Je, umeshawahi pitia maisha magumu?

Je, umeshawahi pitia maisha magumu?

Mimi nilikuwa wakishua,
Mboga saba ( 7 )
Sikujua chochote kile.
 
Binafsi nimepitia/naendelea kupitia khali ngumu sana katika maisha yangu wapendwa wana Jamiiforums

Yaani hata sijawazaga kama nitaweza kupata furaha katika maisha yangu maana magumu niyapitiayo kipindi hiki ni mengi sana

Inafika kipindi hata nafikiria kuwa nitaweza kula chakula leo

Nafarijikaga sana pale ninapokuwa online Jamiiforums

Maana mengi najifunza kupitia humu.

IPO SIKU YANGU TU MAANA NI KWA NEEMA NA REHEMA ZA MWENYEZI MUNGU
 
Hakika ipo siku yako my dear pale Bwana atakapokujaza kicheko na furaha nawe utasahau haya yote upitiayo kwasasa...

Ni swala la muda,kuendelea kuomba,kujipa matumaini na kumuamini yeye awezaye kukuvusha ktk magumu hayo....
 
Yah nlisomaga huu uzi ukanipa faraja japo kwa kupata kibarua. Kwa sasa nimekutana nao tena nakiri tena kule kibarua muda wake umekwisha nlikishikiza na kuendelea kutafuta kazi nzuri ila bado sijafanikiwa hadi sasa am alone
No job
Am not Happy
ooooh lord keep your eyes on me. Nahisi naishi maisha yasiyo yangu.
 
Binafsi nimepitia/naendelea kupitia khali ngumu sana katika maisha yangu wapendwa wana Jamiiforums

Yaani hata sijawazaga kama nitaweza kupata furaha katika maisha yangu maana magumu niyapitiayo kipindi hiki ni mengi sana

Inafika kipindi hata nafikiria kuwa nitaweza kula chakula leo

Nafarijikaga sana pale ninapokuwa online Jamiiforums

Maana mengi najifunza kupitia humu.

IPO SIKU YANGU TU MAANA NI KWA NEEMA NA REHEMA ZA MWENYEZI MUNGU

Ipo siku yako kijana Mungu atakuinua kama alivyowainua wengine kazana kusali kufanya kazi kwa bidii na kuwa mtiifu/mnyenyekevu Mungu wa mbinguni atakuinua ht usiku uwe mrefu vipi lakin kutapambazuka amini tu
 
Mimi siku sina kazi mama kasafiri kamuachia Mdogo wangu matumizi hakuemea chochote akawa anakula kwa jirani kumbe anachangia hela huko ili ale wiki nzima niliishi kwa Kula maembe aiseee nikagundua kumbe maembe na maji yanashibisha sana
 
Yah nlisomaga huu uzi ukanipa faraja japo kwa kupata kibarua. Kwa sasa nimekutana nao tena nakiri tena kule kibarua muda wake umekwisha nlikishikiza na kuendelea kutafuta kazi nzuri ila bado sijafanikiwa hadi sasa am alone
No job
Am not Happy
ooooh lord keep your eyes on me. Nahisi naishi maisha yasiyo yangu.

Hapana ni mapito unapitishwa tu hv bila kupitia magumu unadhani utajua maana ya shida na kusaidia wengne haya ni madarasa tunapitia ila amini Mungu hatokuacha endelea kupambana Mungu ni mwema ht uzima na afya ulionayo ni kwasababu ww mi wathamani sana wapo wenye ajira ila wako icu now plz endelea kuomba na kujitahd kuangalia fursa mbali mbali Mungu ni mwaminifu sana
 
sawa Dada ke!dah hatari sana mdada yaani hili life acha kabisa
 
ninapousoma huu uzi machozi yananitoka
-nina biashara ya duka lakni kila nikiuza pesa hazionekani,,na duka yangu imekaa chanel sana
-zaidi na jikuta naingia kwenye madeni ambayo najikuta nashindwa kulipa
-muda mwingine nikifikiria nashindwa pata jibu kwann haya madeni madogo nashindwa kulipa
-eee mungu wangu je ni mapito unanipitisha ili ujue mwanao nimesimama kiasi gan au ni mambo ya walimwengu
-eee mungu wangu nitalisifu jina lako na siyo jina la shetani

ahsante yesu,jemedari wa vita,,
 
Take heart my brother.!!! Jesus Christ is aware of your situation.

Binafsi, hali hiyo iliwahi kunipata na nilikuwa na rafiki mmoja kwenye mtandao wa kijamii.

Nakumbuka siku hiyo nilikuwa nasali nimepiga magoti kitandani. Baada ya kusali , nikafungua simu, nikaona meseji " xxxx do you have a bank account number? " ... nikamshukuru sana Mungu. Huyu mtu sikumuomba pesa . Akatuma 500USD. Baada ya mwezi tena akatuma 1000USD. Hatujawahi kuongea kwenye simu. Kila nikimpigia simu anakuwa anani avoid. Ni mtu wa Mungu sana. ( Binafsi namuona kama malaika )
mungu anatenda pale pasipo na njia
 
Hapa ninamaanisha kufilisika/kufulia, kukosa uhakika wa kupata angalau chai kwa siku, kutengwa na ndugu.

Kukosa kazi muda mrefu, kuugua na watu kukutenga, kukosa kodi ya nyumba/mahali pa kulala, kusingiziwa kwamba hutafuti kazi au kusemwa umelogwa ndugu kusema una laana.

Kukatishwa tamaa kwamba Mungu kakuacha, kwamba unasali uongo, kudharauliwa na mambo kama hayo.

Je, uliweza vipi kuchomoka katika hali hiyo?
Hichi kipindi ndo ninakipitia mpka nakua naona sina mtu wa karibu wife ana mimba mambo hayaendi yaani kupitia jf nakuona siko mwenyewe ninae pitia kumbe wako walio wahi pitia nakaza moyo nitashinda hii vita kwa uwezo wa Mungu
 
Hayo yote uliyoyaandika , ndio nayapitia sasa. Tena yamekuwa kwa muda mrefu sana.

Ilifika mahala nikaenda SCOAN Nigeria kwa PTB Joshua kwa njia ya bara bara ( nilitumia siku 76 kufika)

Nimekuwa kiroho sana. But matatizo yapo pale pale. Na yanazidi kuongezeka mpaka kukimbiwa na watu wa karibu kabisa, uliowasomesha na kuwainua juu.

Wakwe kukuona kama mwehu, mke kukuona hufai , na kuudharau Wokovu wako.

Mara waseme sitaki Kazi, na kwamba nachagua Kazi. Wakwe wanamsisitiza mke wangu aachane na Mimi kuwa nampotezea muda, sina Kazi.

Nakuwa karibu sana na Mungu kila mara. Na ninafunga na kuomba kila mara.

Hii ni sehemu ambayo naitumia kusali mchana na Usiku..., asubuhi mchana jioni.

Usiku kabla ya saa 6 , Then saa 7-8 , na saa 9-10.

Nimetandaza vyeti vyangu vyote kuanzia chini hadi Postgraduate, na mahitaji ya watu wengine.

Natumia muda kuwaombea maadui

f077592e4c5aa05c1d2e35ac99a56ca1.jpg
Du,pole, sasa hapo si unahatarisha kuunguza vyeti?? Hope sasa hivi umefanikiwa??
 
Unaweza kudhani umepitia magumu kwenye hii dunia kumbe kunawalipitia zaidi ya uliopitia.
Nilijiona napitia kipindi kigumu kumbe kwa wengine ni kawaida tu.Kikubwa ni kumshukuru mungu kwa zawaidi ya uhai na kuamini kesho itakua siku njema
Mungu amtie nguvu kila mmoja anaepita katika mapito yoyote.
Amina
 
Hapana ni mapito unapitishwa tu hv bila kupitia magumu unadhani utajua maana ya shida na kusaidia wengne haya ni madarasa tunapitia ila amini Mungu hatokuacha endelea kupambana Mungu ni mwema ht uzima na afya ulionayo ni kwasababu ww mi wathamani sana wapo wenye ajira ila wako icu now plz endelea kuomba na kujitahd kuangalia fursa mbali mbali Mungu ni mwaminifu sana
Amina! 🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom