Kwanza tukubaliane hamna mtu anayependa kumpiga mkewe labda kama wale wenye mkono wa kupiga kabisa kabisa.
Mimi maisha ya ujana haya sijawahi piga mwanamke akikosea ishu ya kupigwa, namuacha badala ya kumpiga.
Huyu mwanamke wa sasa ni mpole nikisema anasikia vizuri tu na kufuata maelekezo hivyo kusema kumpiga ni matumizi ya nguvu yasiyo ya lazima na kufanya awe nunda.
Ila mpenzi wangu akiniuliza hivi ukinioa nikikuuzi sana utanipiga? namwambia ukweli kabisa tokea tumeanza mahusiano hujawahi fanya kitu kibaya mpk Nika lose control ila haimaanishi sitakuja kukupiga ukizingua.Kofi moja kubwa la nguvu litakuhusu.
Tukubaliane hapa 70% ya wanawake bila Kofi Moja kubwa la nguvu kwa mwaka mara Moja au mbili,ndoa nyingi zisingedumu.
Inafikiaga kipindi mwanamke aelewi kabisa hata ukijaribu kurudia rudia badooooo yaani anakuwa kama amekuzoea, anakudharau sasa zinapoanza dharau na makofi yanakuwa automatic tu yaani mkono unakuwa mwepesi tu.
Huwez kumuacha mwanamke au kupeleka kesi kwa wazazi eti mke wangu anisikilizi nisaidieni au eti mke wangu nikimwambia sipendi majibu ya dharau hataki kwahiyo namuacha khaaa lazima tutumie njia zote ya upole,ya serious,ya ukali, makofi ndo sasa yakuachana...
Sent using
Jamii Forums mobile app