Je, Viongozi wa Idara ambao ni Wachagga waachie ngazi!??

Status
Not open for further replies.

hao ni 0.000000101010% ya wachaga. Any way thanks kwa mfano huo, Chami ni mchaga wa Marangu ndo akawa msafi eeh? Na Mwanri ni wa Siha, inakuwaje kule Sanya wakafisadi misitu yote na yeye kanyamaza tu, au ndio kulinda heshima ya sirikali?
 

Vipi msosi wa leo kuna pilau au kawaida mkuu?
 


Napinga hili. Hii ni moja ya maandiko muhimu katika historia ya jamboforum. For simple minds watarukia ubaguzi but for any critical person hii ni nafasi ya kuamka na kujitambua......wapi tunaelekea na siasa chafu tunazoelekea kuzizoea.......

This can be the best wakeup call ever kwetu sote na Tanzania yetu.....

Tanzanianjema
 
Kuna watu wanaoufagilia UKABILA huku na walifanikiwa kujificha nyuma ya WANGWE!
Sasa Wangwe kaanguka vibaya ila wajumbe wake ambao wanajidai kusema ana jazba...Bado wanaendeleza mapigano yao kwa malipo kutoka kwa ROSTAMA AZIZIII.
 

kimbia maana karibu utaingia mkenge. Hivi mwanakijiji akifungiwa kuingia JF si ataugua jamani, just curious. MWANAKIJIJI hebu niambie ukifungiwa utajisikiaje, kama hujui utakavyojisikia kwa vile hujawahi fungiwa, hebu ukubali kufungiwa kwa wiki moja tu walau,
 
teh teh teh teh tehhhhhhhhhhhhheeeeeeeeeeeeeeee. Report ndio mamod wataona, kelewuwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, Yesu na Maria na Yosef, ha ha hahaaaaaaaaaaaaa. Jamani raha.........raha tupu JF, no wonder addicted.

LOL mi nikidhani huwa wanaperuzi kuangalia haya mambo..sasa kubonyeza kitufe tena ha kuripoti? hizi kanuni safari hi hapana wacha tu nimshitaki kwa 'wananchi' hapa hapa......wataona tu
 
Na wasukuma nao na KUIBA MABILIONI YA DOLA NA KUSEMA ETI VIJISENTI!
Kama kuna MAFISADI ZAIDI YA WACHAGGA..HALAFU HAWAJALETA MAENDELO..BASI HAO NI WA KUCHOMWA MOTO!
Mimi nakwambia bila kujali uchagga ama nini...SITOKUBALI TAIFA LIUZWE KWA VISINGIZIO VYA UCHAGGA!
Hii tread mimi nachangia just kuwaelewesha historia ya taifa letu...Lakini bottom line haitakuwa na nguvu pale SHERIA ITAKAPOWABANA HAO WAARABU WALIOKUJA KUWACHAFUA WACHAGGA KWA KISINGIZIO CHA UKRISTO,UCHAGGA,NA USFISADI...NA HUKU UKIANGALI FISADI ENGINEER LENYEWE NI GAIDI KUTOKA IRANI LINALOFAGILIWA NA WATUMWA AMBAO NI WAZI TUTAWACHAPA BAKORA HADI WAPATE AKILI!
 
Basi sasa hivi ianze sera ya majimbo ili kila mkoa ujiendeleze kwa rasilmali zake!
Hapo sijui itakuwaje?
 

Tanzania Njema,

Froma Wangwe's perspective hilo linaeleweka.
Inaeleweka kuwa Wangwe anatumia karata ya ukabila kufikia malengo yake kisiasa
Inaeleweka pia kuwa suala la ukabila ni rahisi kuvuta hisia za wengi kwa sababu ni aina ya ubaguzi
Inaeleweka sana kuwa ubaguzi wowte ule hauvumiliki kwa nchi yetu na umekuwa ukipigwa vita kila mahali
Inaeleweka tena kuwa mambo haya ya ubaguzi kuanzia la miss Tanzania, udini nk yameshajadiliwa sana hapa JF,
Kama ni wake up call, nadhani tumeshaisikia sana tu...

