Tambua Ukweli Mchungu Kuhusu Wanawake Kwenye Mahusiano

Infinite_Kiumeni

JF-Expert Member
Jan 23, 2023
382
661
Ni muhimu uyajue haya mapema.
Kabla ya kuchelewa na kujikuta unaumia juu ya wanawake bila sababu. Wanawake ni tofauti na wanaume.
Jifunze haya mapema.

Utatumika jinsi unavyomuongoza.
Kama unamuongoza ki pesa tu utatumika ki pesa.
Kama unamuongoza ki ngono tu utatumika ki ngono na hamtakua na mahusiano kiundani. Na,
Kama unamuongoza ki mahusiano, katika ukweli, kutaka kujuana na kuwa wa malengo mtaishi hivyo.
Kama ukimuongoza ki rafiki tu, mtaishia kuwa marafiki tu.
Cha muhimu ni kuwa makini na vile unavyojiweka ukiwa na mwanamke.
Sababu tangu unapoanza kuongea na mwanamke anakuchunguza we ni wa aina gani na anaishi na wewe kwa jinsi ulivyo.

Ukimuachia atakuendesha.
Kama usipoweka mipaka.
kama usipoweka utawala wako.
Kama usipomuongoza utakavyo. Atakushusha heshima. Atakuona kama mdogo wake/ mwanae.
Kama vile mmama anavyomuongoza mwanae mdogo na wewe atakufanya hivyo hivyo.
Usiogope kumwambia hapana. Usijidanganye kwamba hii ni kwa leo tu nimwachie. Hakunaga kwa leo tu.
Usiogope kumuadhibu pale anapovuka mipaka.
Adhabu sio lazima kumpiga, unaweza mrudisha kwao au unampotezea.

Ukiwa dhaifu/ mnyenyekevu mno utakubaliwa mwishoni.
Mwanamke anataka kujiachia kwa mwanaume jasiri.
Hasa kipindi wanakua. Akishakua sasa na anataka kuolewa ndo ataanza kutafuta wanaume wapole/ wanyenyekevu na dhaifu. Baada ya kumaliza kuchezeana.
Kwa sababu anajua akiwa na huyo mwanaume ana uhakika atakua naye kwa muda mrefu na atamuendesha atakavyo.

Wanawake hawana huruma na mwanaume.
Ipo kwenye damu yao.
Kwasababu inabidi achague mwanaume bora kuliko wote.
Ili awe na uhakika wa familia yake itakua salama. Wala sio jambo la kulalamikia. Au kutaka kuwabadili wanawake wawe na huruma.
Bali ni wewe kujiboresha na kuwa mwanaume mwenye viwango.
Kwenye maamuzi yoyote magumu mtu inabidi usiwe na huruma.
Pia kwa sababu wanajali hisia zao kuliko akili kawaida.

Mwanamke anamkubali zaidi mwanaume asiyejali sana.
Kwake ni kama changamoto, wanawake wanapenda changamoto.
Wanapenda wapiganie kumpata mwanaume.
Ndo utasikia “yani, sijui kwanini siwezi kumuacha”, ni kwasababu bado anamfukuzia huyo mwanaume.
Kama unajali kuhusu kila kitu mwanamke asemacho/ anachofanya utapata shida na mwanamke hatokuzingatia sana. Atakupotezea.
Unaweza jisemea ngoja nimuoneshe kumjali sana ili anipende.
Lakini ye asilione hilo, ataona we unajipendekeza kwake/ unamtukuza.

Mwanamke haachi kukujaribu.
Atakujaribu kwa sababu nyingi, lakini mara nyingi sababu ni;
Atakujaribu ajue kama unajiamini, ni mjasiri na hauyumbishwi naye.
Atakujaribu ajue kama anaweza kukuamini.
Atakujaribu ajue kama kweli unamtaka au unampotezea muda.
Atakujaribu ajue na athibitishe kitu, kama vile udhaifu au alichosikia.
Atakujaribu ajue kama anaweza vuka mipaka yako.
Cha muhimu ni kujua pale anapokujaribu na kuyapita. Usije ukachanganya majaribu yake na wasiwasi/ udhaifu wake.

