Je tuhahitaji tena Ze Utamu?

Je tuhahitaji tena Ze Utamu?

Status
Not open for further replies.
All ya grow up, mbona masela kibao tu wanatolewa kule tokea kajamba nani mpaka mawaziri wa serikali, so itakuwa president? Ile ni site ya kikubwa anayeona inamzingua aache kuitembelea.

Ni mtazamo tu.

Exactly! Mbona kuna viongozi wengine kibao tu duniani wanaofanyiwa hayo mambo? Leo kafanyiwa Kikwete imekuwa nongwa. Mimi nasema hivi, katika ulimwengu wa leo haya mambo ni vigumu kuyazuia. Leo utafunga Utamu kesho Uchungu inatokea na inakuwa mara mia zaidi ya ilivyokuwa Utamu.

Upuuzi huu hauwezi kuisha. Ndio hali halisi ya maisha ktk karne ya 21!!
 
Inabidi watu tuisusie. Kwa kitendo cha kuzidi kuiandika hapa tunazidi kuitangaza (kuipa promo) na hata wale waliokua hawaijui ndo kwanza wanaenda kuitafuta.Tafadhali watanzania na wote wenye kupenda mema waisusie kwa kutoitembelea hiyo website ya udhalilishaji.
 
The thread of the Day!!!! But does not worth our precious time. It is enough now!! Please mods, get rid of it.

Currently Active Users Viewing This Thread: 120 (46 members and 74 guests)
Maane, amagoma, Baba_Enock, Chada, Chakaza, chavala, Che Kalizozele, chrispine, cool girl, CottonEyeJoe, dmaujanja1, Domo Kaya, Faith, Field Marshall ES, Giroy, Hofstede, Ibrah, Ikena, Jaylee, Kang, Kidatu, Kijakazi, Killuminati, kisale, Kufakunoga, KYACHAKICHE, LazyDog, Magehema, Magobe T, Mbu, mchizi, mduduwashawasha, mmasaihalisi, mshiiri, Mtu B, Mutensa, mziwanda, Ngosha123, Nyani Ngabu, Sem, Sikonge, Son of Alaska, Tabu, TreasureFred, Tshala
 
- kwangu leo ni siku ya huzuni sana kwa sisi wapenda uhuru wa kusema, na hasa watumiaji wakubwa wa internent, na tunaojulikana na wengi kwamba ni magiwji wa mtandao, kinachosikitisha zaidi ni the fact kwamba tunawajua hata hao wahusika wa hiyo kitu, shame on you guys na this time mmefika mbali sana!

Mungu Aibariki Tanzania.

FMES
msitumie njia hii kuingilia bungeni.....
 
Uchunguzi wangu wa haraka haraka inanionesha huyu jamaa anayejiita zeutamu
anapatika USA, state ni texas na city ni Houston.
Host IP address ni: 174.132.156.66

IP postcode: 77002
IP address latitude: 29.7523
IP address longtude: -95.3670

Tafadahali ni vyema aache upuuzi na uchafu wake mara moja kwani tunaweza kuanika mpaka jina lake kamili, alisoma wapi na hata ikiwezekana picha zake pamoja na kwamba tulisoma computer migombani.

Si mahali anapopatikana mwenye ze utamu ila ni sehemu zilipo servers ambazo ndani yake kuna documents za ze utamu. Ieleweka mapema. Hapa Texas ni hosting provider alipo. Inawezekana ze utamu yuko hapo hapo Tanzania ama magomeni ama kariakoo ama michokeni ama kokote. Kimsingi si mshenzi kwa vile kamtoa mkuu wa nchi ila ni tangu mwanzo; it is like bad fortune, ikimpata masikini, tajiri anaona ni kawaida, ikimpata tajiri anasema kwa gharama yoyote n.k. We need to be fair and realistic kwamba kama mkuu wamemtoa personality yake should be protected and not spoiled as should have been anybody that appeared in ZEUTAMU. At least it is my opinion.
 
Uchunguzi wangu wa haraka haraka inanionesha huyu jamaa anayejiita zeutamu
anapatika USA, state ni texas na city ni Houston.
Host IP address ni: 174.132.156.66

IP postcode: 77002
IP address latitude: 29.7523
IP address longtude: -95.3670

Tafadahali ni vyema aache upuuzi na uchafu wake mara moja kwani tunaweza kuanika mpaka jina lake kamili, alisoma wapi na hata ikiwezekana picha zake pamoja na kwamba tulisoma computer migombani.

UTAMU,I HAVE BEEN MADE TO UNDERSTAND,has sorrounded him/her self with a ring of steel by bypassing all malwares(whatever that means).utamu has hosted in a fort knox like high security enabled server that assures utamu of anonymity and any process that would led to utamu's identification would led to a counter claim that would bankrupt the host--jamani wataalam tufafanulieni hii kitu
 
Picha ni ya kutengenezwa,na haijatengenezwa vizuri.
huyo aliyepost na kutengeneza hii picha,ni adui wa zeutamu ameamua kufanya hivyo ili ivute hisia za watanzania na hasa walio karibu na mkuu.
kimaadili Zeutamu iko chini sana,ila pia inaonyesha jinsi gani watanzania tunavyoitembelea hii blogg chafu.
cha msingi ni serikali kuizuia hii blogg isionekane tanzania,ki utaalamu hili ni suala rahisi sana.
watumishi wa usalama inabidi watembelee ISP wote,internet service providers ,hasa ISP wenye wateja wengi,eg TTCL,Raha.com,Datel na Africa online
hii website itakuwa haipatikani Tz,
halafu waanze kufuata taratibu za kisheria kudhibiti website za mtindo huu,kwani ze utamu ni mambo ya kizushi na ngono tupu.
3.ili nchi iendelee inahitaji, watu,ardhi ,siasa safi na uongozi bora,sasa hii freedom of speach/uhuru wa maoni,ni sawa ila usivuke mipaka vinginevyo tutakuwa maskini.mfano china hata google search inadhibitiwa na wenye google ,yahoo wamelikubali hivyo so kuwa amuru ISP kutii amri ni suala jepesi tu.
 
Uchunguzi wangu wa haraka haraka inanionesha huyu jamaa anayejiita zeutamu
anapatika USA, state ni texas na city ni Houston.
Host IP address ni: 174.132.156.66

IP postcode: 77002
IP address latitude: 29.7523
IP address longtude: -95.3670

Tafadahali ni vyema aache upuuzi na uchafu wake mara moja kwani tunaweza kuanika mpaka jina lake kamili, alisoma wapi na hata ikiwezekana picha zake pamoja na kwamba tulisoma computer migombani.

Mkuu, hebu niulize. Mimi nina personal computers 2 na ninazitumia kutokana na mahitaji. Kama wife anatumia moja mimi natumia nyingine. Halafu ofisini (20km away from home) natumia almost computer 3 kwa siku kutokana na computer ipi iko free na wakati mwingine naenda internet cafes kama hakuna umeme sehemu nilipo.

Swali, je kwa hizo computer zote zitakuwa na IP address moja? IP postcode moja? IP address latitude moja? IP address longtude moja?

Ninasema hivi nikimaanisha kuwa huyo jamaa anaweza asiwe anatumia computer yake na inawezekana pia akawa anaenda sehemu anayofanyia hiyo kazi yake. Ila kitu kimoja kinaweza kuwa sahihi ni kwamba computer aliyotumia siku hiyo inaweza kuwa na 'details' kama ulivyoorodhesha hapo juu. Unasemaje?
 
Mimi ninarudi pale pale hii thread haikupaswa kuwekwa hapa kwa sababu zifuatazo

1. Inaongeza uzalilishaji kwa rais kwani kuna watu hatutembelei huko ze utamu imebidi tui google na kutembelea na matokeo yake kujionea tulioyaona

2. Hii thread inaipa publicity ile web site ya kichafuzi, kwani hakukuwa na haja kabisa ya kuanzisha kitu kama hiki.

3. Kuna watu waliishapata angalizo humu jamvini kwa kuanzisha thread za web ile ya kichafuzi je mods na Gembe nae mmempa angalizo?

4. Picha kama ile ya kule kwenye web ya kichafuzi ni sawa kabisa na kama enzi zile za mzee Puch pale mlimani, kwani nao walianza mtindo huu wa photoshop na kuwachafua watu kama kina VC, Dean of students n.k kwa wale waliopitia plae miaka ile ya mwisho wa 90 na mwanzo wa 2000 watakubaliana nami.

5. Mwenye hii website anajulikana japo nae aliwahi kujitoa kwenye web ile na hata kutangaza dau la kwa atakaye fanikisha kukamatwa kwa zeuchafuzi ni mwenzao sasa watamalizana

6. Tufurahie kuwa web imemuweka mtu ambaye sasa serikali itaona kuna umuhimu wa kuizika hii website kwani ni wangapi wameshachafuliwa bila hatia na wengine kufikia hatua ya kutaka kujiua?, serikali ilikuwa wapi?

Ushauri wangu: Hili suala kwa wakuu wa nusanusa inatakiwa waliendee kimya kimya, wakitangaza tu kwenye vyombo vya habari basi wamemuanika mkulu zaidi maana nina hakika kuna watu hawana habari na hawajaiona hii picha kitendo cha kutangaza basi kitavutia watu kutaka kujua kulikoni?, na hapo ndipo watakapoitafuta na kuijua zeuchafuzi, (i.e rating yake itapanda sana) kama alivyoipandisha Gembe hapa JF kwa thread yake hii.
 
Hivi vipi sera ya Tanzania ktk haya mambo? Maana wanafunzi/watoto wadogo wanaenda cafe analipa tu 500 anaaanza kuangalia picha mbaya!

Najua nchi kama China wana mipaka..sii kila kitu kinakubaliwa! Vipi nchi zingine za Afrika jirani kama Kenya, Malawi, SA nao wana sera gani?

Je taifa letu ninasemaje over this?
 
- kwangu leo ni siku ya huzuni sana kwa sisi wapenda uhuru wa kusema, na hasa watumiaji wakubwa wa internent, na tunaojulikana na wengi kwamba ni magiwji wa mtandao, kinachosikitisha zaidi ni the fact kwamba tunawajua hata hao wahusika wa hiyo kitu, shame on you guys na this time mmefika mbali sana!

Mungu Aibariki Tanzania.

FMES

Hii ndiyo tunasema haitakiwi, kama unamjua muweke jamvini tumjue wote huenda ataacha baada ya kuona anajulikani, kuendelea kuwaficha ni kibali cha kuendeleza uchafuzi wao
 
Mkuu, hebu niulize. Mimi nina personal computers 2 na ninazitumia kutokana na mahitaji. Kama wife anatumia moja mimi natumia nyingine. Halafu ofisini (20km away from home) natumia almost computer 3 kwa siku kutokana na computer ipi iko free na wakati mwingine naenda internet cafes kama hakuna umeme sehemu nilipo.

Swali, je kwa hizo computer zote zitakuwa na IP address moja? IP postcode moja? IP address latitude moja? IP address longtude moja?

Ninasema hivi nikimaanisha kuwa huyo jamaa anaweza asiwe anatumia computer yake na inawezekana pia akawa anaenda sehemu anayofanyia hiyo kazi yake. Ila kitu kimoja kinaweza kuwa sahihi ni kwamba computer aliyotumia siku hiyo inaweza kuwa na 'details' kama ulivyoorodhesha hapo juu. Unasemaje?

Zote tofauti.
 
Hii ndiyo tunasema haitakiwi, kama unamjua muweke jamvini tumjue wote huenda ataacha baada ya kuona anajulikani, kuendelea kuwaficha ni kibali cha kuendeleza uchafuzi wao
yuko kwenye kampeni huyo.......
 
Wakubwa mie mbona sijaona hiyo picha inaosemwa hapa? Naomba link ya hiyo ze website ili nami niione niweze japo kutoa yangu machache maoni
 
Hii ndiyo tunasema haitakiwi, kama unamjua muweke jamvini tumjue wote huenda ataacha baada ya kuona anajulikani, kuendelea kuwaficha ni kibali cha kuendeleza uchafuzi wao

Nimekusoma mkuu....tupo same page! FMES do us a favor muanike...we dare talk openly hapa JF....a home of great thinkers even!
 
Hivi vipi sera ya Tanzania ktk haya mambo? Maana wanafunzi/watoto wadogo wanaenda cafe analipa tu 500 anaaanza kuangalia picha mbaya!
sera anza nazo weye.....mimi nilifikiri labda utakuwa wa kwanza kulipiga vita jukwaa la kikubwa.......
 
Kama ni kuchafuliwa wamechafuliwa watu wakubwa wengi mno duniani! Ni usanii tu wa kiujanja ujanja. Mfano kuna picha ilisambaa sana miaka miwili iliyopita ikimuonyesha Osama akimla tigo Bush, kwa kuwa ilionekana ni usanii tu hakuna mtu duniani anahangaika na hilo. Sasa kama picha yenyewe kuhusu muungwana ni ya kweli sio ya kiusanii ndio maana kukurukakara zinakuwa nyingi
 
Wakubwa mie mbona sijaona hiyo picha inaosemwa hapa? Naomba link ya hiyo ze website ili nami niione niweze japo kutoa yangu machache maoni
muandikie PM Gembe......
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom