Je, umeshawahi kumpiga mkeo/mpenzi ?

Je, umeshawahi kumpiga mkeo/mpenzi ?

With all due respect naomba nitofautiane na wewe kimtizamo, Hakuna anaependa kupiga labda awe na mkono mwepesi.

Wako wanawake pasua kichwa amini nakwambia nimeshuhudia kwa ndugu yangu (bro), bro ni mkimya sana ila mke maneno mengi sana. Kuna siku sikuamini macho yangu mana ugomvi ulikuwa mkubwa hatari.

Sitaki kusema mengi ila mwanamke anaweza kukupush hadi mwisho aone utachomfanya, so diplomasia yako kwa mazingira ya kiafrika ni nadra sana kua applicable. Nlichojifunza kwa kisa cha bro ni kuwa wanawake kuna mda wanataka makofi mawili matatu wakae kwenye font fed.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umemaliza kila kitu boss .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaume tukiachana na hao wanao jiuwa mada za kulalamika humu wao wanaongoza kuleta.
Basi ogopa sana mtu mkimya na ndio asili yetu wanawake

Wanabweka tu hapa ila wanaujua ukweli huko waliko adhabu wanazopokea kisaikolojia,

Mwanamke ana uwezo wa kukuadhibu kosa la leo miaka zaidi ya 10 ijayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]huyu ukiwa umelala anaweza akakufyatua na bastola au kukufanyia mengi ya kuudhi behind your back huku akikuchora tu.
Kabisa huyu anaweza kukuendea gym kabisa ili afanikishe ule mpango wa kukubana pumzi ukiwa usingizi asubuhi wanakuta umesha-RIP. Huyu kapeace sio sport kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji849][emoji849][emoji849] stop usiendelee kuonge boss, .
Ngoja nifanye good deeds , then nimtoe out nizungumze nae kama ananiogopa ama ananiheshimiu.

Dah Leo nimejua kuwa kupiga hakusaidii kivileee japo kwa kiasi chake inasaidia.

Sipendi kuogopwa napenda kuheshimiwa .

Ahsante kwa kunifungua boss

Sent using Jamii Forums mobile app
Heshima haiwezi kuja kwa kipigo boss huo ndio ukweli.
 
Back
Top Bottom