Je, umeshawahi kumpiga mkeo/mpenzi ?

Je, umeshawahi kumpiga mkeo/mpenzi ?

Nachukia sana wanawake wenye kupenda ile michongo ya 50/50

Sent using unknown device
mkuu its not about 50/50

Em tua kidogo ujiulize wanaume huwa hawawakosei wake zao?wao ni viumbe wakamilifu? ni mara ngapi mnawakosea wake zenu ?mfanywe nini ili kuwazuia kutorudia tena makosa yenu yanayowakera wake zenu?leo hii unaenda home unakuta mama yako anapewa kipigo heavy na baba kwamba nataka nimrudishe kwenye mstari mama yako,utaunga mko
Nachukia sana wanawake wenye kupenda ile michongo ya 50/50

Sent using unknown device

mkuu oscarsolomon its not about 50/50

Em tua kidogo ujiulize
wanaume huwa hawawakosei wake zao?
wao ni viumbe wakamilifu?
ni mara ngapi mnawakosea wake zenu ?
mfanywe nini ili kuwazuia kutorudia tena makosa yenu yanayowakera wake zenu?
leo hii unaenda home unakuta mama yako anapewa kipigo heavy na baba kwamba nataka nimrudishe kwenye mstari mama yako,utaunga mkono?
LEo hii kabinti kako umekaoza afu jamaa anakapiga wee mpaka kanakuwa kalemavu au kila siku hakana raha na ndoa yake,utamsihi binti yako aendelee kuishi na huyo mume?
 
sijawahi mpiga mpenz wangu mpya anapokosea namwambia tu kosa lake alaf tunasolve
japo ananipenda sana mm ata sijampenda kivile
maumivu niliyoyapitia kwenye mapenz
yalinifundisha kupenda kwa kutumia akili sio moyo

hata mke nitakaekuja kuoa sitampenda sana nitampenda kawaida tu kwa kumjali kama binadamu mwenzangu

Anaestahili kupendwa kutoka moyoni ni Mungu pekee maana yeye habadiliki

Sent using Jamii Forums mobile app
Niqqa

Voxser empire
 
Unaweza kuahidi kutompiga mkeo ila hawa watu hata kama tunatakiwa kuishi nao kwa akili inatakiwa akili kubwa yenye IQ ya 100 mana du wanaudhi sana

Mm nazani kungeazishwa chuo chakusomea jinsi yakuishi nao hawa watu.
Tatizo chuo hakuna hua tunaanza kupewa cheti kwanza halafu ndio unaigia chuoni huku ukiwa nae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kabisa mwanaume ananyanyua mkono wake anampiga mwanamke[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Sijawahi kuwaelewa. Its obvious ana matatizo makubwa sana,hajiamni,malezi mabovu,hajielewi.

Siku nikipigwa nahisi nitafanya jambo ambalo hatokaa alisahau.
 
Njoo kwangu nikupige vibao haaaaaa sometimes vinaleta heshima ndani
Hivi kabisha mwanaume ananyanyua mkono wake anampiga mwanamke[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Sijawahi kuwaelewa. Its obvious ana matatizo makubwa sana,hajiamni,malezi mabovu,hajielewi.

Siku nikipigwa nahisi nitafanya jambo ambalo hatokaa alisahau.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hapo unajidanganya tuu. Mtu akishakuwa Mke Kumpenda kunakuja automatic. Kifupi huwezi oa mwanamke usiyempenda ila mwanamke anaweza olewa na mwanaume asiyempenda.
mkuu Jokajeusi hapa kwenye mwanamke kuolewa na mwanaume asiyempenda hapa,hivi ikitokea inawezekana ndo nzuri ikajengeka kweli hapo?
 
