Je, wajua asili ya jina Afrika?

Je, wajua asili ya jina Afrika?

Hahahaa tulia uanduke kitu kinachoeleweka mkuu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
unamtuliza mwenzako ili aandike vizuri huku wewe uliyetulia bado unaandika vitu visivyoeleweka!! Daah!! Kazi kweli kweli..!!
 
Ancient Egypt au Misri ya zamani sio Misri ya leo, Misri ya zamani kwa jina la Kemeth ilikua ya watu weusi sio waarabu.
Kuwa na akili Muarabu ni mtu mweusi,kwa mzungu anamita black,ukimuona mwarabu mweupe ujuwe amechanganya na wazungu,waraabu ni kabila pekee duniani,liliochanganya na makabila mengi,na ndio kabila la kwanzs kuchanganya na makabila tofauti:
 
Nimekuuliza hivi nitajie japo nchi moja ya waarabu ambayo haina "blacks" acha kukwepa swali, common on.

hoja yangu huenda hujaielewa ni wale watumwa wapatao Milion mbili waliochukuliwa Afrika kwenda kuuzwa Uarabuni wako wapi?

brazil ina waafrika wengi kuliko nchi yoyote ya Marekani, ina waafrika wapatao million 70 ambao ni nusu ya wakazi wote wa Brazil, tena inaaminika zaidi ya waafrika milioni 30 walichukuliwa utumwani kutoka Afrika na kuuzwa nchi za nje hasa Marekani na Brazil, masalia ya watu hawa yanaonekana, Uarabuni vipi? waliwapeleka wapi mababu zetu?
 
Mkuu kama kuna masuala ambayo uyajui vizuri ni bora kuuliza, kuuliza si ujinga - tatizo la walio wengi mnachukulia majibu ya Faiza kimzaa mzaa mnatumbukiza mpaka dini!

Siku moja niliwahi kusoma thread ya FaizaFoxy akieleza wasifu wake (Electronics na Mawasiliano) akasema yuko tayari kutoa darasa - binafsi nilifikiri members wamepata fulsa ya kuuliza masuala ya kitekinolojia/sayansi maswali yanayo husu: Solid State Physics

Hii kali, amesahau kwamba watumwa wengi kutoka Barani Africa walipelekwa Amerika ya Kasikasini na Kusini,visiwa vya Caribean nk, je , na hapo Waarabu walihusika?

Mkuu hapo Dini inakujaje, yaani yote yaliyo fafanuliwa kisomi na Dada Faiza kuhusu origin ya jina "Afrika" wewe unabuni masuala ya Dini tu!!
Mkuu tatizo la mtu mwenye mawazo mgando akishaona faiza kataja neno mwarabu basi anatafsiri ni udini na kuanza chuki binafsi na personal attack kwa Faiza badala ya kuchangia mada,lakini akitajwa mzungu huyo huyo mtu hawezi kutafsiri ni udini!!

maisha ya kukariri ni hatari sana!
 
hoja yangu huenda hujaielewa ni wale watumwa wapatao Milion mbili waliochukuliwa Afrika kwenda kuuzwa Uarabuni wako wapi?

brazil ina waafrika wengi kuliko nchi yoyote ya Marekani, ina waafrika wapatao million 70 ambao ni nusu ya wakazi wote wa Brazil, tena inaaminika zaidi ya waafrika milioni 30 walichukuliwa utumwani kutoka Afrika na kuuzwa nchi za nje hasa Marekani na Brazil, masalia ya watu hawa yanaonekana, Uarabuni vipi? waliwapeleka wapi mababu zetu?
Sasa si unaona hapo umeitaja Brazil, sasa nitajie nchi ya hao waarabu ambayo haina hao Waafrika? Au unafikiri "Uarabuni" ni jina la nchi? Taja jina la nchi straight acha kuzunguka Mbuyu Kijana.
 
Porojo ndeeeeeefu.

Afrika ni neno la Kiarabu linalotokana na neno "Afrit" kwa maana the hideous, iliyofichika.
Nadhani ukiambiwa mungu ni mwarabu hutakuwa na kipingamizi, maana naona mahaba yamekuzidi.
 
Waarabu washakuharibuu wewe
Safari bado ni ndefu sana aisee!! ikiwa hata wewe eti ni member wa JF halafu unachangia mada na kukosoa wenzako, bora urudi fesibuku tu kijana huku hapakufai,sio size yako.
 
Hamsomi si m google jina Africa linatokana na mzungu wa kwanza kuja Africa akiitwa AFRICANUS mwingereza nadhani ndipo wazungu wakakubaliana kuita huku Africa zamani sana Africa kaskazini haikuitwa Africa ilikuwa bara la ARABIA hata karibuni miaka ya 1982 Kuna rafiki yangu baba ake alipata kazi Morroco ananiambia walikua wanamuuliza,are you coming from Africa shuleni hawakuamini kama wao ni waafrica mpaka leo wamisri wengi hawapendi kuitwa waafrica AFRICA ni jina la kikoloni
 
Sasa si unaona hapo umeitaja Brazil, sasa nitajie nchi ya hao waarabu ambayo haina hao Waafrika? Au unafikiri "Uarabuni" ni jina la nchi? Taja jina la nchi straight acha kuzunguka Mbuyu Kijana.
Waarabu kutoka Oman ndio waliokuwa vinara wa biashara ya utumwa kwa ukanda wa Afrika Mashariki, wakiongozwa na Sultani aliyekubuhu kwa biasha ya watumwa, kama dunia ina mwisho basi ukatili walioufanya hawa watu wako wa kiarabu waafrika hawatausahau hata mwisho wa dunia
 
Kwahiyo unataka kuniambia huko Oman hakuna waafrika? Kijana unaongea kwa assumption na sio fact,kitu kama hujui ni vizuri kuuliza kuliko kuleta shutuma zisizokua na maana eti "hakuna masalia ya waafrika Uarabuni!"

Uliza tukufahamishe kwanza kabla ya kutoa tuhuma kwa kutumia fikra zako tu na chuki binafsi.
 
km unashidi wa masalia ya waafrika waapatao mill 2 waliochukuliwa na sultan, nitelee
 
km unashidi wa masalia ya waafrika waapatao mill 2 waliochukuliwa na sultan, nitelee
Hebu kwanza wewe leta ushahidi wa hao waafrika milioni 2 waliochukuliwa kabla ya mimi sijakuletea ushahidi wangu,twende kwa fact na sio assumption,hiyo figure ya 2M umeitoa wapi?
 
Kwa sababu ni mzungu, towa "z" katika mzungu inabaki nini? Unaweza kumlaumu? Unless uwe unamuamini Allah pekee.
MPUMBAVU ATABAKI KUWA MPUMBVU TUUU, kweli nimeamini na humu ndani wapo wengi tuu,...Yan the way huyu Mzungu alivo i curve minds za sis waafrica ni Elimu mbadala nje ya Systerm ambayo huyo huyo mzungu Kaificha ili New world Order ambayo soon tuu itakuwa on power pale OBama atakapo mkabidhi Trump kijinga cha moto, sitaki kupoteza mada mfano soma neno GOD kuanzia mwisho kuja mwanzo kama kiarabu unapata ......?????
 
Back
Top Bottom