Je, umeshawahi kumpiga mkeo/mpenzi ?

Je, umeshawahi kumpiga mkeo/mpenzi ?

Asa namwachacha sababu ya kibao ama?! Sikumwacha wala, ila nililia wiki nzima!

Chanzo ni simu yake iliita nikaifuata kumchukulia, kusoma jina linasomeka barafu wangu mie nikamwambia barafu wako anakupigia simu daaahhh nilisikia tuu kibao na kile kimotorola chake ninacho mkononii nikaona mbingu inatetema, nyota zoote ziko sebleni hatimaye nikadondoka chiini! Dk tano nzima sikuelewa nini kinaendelea kabisaaa nyota zikakoma machozi yakaanza sasa!
Hahaha hiyo ndio ilimchanganya we jina limeandikwa barafu wangu we unasoma barafu wako lol[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sema Sakayo we ni gud wife. Unaonekana mpole mwenyewe, infact i easily fond for cool girls/women na nishakuwaga nae mmoja. Sikuwahi kupata sababu ya kumpiga tho kuna mda tulipishana ila she was always cool yani ananuna tu. Namchekesha na kumbembeleza then we are good again.

Bad thing about wanawake wapole, they keep things inside!!! Sakayo utakuwa shamba darasa, kofi la first year hadi leo watoto wanakaribia kwenda secondary! Ha ha
Hahaha hahaha hahaha
Mie sio mpole kihivyo bana, ila ugomvi ndo siwezi kabisaaa!
 
Hahaha hapo ndipo wenzio wanapokosea sasa. We unaona mtu kashachenji rangi unaendeleza ligi! Lazma ukatwe nenge kwanza
Haha baby mama huwa akiona ndo Ready to go imefika huwa anakuja kifuani ananibembeleza na msamaha anaomba , .

Inakuwa
Use plizz nakupenda just focus on whats ahead of us, ngoja nikakuandalie chakula hapo anavoongea ani hadi mkia wa mbele unasimama nakuta 2meanza kudoo then mambo yanakwisha ila baada ya kudoo au wakati wa kudoo ngoma imechanganyia nampa tahadhari asirudie tena then life goes on.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom