Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,894
- 52,486
Mda huo hata mboo haiamki mkuu, Yaani ni hasiraaa tuuu hiyo hamu ya kumtia inatoka wapi??
Sent using Jamii Forums mobile app
Hulitendei haki jina lako
Sent using Jamii Forums mobile app
Mda huo hata mboo haiamki mkuu, Yaani ni hasiraaa tuuu hiyo hamu ya kumtia inatoka wapi??
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilipoa my dear! Ni ndoa mamy kupishana kupo na kila mmoja ana namna ya kumaliza hasira zake!Mungu wangu, shoga hiyo sio ndoa, pole
Nilipoa my dear! Ni ndoa mamy kupishana kupo na kila mmoja ana namna ya kumaliza hasira zake!
Siku akija kukupiga ndo anakuua moja kwa mojaMimi wangu hajanipiga lakini napenda anipige yan namtafutia visababu lakini anakaa kimya ....
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuunga mkonomkianza kupigana hamna ndoa tena.......mnaanzaje....si kila mtu aende zake........nikikupiga ujue nshakutoa rohoni......and am leaving........siamini ktk kupigana.....hata kama umecheat....nishadhibitisha......ni kwamba sikufai...so what next......
Huenda mkeo aliagwa vyemaDu mi kwa kweli sijawahi kumpiga wife wala mwanamke yeyote coz mi hasira ikifika climax naenda zangu bar.nikirudi zimeisha coz najitambua
Sent using Jamii Forums mobile app
Na mie wala simuogopi, namheshimu!Hapana my dear, usimtetee mana hukufanya kosa lolote yeye ndo alifanya kosa sasa ili kujihami akaamua kukuadhibu ili usimuulize, na amefanikiwa mana kashakujengea uoga na amekufunga kinywa hutaweza kumuuliza tena mambo yake hata uone anakosea mbele ya macho yako utabakia kugumia rohoni, sasa ni maisha gani hayo?
Kwa ujumla kumpiga mwanamke sio jambo nzuri kabisa ila inapobidi. Hivyo isiwe kila siku.No ni life style yangu toka npo dogo tu kupiga mtu siwezagi coz najua mazungumzo ndo huleta suruhu nzuri.pia mkono mzito matukio ya kuwapiga vijana wenzangu labda direct ame nia attack apo lazima nijitetee
Sent using Jamii Forums mobile app
HakikaKwa ujumla kumpiga mwanamke sio jambo nzuri kabisa ila inapobidi. Hivyo isiwe kila siku.
Kwa maana kawaida binadamu tunatakiwa kuzoweshana mambo ambayo ya kufurahisha.
Ili ikatokea kua mbali na Mtu au watu wakukumbuke na kuutambua umuhimu wa wewe kuwepo.
Lakini ukimzowesha mke kumpiga piga siku akimpata alive dhaifu( asie na Hila ya kumpiga ) Ujue usha poteza ndoa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa pump ipo mdomoni inabidi ipasuliwe isifanye kazi tena
wacha upumbafu wa kumshawishi mwenzio aharibu ndoa yake.....walipishana maneno...keshaamua kusamehe.....mpongeze na kumpa pole.....mengine "delete"Hapana my dear, usimtetee mana hukufanya kosa lolote yeye ndo alifanya kosa sasa ili kujihami akaamua kukuadhibu ili usimuulize, na amefanikiwa mana kashakujengea uoga na amekufunga kinywa hutaweza kumuuliza tena mambo yake hata uone anakosea mbele ya macho yako utabakia kugumia rohoni, sasa ni maisha gani hayo?
wacha upumbafu wa kumshawishi mwenzio aharibu ndoa yake.....walipishana maneno...keshaamua kusamehe.....mpongeze na kumpa pole.....mengine "delete"
Hamna mkuuHakika mkuu,watu wanafikiri kwenye ndoa tunapiga wanawake kisa mfumo dume,wanawake wanatofautiana sana,bila makofi wengine ndani mnaweza kuwekeana mpaka zamu ya kupika na kusafisha nyumba.
Sent using Jamii Forums mobile app
akafie huko jinga kabisa hilo umalaya wake afu akusingizie we ndo chanzo kwa hiyo alitaka akuue ili ye asiwe Malaya stupid kabisaYaaan nilichoka kwakweli kuna siku alinikimbiza barabarani nkalukia kwwnye daladala imagine nilisuka yebo fasta zilinyofoka kwa kuvutwa...ile naingia kwenye daladala nkakaa siti ya mwisho na hema hatari abiria wanaanza kuniuliza we vip unaumwa....baada ya kuokolewa ndo akanza kuwa Malaya sasa njunjana na mademu hatari kwa kisingizio alinipenda sana lkn me sikumpenda kwaio umalaya wake anasema mm nimesababisha....dah
am better here
PoleSitokaa nisahau kile kibao kabisaaa!! Kilikuwa kimoja tuuu ila niliona nyota zoote za mbinguni zimehamia pale sebleni!