Kichwamoto
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 3,363
- 4,560
- Thread starter
- #21
Sasa cha ajabu tunakutana na vibaka wa kike ukifanya yote hayo anachomoa betri, tuachane na kuwinda vibaka, wamejaa mno kitaaNgoja nikusaidie kijana, upendo ni kujitoa kwa hali na mali kwa mtu fulani. Unaye mpenda utapenda awe na kheri na salama popote alipo, utakaye mpenda lazima utamuhurumia. Yaani mapenzi ya kweli yana ambatana na huruma.
Aina za upendo zipo ila zote zinarudi katika maelezo hayo hapo juu. Kuna upendo wa mzazi na mtoto na upendo wa mke na mme na kuna upendo wa mja mwema kwa mja mwema mwingine na kuna upendo wa kimakosa.
Upungufu wa akili na imani ni katika umbile la mwanamke ndiyo maana mwanamke anatakiwa aishi chini ya uangalizi wa Mwanaume. Kwa maana hii sasa ni wajibu wako kutafakari na uweze kuendelea hapa nilipo ishia.