Je, wajua asili ya jina Afrika?

Je, wajua asili ya jina Afrika?

History inaonesha Libya, Tunisia, Egypt, Algeria au nchi zote Africa zinazokaliwa na waarabu awali walikuepo weusi ila baada ya the conquest of North Africa na Invasion of Islam in Africa watu weusi waliuwawa kwenye hayo maeneo na kutwaliwa kimabavu na Muarabu.

History Ambayo mzungu wala muarabu hatakupa sababu lengo lao ni kumdunisha muafrika na ajione inferior mbele yao.

Tafuta ukweli.
Hao waarabu wakatoka wapi sasa?
 
Asante mkuu umenipa starting point! Asante
 
Angalau mjadala huu utaongeza kiwanda japo kimoja!
 
History inaonesha Libya, Tunisia, Egypt, Algeria au nchi zote Africa zinazokaliwa na waarabu awali walikuepo weusi ila baada ya the conquest of North Africa na Invasion of Islam in Africa watu weusi waliuwawa kwenye hayo maeneo na kutwaliwa kimabavu na Muarabu.

History Ambayo mzungu wala muarabu hatakupa sababu lengo lao ni kumdunisha muafrika na ajione inferior mbele yao.

Tafuta ukweli.
Hapa kuna ukweli hawa watu weupe washenzi sana. Heko comred Mugabe
 
unaona usivoifahamu historia...huwa unasima nini wewe?,watu wa asili wa Egypt ni akina nani?,tangu lini hao ndugu zako wakawa na akili ? soma hapa
The Black Egyptians are the original settlers of Kemet
The Black Egyptians--Original Settlers of Kemet

The Black Egyptians are the original settlers of Kmt. "The native Sudanese are one of the original pigmented Arabs in that region. They are members of the same ethnic family with the ancient Egyptians, the Ethiopians, the Southern Arabians, and the primitive inhabitants of Babylon. They are all founders and sustainers of the mighty Nilotic civilization we still admire today. They are very great nation of Blacks, who did rule almost over all Africa and Asia in a very remote era, in fact beyond the reach of history of any of our records.

Egypt is a Greek word meaning “Black.”

bullet.gif
The Egyptians of the Bible were Negroid.
bullet.gif
The Bible says both Egyptians and Ethiopians are descendants of Ham.
bullet.gif
Arabs invaded Egypt in the 7th Century AD; Remember, Egypt wasn't invaded by Rome until 300 BC. The Bible dates 4000 BC.
bullet.gif
Therefore, Arabs have no more connection to Ancient Egypt than Europeans have to Ancient America.
bullet.gif
Egyptian is an Afro-Asiatic language. (AFRO, AFRO)
bullet.gif
The national language of modern day Egypt is Egyptian Arabic, which gradually replaced Coptic. (Coptic--Ethiopia)
bullet.gif

Black Egyptians were eventually mixed with invading Libyans, Persians, Greeks, Romans, Turks, Arabs and Western Europeans. That is where the mixed people of the modern-day Arabs come from.
Umeeelezea vizuri sana
 
Oh asante ndugu yangu naona Africa tumeamua kuutafuta ukweli history ya muafrika iliyoandikwa na mzungu au mwarabu ni potofu na porojo iliyomdunisha muafrika kwa muda mrefu na akajiona duni kisha lengo la waandishi likatimia ila the true history of black people inaonesha muafrika alikua ni mtu mahiri mwenye akili nyingi na mwanadamu wa Kwanza kuitawala dunia nzima na kufikia maendeleo ambayo mpaka leo hakuna race yoyote iliyopata kuyafikia.

Nafarijika kuona ukweli unaanza kutafutwa na kupatikana proudly African.
Pamoja mkuu
 
The Name Africa is of African Origins from the Egyptian Word "Afru-ika" or 'Motherland."
punguza uongo
Bora umwambie sijui kagoogle wapi huo ujinga alioandika na kumuambia mwenzeka eti porojo ndefu wakati mi naona huyo jamaa kauliza

Hizi theories za neno Africa ni nyingi sio kama yeye alivyojiaminisha kwa huo upuuzi wa kuona ye ndio much know sio vizuri hivyo, tunasikiliza mawazo yote tunakusanya data.
 
unaona usivoifahamu historia...huwa unasima nini wewe?,watu wa asili wa Egypt ni akina nani?,tangu lini hao ndugu zako wakawa na akili ? soma hapa
The Black Egyptians are the original settlers of Kemet
The Black Egyptians--Original Settlers of Kemet

The Black Egyptians are the original settlers of Kmt. "The native Sudanese are one of the original pigmented Arabs in that region. They are members of the same ethnic family with the ancient Egyptians, the Ethiopians, the Southern Arabians, and the primitive inhabitants of Babylon. They are all founders and sustainers of the mighty Nilotic civilization we still admire today. They are very great nation of Blacks, who did rule almost over all Africa and Asia in a very remote era, in fact beyond the reach of history of any of our records.

