Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 61,199
- 124,880
Kwa hiyo mtu ukimpiga abakie tu kama ng'ombe ashindwe hata kujihami loh hivi ninyi watu mnahisi mnamiliki ulimwengu eeh?Mwenzako yupo home kwao kwa ujinga wa kujaribu kurudishia. Mnakua wajeuri kupitiliza
Sent using Jamii Forums mobile app