mimi nimesoma 'theory of relativity' by albert einstein,chezea bongo ya tajiri bishanga.
Shem........ ABOMINATION!!The Little Prince, Antoine de Saint Exupery. This children book has made such an impact on my life toka utotoni, nakisoma kila mwaka since I was 7. Ukizingatia kua mimi nilikua 35 wakati Asprin anazaliwa, you can estimate how many times I have read it. Na kila nikikisoma, I discover something new!
Latest fiction book read: Majeruhi wa Mapenzi ya Mzee Mwanakijiji
Shem........ ABOMINATION!!
Mi najua kwa nini....Lakini sikuambii.Siku hizi napenda kukuchokoza, sijui kwa nini...