Je, wajua asili ya jina Afrika?

Je, wajua asili ya jina Afrika?

6 Basi sauti hii iliposikiwa makutano walikutanika, wakashikwa na fadhaa, kwa kuwa kila mmoja aliwasikia wakisema kwa lugha yake mwenyewe.
7 Wakashangaa wote, wakastaajabu wakiambiana, Tazama, hawa wote wasemao si Wagalilaya?
8 Imekuwaje basi sisi kusikia kila mtu lugha yetu tuliyozaliwa nayo?
9 Warparthi na Wamedi na Waelami, nao wakaao Mesopotamia, Uyahudi na Kapadokia, Ponto na Asia,
10 Frigia na Pamfilia, Misri na pande za Libia karibu na Kirene, na wageni watokao Rumi, Wayahudi na waongofu,
11 Wakrete na Waarabu; tunawasikia hawa wakisema kwa lugha zetu matendo makuu ya Mungu.

My take:
Kama figisu, basi zilianza zaidi ya miaka 2,000 nyuma. Hebu watanzania tufanye kazi.
 
Huwa sikisii. Hivyo ni vitu adimu nilivyonavyo ambavyo utatafuta mtandao wote Usiniletee.

Labda nikusaidie, katafute maana ya Ifrit.

Si huo ujuha aliouleta huyo.

Licha ya neno Afrika kutokana na Kiarabu, hata jina la jiji kuu la Tanzania linatoka ndani ya Qur'an. Na lina maana moja na Jerusalem.

Bisha na hilo na mwambie huyo mwenzako akatafute kopi na pesti zake kama atayapata hayo.

Kuna mengi mnajazwa ujinga, someni "tarikh" mfunguke vichwa vyenu si kusomeshwa na wazungu elimu ambayo historia yote ipo katika kuwapumbaza, kuwadumaza na kuwajaza ujinga mpaka mnafikia ujinga wa kumfanya mzungu kuwa Mungu.

Bisha na hilo halafu kabla hujajibu towa z katika mzungu, utapata nini?

Haya jibu hayo mkisaidiana na huyo punguani mwengine.
Siku pingi wala sina elimu hiyo ya kubishana na watu ila napenda kukuuliza kwann comments zako nyingi zimejaa udini ndani yake? badilika bwana tunahitaji elimu lwkini hv unavowatenga nyuki si vizuri,
 
Waache wazilete nyingi then tufanye uchambuzi wetu. Lakini ukiangalia wagiriki, waarabu wote katika lugha zao wana maneno ukitohoa unapata Afrika
nawe unasemaje kuhusu afrika unaiitaje mkuu?
 
"Afrit" imetokana na nini?[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Hahah
 
Afreet : a powerful evil jinni, demon, or monstrous giant in Arabic mythology

Variants: or afrit \ˈa-ˌfrēt, ə-ˈfrēt\

Origin: Arabic ʽifrīt.

First use: 1786
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Siku pingi wala sina elimu hiyo ya kubishana na watu ila napenda kukuuliza kwann comments zako nyingi zimejaa udini ndani yake? badilika bwana tunahitaji elimu lwkini hv unavowatenga nyuki si vizuri,

Akitajwa Muislam, udini?
 
Kama porojo unachangia nini?have value on being civilized.Ungepungukiwa nini kumpongeza na kuongezea ulilosema?
[emoji57] [emoji57]

Porojo kwa kuwa swali analouliza ni fupi sana lakini kabwabwaja na kuhororoja kwa porojo ndeeeeeefu kupita kiasi.
 
''MJEREMANI'' tunamuacha wapi kwenye historia ya Tanzania na Afrika kwa ujumla, kwann yy halaumiwi kama mmarekani na Mwarabu.
naomba juzwa.......

Kwa sababu ni mzungu, towa "z" katika mzungu inabaki nini? Unaweza kumlaumu? Unless uwe unamuamini Allah pekee.
 
Huwa sikisii. Hivyo ni vitu adimu nilivyonavyo ambavyo utatafuta mtandao wote Usiniletee.

Labda nikusaidie, katafute maana ya Ifrit.

Si huo ujuha aliouleta huyo.

Licha ya neno Afrika kutokana na Kiarabu, hata jina la jiji kuu la Tanzania linatoka ndani ya Qur'an. Na lina maana moja na Jerusalem.