Mtindo alotumia Mkuu Mwanakijiji kuwasilisha hiii hoja naweaa kuuita wa kinyume nyume na sio wote wataweza kuelewa anamaanisha nini na huenda wakamchukulia kama mbaguzi namba moja.

Kujitambua ninakoelewa mimi ni kwa wale ambao wanadhani wako kwenye minority groups kuamka na kuanza kufanya kazi kwa bidii iwe ni kusoma au shughuli yoyote ile.

Hakuna njia ya mkato wandugu! work hard!
 
Hoja kama hizi ziwe zimetoka kwa Mgagagigikoko(wangwe) ama hata ROSTAMA AZIZII AMBAYE NI GAIDI LA KIARABU KUTOKA IRANI LILILOTUMWA KUJA KUICHUKUWA NCHI YETU MARA BAADA YA MAPIGANO YA WENYEWE KWA WENYEWE!
MTAPOKEA VIPI ORDER KUTOKA KWA MTU AMBAYE NDIYE ENGINEER MKUU WA UFISADI WOTE AMBAYE ALI WATARGET WACHAGGA ILI KUWA ELIMINATE NA KULETA WAARABU?
Tuta waachia Dar yao na ZENJI KAMA WANAZITAKA!
THIS IS BANTU LAND WAPELEKE MATAKO YAO UARABUNI!
AND OFCOURSE TUTAZICHAPA ILI KUTETEA uhuru wetu!
 
Lakini hapa naona 'collective judgment' si inakubalika, kwamba Wahaya mambo fulani, Waha wabishi, Wachaga stingy, Wakyura wakorofi, Wamachinga hawakuchimba, Wanyakyusa wakabila, na Wasukuma wanga...

Ooh, na Wahehe ma-house girl.

Au?


Kuhani,

Nani kasema collective judgement inakubalika hapa? kwa hiyo na wasukuma tuanze kuwafikiria tukiwapa post za uwaziri wata-end up kuwa wazee wa voodooo?

Sasa kwa mtaji huo Tanzania haitakua na Rais basi maanke kila kabila lina watu wenye tabia fulani fulani zinazoshabihiana
 

Una takwimu?

Mimi mbona sijashitukia hiyo dominance ya Wachaga katika vyeo/nafasi, una takwimu?

Halafu, unaposema "pendekezo modest" una maana gani? Unamaanisha yaliyo moyoni au pendekezo kejeli, sarcasm?

Ndio maana ukaulizwa, ungeweza kurekodi hii notion yako kwenye gazeti nyuma ya jina lako? Ukajibu gazeti litafungiwa. Lingekuwa halifungiwi ungeweza?

Unaamanisha unachokisema hapa?
 

ayaaaaaaaaaaaaaaaa
 
hao ni 0.000000101010% ya wachaga. Any way thanks kwa mfano huo, Chami ni mchaga wa Marangu ndo akawa msafi eeh? Na Mwanri ni wa Siha, inakuwaje kule Sanya wakafisadi misitu yote na yeye kanyamaza tu, au ndio kulinda heshima ya sirikali?



Mama

Sasa woote siwajui maanke wengine ni mpaka watuibie ndio wawe maceleb.
 
Hapo Dar watu wanachuki sana na wakristo na wao huwaita..WAKIRISTO!
Na pia wachagga wao husema mangi!
Chuki ni mbaya na waarabu hapo Dar ndio wanaleta hayo na kwa mtizamo wangu wanamzungunka R.MENGI!
Kama wana ndoto nasema ni za mchana!
Tutazichapa na watarudi uarabuni kwao!
Na misomali ndio usiseme!
BANTU LAND IS FOR BANTU!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…