Je, unafahamu Ukweli usiosemwa na Wanawake kuhusu Kupenda?

Ngoja nikusaidie kijana, upendo ni kujitoa kwa hali na mali kwa mtu fulani. Unaye mpenda utapenda awe na kheri na salama popote alipo, utakaye mpenda lazima utamuhurumia. Yaani mapenzi ya kweli yana ambatana na huruma.

Aina za upendo zipo ila zote zinarudi katika maelezo hayo hapo juu. Kuna upendo wa mzazi na mtoto na upendo wa mke na mme na kuna upendo wa mja mwema kwa mja mwema mwingine na kuna upendo wa kimakosa.

Upungufu wa akili na imani ni katika umbile la mwanamke ndiyo maana mwanamke anatakiwa aishi chini ya uangalizi wa Mwanaume. Kwa maana hii sasa ni wajibu wako kutafakari na uweze kuendelea hapa nilipo ishia.
Sasa cha ajabu tunakutana na vibaka wa kike ukifanya yote hayo anachomoa betri, tuachane na kuwinda vibaka, wamejaa mno kitaa
 
Niliwahi tizama filamu moya ya kizungu inaitwa titnic nikaamini wanaume ndio mwenye upendo wa dhati

Nishawahi soma bibilia nikasoma ile hadithi ya samson aliemhusudu delila utagundua samson ndio aliempemda zaidi delila

Nishawahi sikiliza wimbo wa Freshy Mwambuli uitwao STELLA ukisikiliza utagundua kuwa fresy mwambuli ndio aliempenda bi.stella

kwa hio basi siwezi sita kusema kuwa wanaume wote ni waamifu watiifu na watu wenye moyo
 
hizo cases ziko valid but doesn't some up significantly to disregard some millions of women who broke virginity for us men, I think something hidden women also have inborn love to some Men though they are naturally material seekers. Womanizers are also in millions numbers
 
Ipo nadharia au msemo au ukweli unaofichwa kusudi na wanawake. Ukweli huo au nadharia hio ni kwamba wanawake hupenda kwa dhati Mwanaume mmoja tu kati ya wengi anaokuwa nao.

Wengine wote anakuwa nao kwa (Sababu) tu na sababu hizo huwa ni kwa faida zake binafsi na malengo yake iwe ni upenzi, uchumba au kuolewa hio sababu hubaki kuwa ndio chagizo la yeye kudumu na wewe au kutodumu na wewe, unapokosa au kupungukiwa na tija ya hio sababu na penzi hunyauka.

Tafadhari wadada mnaweza kuthibitisha au kukanusha hii nadharia au ukweli huu.

Je, ikiwa ni kweli tukiwabatiza muitwe Mashetani itafaa au haitafaa?
Anyway pesa ndio muhimu mapenzi hata binafsi wenyewe utajipatia
 
mrangi kuweni serious jamani.
Maua ya nini?bora uniletee mchaimchai nitatumia kama kiungo cha chai.

Kwenye pesa ninakuunga mkono.
Unaweza kuwa na mahusiano na.mwanamke
Sim yake akipiga unaona nuksi
Ukimuona anakuja unaweza kula kona maana kila dk,saa ni pesa,mizinga

Ova
 
FB_IMG_16443130867838841.jpg
 
Ipo nadharia au msemo au ukweli unaofichwa kusudi na wanawake. Ukweli huo au nadharia hio ni kwamba wanawake hupenda kwa dhati Mwanaume mmoja tu kati ya wengi anaokuwa nao.

Wengine wote anakuwa nao kwa (Sababu) tu na sababu hizo huwa ni kwa faida zake binafsi na malengo yake iwe ni upenzi, uchumba au kuolewa hio sababu hubaki kuwa ndio chagizo la yeye kudumu na wewe au kutodumu na wewe, unapokosa au kupungukiwa na tija ya hio sababu na penzi hunyauka.

Tafadhari wadada mnaweza kuthibitisha au kukanusha hii nadharia au ukweli huu.

Je, ikiwa ni kweli tukiwabatiza muitwe Mashetani itafaa au haitafaa?
Ulipo malizia ndo ulipo haribu
 
Back
Top Bottom