Je tuhahitaji tena Ze Utamu?

Je tuhahitaji tena Ze Utamu?

Status
Not open for further replies.
Mwanakijiji it's pity kwamba i have to connect you with this scandal kwa 95% you know why?

haya Sasa yamekuwa hayo? Inanikumbusha ile hadithi ya Heri Mimi sijasema, Mchawi atapatikana kweli?
 
Ahaaaa, sasa napata picha kwa nini Mwanakijiji na Mwafrika wa kike walijishaua kipindi kileeeee, kwamba wameahirisha kuziweka picha hadharani.

Mwanakijiji it's pity kwamba i have to connect you with this scandal kwa 95% you know why? Kwanza una chuki binafsi na CCM, na vile JK ni CCM, na kila siku hapa unamchafua mara kumuita fisadi, terrorist na kadhalika, bado umeona haitoshi. Ukijua wazi 2010 ndiyo hiyoooo, umeamua kumdhalilisha Baba wa watu kwa hizi picha ulizotengeneza na kuzitunza tangu kipindi kileee, ili kumchafua kwamba muoneni Raisi wenu! Ukoje lakini wewe Mwanakijiji jamani?

Kila siku kujifanya wewe unauchungu sana na Tanzania kuliko wengine, Bongo yenyewe huji kuona iko vipi tangu uondoke miaka ileee, kulalamika tu CCM, sijui nani na nani, as if wewe uko safi.

Sijapenda ulivyofanya. You really need to convice me kwamba huhusiki which I won't buy it anyway. Kwa nini hukuitoa kipindi kile, eti mwenyewe ukaitunza kufikiri tumesahau, leo na wewe unajishaua. Grrrrrrrr. Unafiki mbaya sana.

Nenda bana kaitoe hiyo picha. Ni wewe umezituma kwa zeUtamu, zile ulizozitunza kipindi kileee, nitajaribu kuzitafuta Post zenu na Mwanamke wa kike sijui wa kiafrika, whatever the name. You didnot play smart this time Mwanakijiji.

Eti na wewe upo hapa kuchangia kulaani, come on old man! You lost big time kupigia Kampeni JF.

Wewe dada mbona ajenda yako hapa haieleweki. Watu tumekaa kimya comment kwenye maudhui ya hiyo picha, unawatafuta wachangiaji au? Unajua undani wa hiyo picha kuwekwa hapo? Unaanza kuihusisha na chuki binafsi za CCM? Au na usafi wa vitendo vya mhusika mwenyewe? Unazo data ama? Hizo za Mwanakijiji unazo? Ziweke bayana hapa tafadhali, usimwogope yeyote.
 
Members waliojiunga siku nyingi kisha wana post chache(relatively) huwa nakisoma walichokiandika wit a HIGHLY cautious mind.Maana huwa wakija kuchangia basi wana lao jambo,au huwa ni reserve id mahsusi kwa ajili ya kusemea yale ambayo kwa status ya id zao wazitumiazo frequently hawawezi kuyasema.Watch out!
 
Yep...mtu uko mwanachama tokea 2006 halafu unamabdandiko 9 au 10....hahahahahaaa...something ain't right with that picture
 
Wewe dada mbona ajenda yako hapa haieleweki. Watu tumekaa kimya comment kwenye maudhui ya hiyo picha, unawatafuta wachangiaji au? Unajua undani wa hiyo picha kuwekwa hapo? Unaanza kuihusisha na chuki binafsi za CCM? Au na usafi wa vitendo vya mhusika mwenyewe? Unazo data ama? Hizo za Mwanakijiji unazo? Ziweke bayana hapa tafadhali, usimwogope yeyote.
hujamuelewa nini mercy? kama unakumbuka mwaka juzi mwanakijiji huyu huyu wa JF na mwafrika wa kike walikuja hapa na kusema wana picha za muungwana jk akiwa hotelin anakula maraha na kimwana.......wakafanya mpaka server ikaenda down....

