Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 25,912
- 70,668
Mwingine unapiga goti unaomba poo, unakimbilia chini ya uvungu bado ana wewe ......
Kama umesoma kule juu kuna mmoja ye alipeleka simu na kuuliza jina la mpigaji simu akapewa kofi zito
Kupigwa sio ishara ya ukorofi hata
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama umesoma kule juu kuna mmoja ye alipeleka simu na kuuliza jina la mpigaji simu akapewa kofi zito
Kupigwa sio ishara ya ukorofi hata
Naweza nikasema nina bahati ya kuwa nao ambao si wakorofi kiasi hicho. Wengi wao ukiwaambia sijapenda hiki au kile basi wanaomba samahani mie mrembo akishaomba samahani sioni sababu ya kuendeleza varangati.
Sent using Jamii Forums mobile app