wala muarabu hatakupa sababu lengo lao ni kumdunisha muafrika na ajione inferior mbele yao.

Tafuta ukweli.
Nani kakundanganya waarabu ni weupe?Waarabu kwa mzungu anahesabika ni black,ukimuona muarabu mweupe kama mzungu,huyo amechanganya na wazungu,mwarabu ndio kabila peker duniani,lililochanganya na makabila mbali mbali duniani.
 
Back
Top Bottom