Je, umeshawahi kumpiga mkeo/mpenzi ?

Je, umeshawahi kumpiga mkeo/mpenzi ?

then that's not how a gentleman is supposed to be

a gentleman kamwezi hawezi lazimisha mkewe amheshimu kimabavu,atafanya jukumu lake kama mwanaume na kumweka mwanamke kwenye position yake kulingana na tu na manish behaviours zake mkuu

plus a gentle man ataomba msamaha ikiwa atajua kwamba yeye ndo kakosea

pia hatakuwa tayari kuumiza hisia za mwanamke wake kwa kuwa anamjali na anajua mwanamke wake ni mtu pia na ana hisia kama tu yeye alivyo nazo

that's being gentle ila kutaka mkeo akuombe msamaha kosa lako ni kulazimisha heshima something that's too hard na jambo linalopelekaea wanandoa kuishi maisha ya kinafiki huku mmoja akienjoy ndoa mwengine akiwa picha tu kwa ajili ya hali nzuri ya mwingine,that's slavery dude not a lovely family,piga goti sana kupata mwanamke mtiifu kiasi hicho bila kuweka grudges moyoni mwake vinginevyo utapata taabu sana coz wapo one in a million mkuu,wachache sana mkuu.
my mama always seeks for forgiveness hata kama hajakosea yeye kwa mwanamke ni vyema sana kujishusha,wakienda chumbani wanaeleweshana,
note: Wanawake wengi wanapenda wanaume wababe
 
Nimesoma comments nimeona wanaume tumebaki wachache sana unashindwaje kumpiga mwanamke hata vibao vitatu vya kurudisha heshima..Hama kweli ma junior mmekuwa wengi ndio maana mnapigwa na wake zenu
 
Ooh gentleman sijui gentelewhat ujinga. Dhahabu hujaribiwa kwa moto. Kofi moja la kelebu ni lazma kwa mwanamke kurestore settings. Nilipoingia jando mwaka 1990 Funda wetu porini alisisitiza uanaume na ndio unanisaidia kuwa na principled home. Pale inapobidi tumia reasonable force. Mnapoanza tu mahusiano kipimo kimoja kiwe kofi la kelebu na kamchepuko ka picha. Wengi humu naona vivulana jando vimepitia vina one month vikiogeshwa na Mama zao. Yaani viko kimama mama.
 
Naomba nikusahihishe kulingana na opinion yangu mkuu

Wanawake hawapendi wanaume wababe ila wanapenda wanaume wanaume mkuu

Yaani kuona mwanaume wako anastand as a man and making you know your position and it feels good ukimpata a real man ila sio kwa mabavu

Say umekosea kitu anakukalisha na kukueleza kuwa hapendi na yuko serious hapo hata tone ya utani haipo tena you feel it leo hubby nimemuudhi na anakufanya uhisi kwamba kweli uko under someone

Labda umechelewa home ukiwa njiani u feel the tense ya uingie vipi home sio kwa kuwa unapigwa ila kwa kuwa unamjua mwanaume wako alivyo kwenye serious na sensitive issues na kwa kuwa unampenda hutaki kumuudhi

Yaani wanawake kiufupi hawapendi wanaume wa yes mum kila kitu coz wanayo feeling ya kuwa dominated na waume zao no matter what coz that's nature ila sio kwa kupigwa

That way

As for your mum siwezi sema sana probably amekua akiaminishwa hivyo mkuu so she is used to it and she is okay with it haoni taabu kabisa kuishi hivyo

Lakini kwa karne hii mkuu watoto wa kike wanaoaminishwa na kulelewa hivyo ni one in a million so don't expect much from your wife,maybe she won't be like your mum.
my mama always seeks for forgiveness hata kama hajakosea yeye kwa mwanamke ni vyema sana kujishusha,wakienda chumbani wanaeleweshana,
note: Wanawake wengi wanapenda wanaume wababe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah usikutane na mwanaume kama mie maana , its better unipige mkwara nikiwa karibu ukiwa mbali utaumia labda nisijue ukwapi, Nipo radhi niache kazi nikufate huko huko uubwate huo mdomo ,.