Egypt is a Greek word meaning “Black.”

bullet.gif
The Egyptians of the Bible were Negroid.
bullet.gif
The Bible says both Egyptians and Ethiopians are descendants of Ham.
bullet.gif
Arabs invaded Egypt in the 7th Century AD; Remember, Egypt wasn't invaded by Rome until 300 BC. The Bible dates 4000 BC.
bullet.gif
Therefore, Arabs have no more connection to Ancient Egypt than Europeans have to Ancient America.
bullet.gif
Egyptian is an Afro-Asiatic language. (AFRO, AFRO)
bullet.gif
The national language of modern day Egypt is Egyptian Arabic, which gradually replaced Coptic. (Coptic--Ethiopia)
bullet.gif

Black Egyptians were eventually mixed with invading Libyans, Persians, Greeks, Romans, Turks, Arabs and Western Europeans. That is where the mixed people of the modern-day Arabs come from.

Wewe kweli punguani kajisome ulivyonasibisha weusi na Uarabu na UEgption.

Ni nani alikudanganya Uarabu ni rangi?

Unaandika upuuzi ambao unakuja kuutetea kijinga.

Hiyo Egypt na Europe na in short Dunia nzima watu wote asili yao ni Afrika. Na sayansi inayakinisha hayo zaidi ya hiyo historia yako ya kujazwa ujinga uliyoikopi na kuipesti.

Afrika inatokana na neno Ifrit pronounced Afrit. Siyo ile ya kubuni uliyoileta wewe. Kama ulisomeshwa hivyo basi juwa kuwa umesomeshwa ujinga.
 
Bora umwambie sijui kagoogle wapi huo ujinga alioandika na kumuambia mwenzeka eti porojo ndefu wakati mi naona huyo jamaa kauliza

Hizi theories za neno Africa ni nyingi sio kama yeye alivyojiaminisha kwa huo upuuzi wa kuona ye ndio much know sio vizuri hivyo, tunasikiliza mawazo yote tunakusanya data.

Huwa sikisii. Hivyo ni vitu adimu nilivyonavyo ambavyo utatafuta mtandao wote Usiniletee.

Labda nikusaidie, katafute maana ya Ifrit.

Si huo ujuha aliouleta huyo.

Licha ya neno Afrika kutokana na Kiarabu, hata jina la jiji kuu la Tanzania linatoka ndani ya Qur'an. Na lina maana moja na Jerusalem.

Bisha na hilo na mwambie huyo mwenzako akatafute kopi na pesti zake kama atayapata hayo.

Kuna mengi mnajazwa ujinga, someni "tarikh" mfunguke vichwa vyenu si kusomeshwa na wazungu elimu ambayo historia yote ipo katika kuwapumbaza, kuwadumaza na kuwajaza ujinga mpaka mnafikia ujinga wa kumfanya mzungu kuwa Mungu.

Bisha na hilo halafu kabla hujajibu towa z katika mzungu, utapata nini?

Haya jibu hayo mkisaidiana na huyo punguani mwengine.
 
Faiza fox, kichwa maji yeye amakariri kuruani, anataka ajiingize kwenye mambo ya kitaaluma duuuuuu

Km anawapenda waislam akaolewe na boko haram
 
Tangu hapo kale Afrika ilikuwa haiitwi Afrika au bara la giza (Dark Continent)

ilikuwa ikiitwa Edeni au Ake-blan

Edeni au Ake-blani maana yake mama wa mwanadamu

Neno Afrika, ni neno la kilatini lenye maana ya mtu aliyeungua.
 
Faiza fox, kichwa maji yeye amakariri kuruani, anataka ajiingize kwenye mambo ya kitaaluma duuuuuu

Km anawapenda waislam akaolewe na boko haram

Huna hoja, kaa kimya kwani kwa maandiko yako tu unaonekana huna upeo wa kuchangia mada hii.
 
  • Thanks
Reactions: dtj
Back
Top Bottom