Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,367
- 161,490
MkuuLazima upate ubatizo wa moto ili ukae sawa!
Unaona ulivyo sawa now?
Shukuru sana hicho kibao!
Na bia mnunulie!
Sikustahili kile kibao kabisaaa! Na nilivyo niko hivyo miaka yote!
MkuuLazima upate ubatizo wa moto ili ukae sawa!
Unaona ulivyo sawa now?
Shukuru sana hicho kibao!
Na bia mnunulie!
Hahahaa hahaa...ukachukua hatua gani?Sitokaa nisahau kile kibao kabisaaa!! Kilikuwa kimoja tuuu ila niliona nyota zoote za mbinguni zimehamia pale sebleni!
If you know..you know tu! Hautasikia hata mume kakukaripia.Of course I know my position, ila mabavu big no
Bora hata ningekuwa nimemjibu hovyo!
Ukiacha fimbo za walimu mara ya mwisho nimepata kipigo nikiwa na miaka 15, Kutoka kwa mlezi, na mara ya mwisho nimepigwa nilijiapiza kuanzia leo sipigwi tenaMkuu hujawahi kupata kipigo kweli wewe?
Alikuwa anakupenda sana,mpe pongezi zake.Sijui hakujua, ama alipanick hata sielewi!
Ilikuwa tuu swali lile sijui niseme, badala anijibu nikajibiwa na kibao!
Mtoto hapigwi. Anachapwa.Sio sahihi, anapigwa mtoto watu wazima tunaeleweshana
Nilikaa chini kama dk tano hivi, machozi yakaanza kunitoka!
Mkuu sijadanganya.. [emoji5]Mkuu naona umeamua kutudanganya waziwazi!
Its funny how people are pretending to be actors with no movie roles!
Sijawahi mvunja taya mtoto wa mtu ila nimesha restore settings mara kadhaa. Huwezi kuimba wimbo mmoja kila siku!Toa ushuhuda jinsi gani ulivyo mvunja wifi yangu taya za meno
ha ha ha basi subiria kupigwa na ile fimbo ya utu uzima.Ukiacha fimbo za walimu mara ya mwisho nimepata kipigo nikiwa na miaka 15, Kutoka kwa mlezi, na mara ya mwisho nimepigwa nilijiapiza kuanzia leo sipigwi tena
Hapo ndo wanawake tunakosea eti olewa unambie!! Mtanyanyasika sana habari za kuhalalisha kipigo....mi wangu hanipigi na nishakataa huo ujingaWewe ni mwanamke....Ulishaolewa?
Olewa ukae ndani kama miaka miwili hivi halafu uniambie hakuna siku mlipimana ubavu!
Haina kurembua hii,olewa kwanza then utuambie!
DaaahAlikuwa anakupenda sana,mpe pongezi zake.
[emoji23][emoji23][emoji23] maskini pole mpe pole na shemeji maana maumivu na yeye aliyapataMimi mpaka leo sitakagi kuamini kile kibao kilitoka kwake!
Yeye mwenyewe aliumia mnoo! Kwanza kosa halikuwa langu nikapata kibao hichoo daaahhh!
Mwanaume mpigaji huwa hapigi mara moja lazima aludie tu.
Unamwelewesha mtu haelewi unachukua hatua gani??Sio sahihi, anapigwa mtoto watu wazima tunaeleweshana
Hahaha hahaha[emoji23][emoji23][emoji23] maskini pole mpe pole na shemeji maana maumivu na yeye aliyapata
Hahaha hapo ndipo wenzio wanapokosea sasa. We unaona mtu kashachenji rangi unaendeleza ligi! Lazma ukatwe nenge kwanzaAkinipiga atakua amedhamiria maana nikishaona gia imepanda ad 3 nakaa kimya au nasepa kimya kimya
Sijawah kwakwel[emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app