Anataka usalama kwako.
Kitu kikubwa kwa mwanamke yoyote anataka ni usalama.
Kifedha, kihisia, kimwili na kiakili.
Japo wanawake nao wanawezeshwa pia lakini kutaka usalama ipo kwenye damu zao. Ndo mana ni ngumu kuona mwanamke anatoka na mtu aliye chini yake.

Lakini unakuta mwanamke anaishi na mwanamke asiyempenda sababu ana usalama wa kifedha/ kimwili/ kihisia.
Mwanamke anataka ajisikie kulindwa nawe, ajihisi hatopatwa na chochote akiwa upande wako.

Wanawake wanataka kuonekana.
Kadri anavyozidi kuonekana ndivyo anazidi kujiamini.
Kadri anavyozidi kuonekana ndivyo anazidi kujisikia amani.
Na kila mwanamke ana mbinu yake ya kuhakikisha anaonekana.
Ndo mana wataweka muda mwingi kwenye mwonekano wake. Wawe wazuri. Wanajali uzuri wao ili uwaone uwasifie.
Lakini usizidishe sifa, mana anasifiwa tangu mdogo.

Hana hamu ya ngono kama mwanaume.
Wengi wanaamini ukifanya ngono utapata mimba.
Na kupata mtoto kunategemea na mazingira. Wengi mazingira yao yanakua bado hayaruhusu. Hivyo inabidi ajizuie hadi aone mazingira ni mazuri.

Ni mtu wa sasa.
Anategemea vile anavyojisikia sasa.
Ukimfurahisha sasa atasahau mabaya yako ya jana.
Ukimuudhi leo atasahau mazuri yako ya miaka 10 iliyopita.
Usiumize kichwa kumkumbusha mwanamke nlikufanyia hiki/ kile. We weka nguvu kumfanya afurahi sasa.
Japo ni tofauti na vile wanaume tunavyofikiri. Sababu sisi wanaume ni waaminifu kwa muda wote.
Wanawake ni waaminifu kwenye hisia zao za muda huu.
 
Naam hao ndio wanawake na saikolojia yao_ni viumbe wazuri kama you will learn to love them wisely and to lead them well and straight huku ukikommand kwao respect||submission||and loyalty__Know this and be at peace with yourself...
 
Muishi nao Kwa akili saikolojia ya demu huyu ni tofauti na demu huyu Dunia hii ngumu sana watu wake ndo usiseme alieiumba Dunia hii tusiache kumuabudu coz ana stahili sifa
 
Ni muhimu uyajue haya mapema.
Kabla ya kuchelewa na kujikuta unaumia juu ya wanawake bila sababu. Wanawake ni tofauti na wanaume.
Jifunze haya mapema.
.
Utatumika jinsi unavyomuongoza.
Umeongea kitu cha maana sana,maana hapa umezungumzia saikolojia halisi ya mwanamke,Biblia imeongea kuwa tuishi nao kwa akili,sasa kwa hiki ulichosema wewe ni hiyo akili yenyewe.Wanaume wenzangu tusome huu uzi utatusaidia sana kwenye mahusiano...
 
Ni muhimu uyajue haya mapema.
Kabla ya kuchelewa na kujikuta unaumia juu ya wanawake bila sababu. Wanawake ni tofauti na wanaume.
Jifunze haya mapema.
.
Utatumika jinsi unavyomuongoza.
Kama unamuongoza ki pesa tu utatumika ki pesa.
Yote uliyoandika BILA HELA NI KUPOTEZA MUDA
 
Nimekutana na demu flani, yaani anajaribu kunipanda kichwani si kitoto.

Nimeamini ama kweli mwanamke ni mbinafsi sana, anataka kupendwa yeye pekee. Na anaona kawaida sana kwake, uone anakufaa ama laa yeye wala hata hababaiki.

Kwa yale uliyoyaainisha hapa ndo hali halisi ya tabia ya mwanamke katika mahusiano.
 
