Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 61,150
- 124,758
Si ndio hapo, hawa ndio wanaotisha vijana kuingia ndoani. Wanachukulia ndoa kama vitaIf you know..you know tu! Hautasikia hata mume kakukaripia.
Si ndio hapo, hawa ndio wanaotisha vijana kuingia ndoani. Wanachukulia ndoa kama vitaIf you know..you know tu! Hautasikia hata mume kakukaripia.
Huyo nae jamaa kavu kichizi. Sema unaonekana utakuwa mlalamishi as well,sasa ili kuepusha lawama bora usiiguse simu ya boss kazi. Kama kila ukishika simu swali la "Huyu nani?!" halikauki hamna namna zaidi ya ban ya nguvu!Na kweli sitorudia tena kunyanyua simu yake nimpe, ikiita huwa naiacha akaichukue mwenyewe!
[emoji23][emoji23][emoji23] na vipi kama sioni kosa langu bebi, bado natakiwa kusema samahani?Bebi mi sio mkorofi bana ila ujinga ndio sipendi. Ukinikoroga salama yako ni kukimbilia neno samahani. Otherwise kiburi hakipokelewi!
Mkuu
Sikustahili kile kibao kabisaaa! Na nilivyo niko hivyo miaka yote!
Ndio sababu ya kupigwa? LohNa kweli sitorudia tena kunyanyua simu yake nimpe, ikiita huwa naiacha akaichukue mwenyewe!
Hahaha,Akinipiga atakua amedhamiria maana nikishaona gia imepanda ad 3 nakaa kimya au nasepa kimya kimya
Sijawah kwakwel[emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikaa chini kama dk tano hivi, machozi yakaanza kunitoka!
Hakuamini kama ningeamka pale chini!
Hakika, maana wengine hali ni tete.ha ha ha basi atakuwa anazishika amri za Mungu vizuri
Asa namwachacha sababu ya kibao ama?! Sikumwacha wala, ila nililia wiki nzima!
Of course I know my position, ila mabavu big no
Sanaaha ha ha basi atakuwa anazishika amri za Mungu vizuri
Hapo ndo wanawake tunakosea eti olewa unambie!! Mtanyanyasika sana habari za kuhalalisha kipigo....mi wangu hanipigi na nishakataa huo ujinga
[emoji23][emoji23][emoji23]Ulikosa nini?Sitokaa nisahau kile kibao kabisaaa!! Kilikuwa kimoja tuuu ila niliona nyota zoote za mbinguni zimehamia pale sebleni!
We acha kabisaaa...ha ha ha ha,baada ya kupigwa ulifanyaje?
Hahahah mzee naona una ganzi flanisijawahi mpiga mpenz wangu mpya anapokosea namwambia tu kosa lake alaf tunasolve
japo ananipenda sana mm ata sijampenda kivile
maumivu niliyoyapitia kwenye mapenz
yalinifundisha kupenda kwa kutumia akili sio moyo
hata mke nitakaekuja kuoa sitampenda sana nitampenda kawaida tu kwa kumjali kama binadamu mwenzangu
Anaestahili kupendwa kutoka moyoni ni Mungu pekee maana yeye habadiliki
Sent using Jamii Forums mobile app
Sanaaa! Ila ukinikera utanichukia!Wewe ni mpole 🙉🙉🙉
Nadhani yeye ni katekista kama sijakosea!Hakika, maana wengine hali ni tete.