Mtoto ni pambo la nyumba kwa kweli
Unamchapa kwa kosa gani? Kisa kachana kochi? We umeweka wembe visible kwanini?
Kavunja glass unampiga ili iweje?
Kawa mtundu siku nzima unarudi nyumbani wife anakuambia na wewe unaanza kupiga, Big NO
Hapo mtoto kaboeka inabidi umtoe nje katembee nae mnunulie ice cream au kama kuna mpira kacheze nae hata garden
Kweli wengi huona last option ni kupiga tu lakini mimi huwa najizuia na qhadhabu zangu na kusema nikimpiga haelewi hata kosa halafu baadae eti unamuonea huruma na kesho anarudia tena
Inataka moyo sana kuwamudu watoto

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Usimlee mtoto kama yai

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hichi kizazi ni hatari,mwaume akikosea mwanamke antakiwa yeye ndo aombe msamaha
Are you serious mkuu @ortutoo ?yaani ukosee wewe afu mkeo ndo aombe msamaha?kwa kipi hasa?is this for real au unaongea tu hapa ili muda usogee?
 
Wamekuwa mkuu wengine wako vyuoni
Tuna ukaribu sana na watoto wangu
Kama kupiga inakupa ukaribu nao sawa ila kila mtu ana utaratibu wake wa kulea

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Kama n wa kike tatizo wakianza kuolewa yan hata akigombezwa na mume wake hata kidogo tu tayar kashabeba mabegi arudi kwa "dady" na ndo maana single mother wanaongezeka kwa stail hzhz za malezi mabovu toka wako wadogo wamezoea kudekezwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama n wa kike tatizo wakianza kuolewa yan hata akigombezwa na mume wake hata kidogo tu tayar kashabeba mabegi arudi kwa "dady" na ndo maana single mother wanaongezeka kwa stail hzhz za malezi mabovu toka wako wadogo wamezoea kudekezwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni sehemu na sehemu pia mataifa tofauti na jinsi ya makuzo tu
Kama utakuwa muongo kwa kujidanganya na maisha nao watakuwa hivyo hivyo
Kweli wapo wanaokuwa hivyo na wapo wanaojua njia bora ya ku handle maisha
Mimi sidekezi na kama wanakosea nawapa ukweli na kuwakaripia kupo ila sio kwa ngumi.

Kuna mipaka ya baba na watoto na hilo wanalijua pia heshima kwa watu ni jambo la muhimu sana
Inategemea na malezi na inaanzia kwenye msingi wa chini
Hata kama nina hela za kutosha kuwapa wakiwa holiday ni lazima wafanye volunteer au walipwe lakini kazi lazima wafanye kwa kujifunza
Sasa sijui nadekeza hapo pia

Hapo nimeyapenda maelezo yako
Kama n hivo bas mzee uko sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Are you serious mkuu @ortutoo ?yaani ukosee wewe afu mkeo ndo aombe msamaha?kwa kipi hasa?is this for real au unaongea tu hapa ili muda usogee?
this is for real gentleman
 
this is for real gentleman
then that's not how a gentleman is supposed to be

a gentleman kamwezi hawezi lazimisha mkewe amheshimu kimabavu,atafanya jukumu lake kama mwanaume na kumweka mwanamke kwenye position yake kulingana na tu na manish behaviours zake mkuu

plus a gentle man ataomba msamaha ikiwa atajua kwamba yeye ndo kakosea

pia hatakuwa tayari kuumiza hisia za mwanamke wake kwa kuwa anamjali na anajua mwanamke wake ni mtu pia na ana hisia kama tu yeye alivyo nazo

that's being gentle ila kutaka mkeo akuombe msamaha kosa lako ni kulazimisha heshima something that's too hard na jambo linalopelekaea wanandoa kuishi maisha ya kinafiki huku mmoja akienjoy ndoa mwengine akiwa picha tu kwa ajili ya hali nzuri ya mwingine,that's slavery dude not a lovely family,piga goti sana kupata mwanamke mtiifu kiasi hicho bila kuweka grudges moyoni mwake vinginevyo utapata taabu sana coz wapo one in a million mkuu,wachache sana mkuu.
 
Back
Top Bottom