Nipo radhi nitoke wilaya moko hadi nyingine nije nikubamzie alafu uamue la kuamua [emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamjawahi kukutana na wanawake jeuri nyie,utapiga mtu pasipo kutarajia.
Kabla sijaoa nilikuwa na mawazo kama yenu kwamba napigaje mtu mzima,wakati naweza kumwelewesha na akaelewa.
Nikaoa maisha yakaanza,baada kama mwaka mmoja tukapishana kidogo kwa maneno ya kujazwa na watu,narudi ndani nikiuliza kitu ananijibu dry tu,basi na mimi nakausha tu,kumbe akaona hiyo ya kunijibu dry akaona haijanitosha,siku moja nikarudi hajapika kabisa,kumuuliza akasema anaumwa,nikasema sawa nikaomba maji ya kuoga nikapanda kitandani kulala,baadye akatoka mdogomdogo kama yupo vile akaenda mtaa wa pili kula alikoenda kuna jamaa yangu akanitonya mbona shem yupo huku usiku wa saa nne au umesafiri?
Nikasema hapana nipo ila ameaga tu anakuja kucheki inshu flani hapo kwa rafiki yake(nikadanganya)
Ile anarudi karibia saa nne nikamuuliza umetoka wapi kimya,kama tano hv mtu yupo kimya na anafanya mambo yake as if hasikii kitu,sasa mtu kama huyo unamfanya nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo unampa apakati moja fala mkubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nlikuwa najenga, nikamwacha asimamie mafundi wanafyatua matofali, daaaa wife katoa mifuko 40 akawaacha mafundi wajipimie akati nlimwambia asitoke, yeye akaenda kulala home, nikakuta wamefyatua tofali biskuit na mifuko kama nusu imetembea, nikamfuata anasema mi nimechoka nasikia usingiz tena kwa nyodo ananyayuka kutoka room, nikamfuata kwanyuma ile nataka nimzabe banzi moja heavy tokea nyuma, nikakumbuka usia wa baba yangu " ukiwa na hasira usichukue maamuzi yoyote, ondoka nenda mbali na huyo mtu na hasira zikiisha rudi muongee vizuri" sikumpiga ila nlimdharau hadi leo huwa nafanya mwenyewe kila kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajitesa sasa mkuu ungemzaba moja kubwa asingerudia ujinga kama huo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba nikusahihishe kulingana na opinion yangu mkuu

Wanawake hawapendi wanaume wababe ila wanapenda wanaume wanaume mkuu

Yaani kuona mwanaume wako anastand as a man and making you know your position and it feels good ukimpata a real man ila sio kwa mabavu

Say umekosea kitu anakukalisha na kukueleza kuwa hapendi na yuko serious hapo hata tone ya utani haipo tena you feel it leo hubby nimemuudhi na anakufanya uhisi kwamba kweli uko under someone

Labda umechelewa home ukiwa njiani u feel the tense ya uingie vipi home sio kwa kuwa unapigwa ila kwa kuwa unamjua mwanaume wako alivyo kwenye serious na sensitive issues na kwa kuwa unampenda hutaki kumuudhi

Yaani wanawake kiufupi hawapendi wanaume wa yes mum kila kitu coz wanayo feeling ya kuwa dominated na waume zao no matter what coz that's nature ila sio kwa kupigwa

That way

As for your mum siwezi sema sana probably amekua akiaminishwa hivyo mkuu so she is used to it and she is okay with it haoni taabu kabisa kuishi hivyo

Lakini kwa karne hii mkuu watoto wa kike wanaoaminishwa na kulelewa hivyo ni one in a million so don't expect much from your wife,maybe she won't be like your mum.

