Sikonge
JF-Expert Member
- Jan 19, 2008
- 11,633
- 6,229
Gembe ile picha bado ipo.
Hivi haiwezekani kuwatoa hawa WALA VYA BURE yaani viongozi wa dini? Ingelikuwa poa sana kuwaweka pale Pengo na rafiki zake wakiwania visenti vya Lowasa.
Wanasiasa ni watu wasio na haya. Ndiyo maana huenda mbele ya watu mailioni kwa mamilioni na kusema " ... I naver had sex with this woman....." Nashindwa kuelewa mtu kama Marehemu Dito, swala kama hili lingelimpa pressure. Wanasiasa kuanzia anaanza kuomba kazi, huomba kwa kudanganya. Wanadanganya hadi unapata raha. Hii ilimpelekea hadi Lucky Dube kuimba wimbo wake wa "We wanna thank you father" kuwa anaishukuru Bangi kwa kuwapa ujasiri wanasiasa ili wadanganye watu wao huku wanawaangalia machoni na muda huo taifa linateketea (Angalia zile picha za akina mama wanaojifungua/wamejifungua hospital Temeke kwenye blog ya Chem CheMponda). Ila hiyo ndiyo kazi ya wanasiasa. Hawakuja hapo kutangaza dini. Wapo pale kwa ajili yao, familia zao, ndugu zao marafiki na jamaa na mwisho Watanzania/watu wao. Hawa mie sijali sana kwani kazi yao iko vile.
Ila ambao sielewi ni WATUMISHI WA MUNGU. Sijui kwa nini wanajiita hivyo ilihali ni watumishi wa wanasiasa. Mie naona heri viongozi wa dini wawe wanapita kugombea uongozi huo ili na wao watudanganye from day one wakiwa wanaomba kazi. Watoe hongo kupata kazi hiyo, watuahidi maneno matamu na kuchinya ng'ombe siku ya mkutano. Tupewe na T-shirt mpya maana hatimaye tutavaa vazi jipya baada ya miaka kadhaa tukiwa tunavaa vya kununua umeinama.
Bahati mbaya muda sina na picha zao sina. Vinginevyo hawa PENGUIN wala vya bure ningelilala nao sambamba kwa huyo Zeutamu hadi washike adabu zao na waanze kuwa watumishi wa Mungu kwelikweli na si utapelitapeli.
Picha ile SI KIKWETE. Nashangaa mnacholalamika ni nini. Mtu kaunganishaunganisha na tena unaona kabisa kaunga na wewe bado unalalamika kuwa "Wamemtoa Kikwete?" Najua si vizuri ila ndivyo hivyo tena. Badala ya kutengeneza vitambulisho, kuiba hela za EPA nk nafikiri kuna haja UWT waanze kuajiri vijana wapya wanaoijua kazi na kujua kuwa vita vya sasa duniani si VIFARU na Ndege ila ni kwenye mtandao. Yes, usalama wa taifa kengele inalia, anzeni kazi maana vinginevyo ........tutakuja aibika kikwelikweli na si hizi za kulazimisha na kupindisha.