Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,252
- 458,265
Wewe umejuaje au ni costumer service !? Wa mitandao!?Hivi why unabadilisha namba mara kwa mara nini shida?
Hata mimi ikitokea nikaingia ndoani nitabadili kuepuka usumbufu wa hapa na pale sio lazima iwe michepuko
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah nikweli ..ngoja magwiji watupatie ujuziTusio na michepuko tunasoma mbinu tu hapa kwa ajili ya fyucha
Nimekutania tu usipaniki brother 😅😅😅😅😅Wewe umejuaje au ni costumer service !? Wa mitandao!?
Halafu itakuwa unanifaninisha" Mimi sijawahi kubadilisha namba ... nampenda sana mke wangu ... kwa taarifa yako huwa tunatumia simu moja"... haha
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa nimeshaagizwa sukari kabisa"..., wajua watu wa pwani hatunywi chai isiyo na viungo"!? so usisahau kuweka walau hirickiChaiiiii jf kwa watu wasiojulikana
Sawa " dogo .. kalale kesho shuleNimekutania tu usipaniki brother
Dah Sawa
Hahahaha
Haha binamu bwana sasa namba yako nifute ina madhara gani? Nabadili kuepuka kupigiwa na namba korofi
Kweli sina mdhara kabisa.... yaani joka la kibisa!Haha binamu bwana sasa namba yako nifute ina madhara gani? Nabadili kuepuka kupigiwa na namba korofi
Sent using Jamii Forums mobile app
😭😭😭😭Shemeji yangu hajambo aisee..
Abeee!