......haya connect na mengine
 
Yep...mtu uko mwanachama tokea 2006 halafu unamabdandiko 9 au 10....hahahahahaaa...something ain't right with that picture

Shauri yake... matatizo ni yake na woga wake. Hatuangalii sura wala nini, tutampasha sawasawa tu!
 
ukweli ni ze utamu imekuja kuharibu jamii. asilimia 80 ya wabongo wenye access na mtandao huivinjari deile. kwa upande mmoja inajaribu kuanika yafanyikayo ila kwa upande wa pili inajaribu kutengeneza mazingira ya kujizolea umaarufu. inawashawishi watanzania ambao walikuwa hawana utamaduni wa ajabu kujitumbukiza katika fikra potofu. leo hii picha za wadada wa kibongo zinawekwa mtandaoni kama kitu cha kawaida. hawa wanarubuniwa na mwisho wa siku picha zao zinawekwa humo. siwatetei kuwa ni wema, la bali si waovu kiasi hicho. waovu ni hao wanaojiita wadau wa ze utamu ambao huzunguka kila pande kuwarubuni wanawake na kuwapiga picha. tusifike walikofika wenzetu wa nchi zilizoendeleaa za kufanya hii biashara ya ngono na jamii yake kama sehemu ya maisha yetu. sio maendeleo bali ni upotoshaji
 
Yep...mtu uko mwanachama tokea 2006 halafu unamabdandiko 9 au 10....hahahahahaaa...something ain't right with that picture
NN,
jana ktk ile thread ya "pasaka coco beach" kulikuwa na bandiko ambalo ni very similar to this one.Ukipitia vizuri ile thread u can simply point out who is behind this older alias wit fewer post!!!!Shame indeed,hivi kama unaamini kuwa unachokisimamia ni sahihi kwanini uhangaike na multialias???
 
hujamuelewa nini mercy? kama unakumbuka mwaka juzi mwanakijiji huyu huyu wa JF na mwafrika wa kike walikuja hapa na kusema wana picha za muungwana jk akiwa hotelin anakula maraha na kimwana.......wakafanya mpaka server ikaenda down....

......haya connect na mengine

Mimi sioni haja ya kufanyia kazi hisia na assumptions, Mwanakijiji yupo na anatusoma, kama kalifanya hili angesema. Tuanze kuogopa kuongea hapa kwa kuogopa kuunganishwa na mijadala itayopelekea matukio fulani? We are beyong that!
 
Jamani,zeutamu imefika pabaya. Objective zao nini? Their days are numbered.
 
hujamuelewa nini mercy? kama unakumbuka mwaka juzi mwanakijiji huyu huyu wa JF na mwafrika wa kike walikuja hapa na kusema wana picha za muungwana jk akiwa hotelin anakula maraha na kimwana.......wakafanya mpaka server ikaenda down....
......haya connect na mengine
Oh!
Sasa hata kama walisema wana picha ya mkulu na kmwana,kisha wakaitunza hiyo picha(im jus assuming a scenario) sasa unaweza vipi ukaoanisha na hiyo ya utamu??Kuna KIMWANA ktk hiyo picha,au mnataka kulinganisha machungwa na mapera!?
 
Ahaaaa, sasa napata picha kwa nini Mwanakijiji na Mwafrika wa kike walijishaua kipindi kileeeee, kwamba wameahirisha kuziweka picha hadharani.

Mwanakijiji it's pity kwamba i have to connect you with this scandal kwa 95% you know why? Kwanza una chuki binafsi na CCM, na vile JK ni CCM, na kila siku hapa unamchafua mara kumuita fisadi, terrorist na kadhalika, bado umeona haitoshi. Ukijua wazi 2010 ndiyo hiyoooo, umeamua kumdhalilisha Baba wa watu kwa hizi picha ulizotengeneza na kuzitunza tangu kipindi kileee, ili kumchafua kwamba muoneni Raisi wenu! Ukoje lakini wewe Mwanakijiji jamani?

Kila siku kujifanya wewe unauchungu sana na Tanzania kuliko wengine, Bongo yenyewe huji kuona iko vipi tangu uondoke miaka ileee, kulalamika tu CCM, sijui nani na nani, as if wewe uko safi.

Sijapenda ulivyofanya. You really need to convice me kwamba huhusiki which I won't buy it anyway. Kwa nini hukuitoa kipindi kile, eti mwenyewe ukaitunza kufikiri tumesahau, leo na wewe unajishaua. Grrrrrrrr. Unafiki mbaya sana.

Nenda bana kaitoe hiyo picha. Ni wewe umezituma kwa zeUtamu, zile ulizozitunza kipindi kileee, nitajaribu kuzitafuta Post zenu na Mwanamke wa kike sijui wa kiafrika, whatever the name. You didnot play smart this time Mwanakijiji.

Eti na wewe upo hapa kuchangia kulaani, come on old man! You lost big time kupigia Kampeni JF.

Usibadili upepo hapa, naona unataka kuipersonalise hii kitu, why? Kama wewe unabifu na MMM malizaneni huko huko!

Hata kama ile picha imewekwa na MMM, to me it doesn't matter, je , yeye ndo huzieweka na nyingine zote za watz huko? We hii ya mkulu ndo inakuuma? CCM inayoisema, mbona haikushikia bango uchafu mwingine waliofanyiwa wa TZ kama kweli ipo serious? We na CCM yako acheni unafiki na double standards!
 
Nimepata picha zake, nimejua alisoma wapi na lini na kwa sasa anafanya kazi. Sina sababu ya kutishia sababu sioni sababu ya kufanya hivyo. Nimeomba aache upuzi wake vinginevyo nitamweka wazi hapa jf sina utani na uchafu kwani siwezi kukubali uchafu.

kama una mfahamu ni bora umuweke wazi ili hatua husika zifuatwe, sio kumtisha huyo bwana/bibi, kama kutishwa keshatishwa sana na kwa kweli kilichobaki ni kuchukuliwa hatua tu
watu wengi wamearibiwa malengo na matumaini yao kupitia huo mtandao kwa kweli inafikia hatua ukikorofishana na m2 tu unakuwa na wasiwasi mikubwa kwamaba muda si mrefu nawe utatundikwa hewani na maneno ya kashfa zisizokuwa na mipaka
cha muhimu ni kumuweka hadharani
 
hujamuelewa nini mercy? kama unakumbuka mwaka juzi mwanakijiji huyu huyu wa JF na mwafrika wa kike walikuja hapa na kusema wana picha za muungwana jk akiwa hotelin anakula maraha na kimwana.......wakafanya mpaka server ikaenda down....

......haya connect na mengine

Tuko hatua chacvhe kufikia conclusion kuwa Mwanakijiji ndiye aliyepost picha ile huko zeutamu
 
NL

Achana na Mercy ni aka ya ....

Eti eeeehh! aache unafiki sasa...anonymous over anonymous ndo nini sasa.....si angeingia na hiyo a.k.a yake mkuu?

Sasa kaka na wewe tena....mbona unafail kutalk openly? a.k.a .....? nani?
 
kama una mfahamu ni bora umuweke wazi ili hatua husika zifuatwe, sio kumtisha huyo bwana/bibi, kama kutishwa keshatishwa sana na kwa kweli kilichobaki ni kuchukuliwa hatua tu
watu wengi wamearibiwa malengo na matumaini yao kupitia huo mtandao kwa kweli inafikia hatua ukikorofishana na m2 tu unakuwa na wasiwasi mikubwa kwamaba muda si mrefu nawe utatundikwa hewani na maneno ya kashfa zisizokuwa na mipaka
cha muhimu ni kumuweka hadharani

Mkwara tu huyo jamaa hana kitu.
 
Tuko hatua chacvhe kufikia conclusion kuwa Mwanakijiji ndiye aliyepost picha ile huko zeutamu

Sijamwona kimwana kwenye ile picha jamani mbona mnataka kumharibia Villager wetu?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom