CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,250
- 12,868
nimesoma na ninaendelea kusoma bible kila mara, kwan hunisogeza karibu na Mwenyezi Mungu. hasa nifanyapo dhambi (make sisi wanadamu sio wakamilifu kuweza kujiepusha na kutofanya dhambi) huwa najuta sana. . . bible hunifunza mengi. na inanibadilisha kila siku na kunifanya kuwa mwema. vitabu vingine ni km. gifted hand, think big n.k.