Bisha na hilo na mwambie huyo mwenzako akatafute kopi na pesti zake kama atayapata hayo.

Kuna mengi mnajazwa ujinga, someni "tarikh" mfunguke vichwa vyenu si kusomeshwa na wazungu elimu ambayo historia yote ipo katika kuwapumbaza, kuwadumaza na kuwajaza ujinga mpaka mnafikia ujinga wa kumfanya mzungu kuwa Mungu.

Bisha na hilo halafu kabla hujajibu towa z katika mzungu, utapata nini?

Haya jibu hayo mkisaidiana na huyo punguani mwengine.
Isome wewe kulingana na Imani yako,
naona wewe IQ yako ni -0.00001.
 
The Name Africa is of African Origins from the Egyptian Word "Afru-ika" or 'Motherland."
punguza uongo
Yani Egypt!!! Hata ingesema Tunisia au Morocco! Kwa huyo Bibi roho yake itakua kwatuuuu! Sasa sema neno Africa lina asili ya Ethiopia uone kazi.
 
Kwa sababu ni mzungu, towa "z" katika mzungu inabaki nini? Unaweza kumlaumu? Unless uwe unamuamini Allah pekee.
Ona sasa mjinga kama huyu,
Ndio maana mimi nasema IQ huyu ni -0.00001

Sasa labda nikuulize hilo neno Mzungu in English,Hebrew,latin..!!??
Na penyewe utatoa herufi.!!??

Na wewe hilo jina lako toa i na y
Basi usomeke Faza Fox
 
Oh asante ndugu yangu naona Africa tumeamua kuutafuta ukweli history ya muafrika iliyoandikwa na mzungu au mwarabu ni potofu na porojo iliyomdunisha muafrika kwa muda mrefu na akajiona duni kisha lengo la waandishi likatimia ila the true history of black people inaonesha muafrika alikua ni mtu mahiri mwenye akili nyingi na mwanadamu wa Kwanza kuitawala dunia nzima na kufikia maendeleo ambayo mpaka leo hakuna race yoyote iliyopata kuyafikia.

Nafarijika kuona ukweli unaanza kutafutwa na kupatikana proudly African.

kiasili neno AFRIKA sio neno asili au la mwanzo kabisa la bara hili.hiki sio kitu kigeni kwa sababu zipo nchi au maeneo mengi ambayo yalipewa majina na watu wa kuja na majina hayo yakafanikiwa kabisa kufuta majina halisi ya sehemu hizo.
mfano ni nchi kama misri ambayo jina lake halisi ni KEMET likiwa na maana ya nchi ya watu weusi.Afrika pia ni jina la kuja tu ambalo limetoka kwa walatini lakini jina halisi la bara hili ni HIKUPTAH(HI-KU-PTAH).
wengi mtajiuliza ya kuwa imekuwaje mbaka jina hili la afrika likatumika sana badala ya jina halisi la HIKUPTAH.ntaeleza kwa mfano wa kawaida sana.mfano huu ni kuwa inafahamika ya kuwa mji wa dar es salaam ulikaliwa na wazaamo hapo zamani.kikaja kipindi watu mbali mbli wakaanza kuja na wazaramo wakaanza kuhamia pembeni mwa miji na hadi leo washaanza kufika pwani.hivyo basi itafikia kipindi dar itakuwa si ya wazaramo tena na watu wa kipindi hicho wakiambiwa kuwa dar ilikuwa ya wazaramo hawatoamini.hiki ndichi kilichotokea.
kwa upande wa afrika historia ndo imesababisha yote haya maana mara baada ya bishaa ya utumwa historia yetu iliandikwa upya na kupotoshwa na ndo hadi leo tunaitumia.ni nadra kukutaha historia sahii ya afika kabla ya biashaa ya utumwa na hata baada ya biashara ya utumwa.leo hii ukisema ya kuwa wamisi wa mwanzo na waisrael wa mwanzo walikuwa ni weusi basi watu watakataa.
 
Ona sasa mjinga kama huyu,
Ndio maana mimi nasema IQ huyu ni -0.00001

Sasa labda nikuulize hilo neno Mzungu in English,Hebrew,latin..!!??
Na penyewe utatoa herufi.!!??

Na wewe hilo jina lako toa i na y
Basi usomeke Faza Fox

Darsa limekuingia umebaki unabwabwaja na kuhororoja bila mpango.
 
Back
Top Bottom