Je, umeshawahi kumpiga mkeo/mpenzi ?

Je, umeshawahi kumpiga mkeo/mpenzi ?

Wa kufurahia kipigo itakuwa ni mtu wa mara labda

Sasa ukipangiwa zamu ya kupika hapo mzee hata ukimpiga haisaidii huyo ni ameshakudharau mpk mwisho
Hahaha tatizo hawatakuelewa, wanawake wana tabia za kipekee sana hawafanani hata kidogo! Tofauti na sie vidume tabia na itikadi zetu ni universal!

Kuna mwanamke ukimdekeza anakuwa appreciating, anazidi kuinjoy na kukurejeshea wema. Kuna mwingine ukimdekeza anaanza dharau na kutaka kukupanda kichwani! Very problematic creatures! Kuna ambaye anataka akikuzingua umkaushie hadi aombe msamaha. Mwengine anataka akizengua umpige ndio anajiskia amani na kuzidisha penzi. Asee wacha niishie hapa tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji16][emoji16][emoji16] rafiki hadi wewe, nilivyo mtoto mzuri mimi mtu anatoa wapi sababu ya kunipiga? Kiukweli siwezi kutoa uhuru kwa mtu wa kunipiga anavyojisikia, ikitokea ananipiga afanye hivyo kwa uoga sio mtu kisa ameoa anajiona ana haki ya kufanya chochote kwenye mwili wangu hiyo haikubaliki kabisa
Yani wewe tena nakuelewa sana mpenzi, kidomo domo ndo switch on ya makofi ilipo! Ukijua tu kukaa kimya na kusema samahani au yameisha mpenzi wangu. Sikugusi hadi unaingia kaburini
 
Kwa hiyo mtu ukimpiga abakie tu kama ng'ombe ashindwe hata kujihami loh hivi ninyi watu mnahisi mnamiliki ulimwengu eeh?
Wakati babaako anakupiga ulikuwa unajihami? Unajua tatizo la wanawake wa sikuhizi mnaozeshwa kiholela bila wazazi ku pass values! Obviously mwanaume anaekuoa anaenda ku assume majukumu ya baba yako na kakaako at the same time!
Watoto waliolelewa kimayai hawafundishwi adabu ndio maana ndoa zinawakataa!
 
Asa namwachacha sababu ya kibao ama?! Sikumwacha wala, ila nililia wiki nzima!

Chanzo ni simu yake iliita nikaifuata kumchukulia, kusoma jina linasomeka barafu wangu mie nikamwambia barafu wako anakupigia simu daaahhh nilisikia tuu kibao na kile kimotorola chake ninacho mkononii nikaona mbingu inatetema, nyota zoote ziko sebleni hatimaye nikadondoka chiini! Dk tano nzima sikuelewa nini kinaendelea kabisaaa nyota zikakoma machozi yakaanza sasa!
Pole sana Dada.

"Just relax, take your time"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Me nishawahi boss, ila now anajitambiua na me sikudhamiria kufanya hivyo , Just kihere here chake nikipiga napiga kama naua , .

Mi nilikuwa namwambia kuwa nitakupiga since january to dec, siku nilipombariki heshima imekaa mkao

Sent using Jamii Forums mobile app
Hicho ni kile tunaita kipigo kitakatifu!
 
Hahahaha si kwamba ndo utamuheshimu sana?

Ndo hivyo sasa kuumiza kuna njia nyingi either ukipeleke nje kiliwe! Japo hii sio adhabu ya kumuumiza mtu km huyo

Adhabu nzuri ni mfano wa zile kule juu na nyinginezo za kisaikolojia zaidi
Serious akinipiga kiasi hicho ama zake ama zangu nitatumia njia yoyote nimuumize.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom