Si ili ujipatie umaarufu hapa kua una exceptional husband!Which infact it is a lie!
Waliolelewa vyema?
According to who?Wewe hapo?Wewe ndio mtoa standard?
Stop acting!
Kumbe mnapishana na kukombana,there will be flashpoints,zitakuja!Eti unajigamba anaanzaje kukupiga?
Hivi inakuaje watu wanapigana?Wewe sio mtu ni gogo?Inakuaje nchi zinaenda vitani,and who the fvck are you?
Acha kujishaua wewe!
Endelea kuomba mungu isitokee flashpoints hivyo hivyo,ila itatokea hata kama itakua ni mwaka wa 50 wa marriage!
Au,lets say your "very good" has realized his position as number 2 behind you and he's comfortable and whatever bullshit you drop has the pass!
Hivi unadhani ndoa zinavunjika sababu ya kupigana?
Ukicheck takwimu worldwide kupigana ni reason number 3....
Hii notion eti watu wakipigana ndio kuvunjika kwa ndoa,check again!
Broaden your horizon,kupigana ni least of the problems!
Kwahiyo hebu relax,acheni kupaniki!