Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,976
- 13,435
ni kweli kabisa kiongozi,nashukuru kwa majibu yako.Kawaida tu mkuu usiogope. Japo inaweza isiwe suala la pesa na likawa suala jingine. Na unaweza ujue ama usijue pia kama wahisiwa vipi..
Kuwa na amani mkuu.
nimeshapoa na ndio maana nimeona bora nifungue saluni yangu.Pole sana Washawasha...
kweli kabisa kaka,nafikiri pangekuwa hapatoshi mule ndani.Tena shkuru Mungu still dhana yake ilikua ktk primary stage , kuna siku angekuja weka dhana unamgegeda mkewe!
kumbe imeshazoeleka.Hii kawaida sana mkuu....
pole sanaKuhisiwa na kusingiziwa......aaaaahh nishazoea mie. Mwanzoni nilikuwaga naumia ila sasa hivi nishaona kawaida tu!
Ni kweli kabisa ila sometime abari nyengine inakushtua sana kwa kuwa hukutegemea kusikia habari kama hiyo kutoka kwa mtu kama huyo,ila ndio hivyo unaishia kukubali tu.Pia watu wa philosophy wanasema anythin whether bad or good , accept it !
Ila baya linakwenda na solution .
Resently i have learned the true meanin of acceptance any tukio!
Liwe la kiukweli au la kuzushiwa.
I never in all my life thought i was goin to experience certain emotions , and be dealin with confusin situation as i'm doin right nw.
You see baadhi ya wakati you're an obsever of other people's lives , and you'll never experience what they are livin , whether it be postv or negtv situation , that will never happen to you !