Mwanamke anamkubali zaidi mwanaume asiyejali sana.
Kwake ni kama changamoto, wanawake wanapenda changamoto.
Wanapenda wapiganie kumpata mwanaume.
Ndo utasikia “yani, sijui kwanini siwezi kumuacha”, ni kwasababu bado anamfukuzia huyo mwanaume.
Kama unajali kuhusu kila kitu mwanamke asemacho/ anachofanya utapata shida na mwanamke hatokuzingatia sana. Atakupotezea.
Unaweza jisemea ngoja nimuoneshe kumjali sana ili anipende.
Lakini ye asilione hilo, ataona we unajipendekeza kwake/ unamtukuza.#

Hii nakubaliana nayo 100% mwanamke kadri unavomjali sana ndo jins unavozid kumpoteza wanawake wanapenda changamoto kwenye mapenz believe that kuna muda Unamchanganya akili yaan avulugike ubongo yaan awaze kuwa nikizembea hapa huyu mwamba nampoteza so inamlazimu apambane so wewe cheza na akiliyake ukishaona kasha suffer sana legeza kamba umrudishe kwenye line mambo yakikaa sawa yeye ndo atajiona kapambana sana na sikuzote ningumu mwanamke kukiacha kitu anacho kipambania chochote kile
 
Inategemea na mwanamke uliye naye ni wa aina gani ? Kama ni hawa wa kwetu low quality unaweza fanya hzo blunders unazosema , kwa pisi kali lazima ugote tuu may be uwe na Pesa , swali Pesa unazo kias cha kufanya akunyenyekee? Hakunaga mwanaume shujaa kwa mwanamke tena nyie wajuaji ndo huwa mnagongewa zaid...

Ngekewa ipo kwa mwanamke akikupenda bas utakula maisha
 
Mwanamke anamkubali zaidi mwanaume asiyejali sana.
Kwake ni kama changamoto, wanawake wanapenda changamoto.
Wanapenda wapiganie kumpata mwanaume.
Ndo utasikia “yani, sijui kwanini siwezi kumuacha”, ni kwasababu bado anamfukuzia huyo mwanaume.
Kama unajali kuhusu kila kitu mwanamke asemacho/ anachofanya utapata shida na mwanamke hatokuzingatia sana. Atakupotezea.
Unaweza jisemea ngoja nimuoneshe kumjali sana ili anipende.
Lakini ye asilione hilo, ataona we unajipendekeza kwake/ unamtukuza.#

Hii nakubaliana nayo 100% mwanamke kadri unavomjali sana ndo jins unavozid kumpoteza wanawake wanapenda changamoto kwenye mapenz believe that kuna muda Unamchanganya akili yaan avulugike ubongo yaan awaze kuwa nikizembea hapa huyu mwamba nampoteza so inamlazimu apambane so wewe cheza na akiliyake ukishaona kasha suffer sana legeza kamba umrudishe kwenye line mambo yakikaa sawa yeye ndo atajiona kapambana sana na sikuzote ningumu mwanamke kukiacha kitu anacho kipambania chochote kile
Huyo mwanamke atakuwa sio pisi kali... Pisi kali huwez ifanyia huo utopolo , utatombewa mpak akili ikukae sawa
 
Ni muhimu uyajue haya mapema.
Kabla ya kuchelewa na kujikuta unaumia juu ya wanawake bila sababu. Wanawake ni tofauti na wanaume.
Jifunze haya mapema.
.
Utatumika jinsi unavyomuongoza.
Kama unamuongoza ki pesa tu utatumika ki pesa.
Kama unamuongoza ki ngono tu utatumika ki ngono na hamtakua na mahusiano kiundani. Na,
Kama
Kama kuna ukweli hivi
 
Pamoja na hayo yote uliyoandika,kumwelewa mwanamke kwa asilimia zote 💯 bado Ni kitendawili
 
Pamoja na hayo yote uliyoandika,kumwelewa mwanamke kwa asilimia zote 💯 bado Ni kitendawili
Ni changamoto nzito Sana aisee Ila nimegundua mwanamke anapenda kusikilizwa tuu hata kama anaongea upuuzi , hawa watu ukiwachukulia serious ni sheeda
 
Back
Top Bottom