Sent using Jamii Forums mobile app
are you married? mwanamke yapaswa awe vile mumewe apendavyo wazazi wetu walikua wanapishana umri mama anakua na umri mdogo na anakua amefundwa kwelikweli ,najua kumpata kama mama,bibi ni ngumu ila haya yote ni matokeo 50%,wanawake nao wanapiga vibaya waume zao ,ni hatari sana kufanya unavyosema Blue G
 
Hamjawahi kukutana na wanawake jeuri nyie,utapiga mtu pasipo kutarajia.
Kabla sijaoa nilikuwa na mawazo kama yenu kwamba napigaje mtu mzima,wakati naweza kumwelewesha na akaelewa.
Nikaoa maisha yakaanza,baada kama mwaka mmoja tukapishana kidogo kwa maneno ya kujazwa na watu,narudi ndani nikiuliza kitu ananijibu dry tu,basi na mimi nakausha tu,kumbe akaona hiyo ya kunijibu dry akaona haijanitosha,siku moja nikarudi hajapika kabisa,kumuuliza akasema anaumwa,nikasema sawa nikaomba maji ya kuoga nikapanda kitandani kulala,baadye akatoka mdogomdogo kama yupo vile akaenda mtaa wa pili kula alikoenda kuna jamaa yangu akanitonya mbona shem yupo huku usiku wa saa nne au umesafiri?
Nikasema hapana nipo ila ameaga tu anakuja kucheki inshu flani hapo kwa rafiki yake(nikadanganya)
Ile anarudi karibia saa nne nikamuuliza umetoka wapi kimya,kama tano hv mtu yupo kimya na anafanya mambo yake as if hasikii kitu,sasa mtu kama huyo unamfanya nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
ulimwendekeza yaonekana ukirusha ngumi naye atarusha wanapewa kiburi na hii 50% ,mashoga zao,na hii kitu wanaita dawati la ustawi wa jamii
 
Mwaka 2015 sikumbuki tulipisha kiswahil gan na wife ukazuka mzozo na kama unavyojua wanawake ukishampenda na kumuheshimu QUOTE]

Sent from my iPhone using JamiiForums
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo ni mimi kabisaa
 
Yaani wanawake kiufupi hawapendi wanaume wa yes mum kila kitu coz wanayo feeling ya kuwa dominated na waume zao no matter what coz that's nature ila sio kwa kupigwa
ukizungumzia nature mkuu ni kwamba ni genetics ambayo ni lazma mwanamke awe chini ya mwanaume,but now the world/environment changed/shape us globally kitu ambacho sio uhalisia wetu,mwanaume abaki kuwa mwanaume tuachane na mambo ya magharibi ndo wametupeleka uku,mwanamke lazma apigwe ili nimshape nitakavyo,sitaki kuwa kama mzee adamu na bibi hawa
 
Kupigana raha sana lol yaani nikikaa na mwanaume hanipigi, nitaanza kupata mashaka na uanaume wake 😂😂😂😂😂
 
Wanapigwa tu kama mtu hajielewi unafanyaje unaramba tu mabao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
are you married? mwanamke yapaswa awe vile mumewe apendavyo wazazi wetu walikua wanapishana umri mama anakua na umri mdogo na anakua amefundwa kwelikweli ,najua kumpata kama mama,bibi ni ngumu ila haya yote ni matokeo 50%,wanawake nao wanapiga vibaya waume zao ,ni hatari sana kufanya unavyosema Blue G

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kupigana raha sana lol yaani nikikaa na mwanaume hanipigi, nitaanza kupata mashaka na uanaume wake 😂😂😂😂😂
umenena vyema mwanamke wewe,nakutakia mafanikio katika kufunzwa hakika utakua bora.
 
Mwanamke hapigwi anashituliwa kidogo na kofi moja la maana kumrekebisha akili iwe sawasawa maana muda mwingine wanaleta mazoea, ukimpiga kama mwizi au mtoto utakuwa haujamtendea haki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom