Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 26,106
- 24,004
RejeaNimeshangazwa na hadhi ya ukimbizi aliyopewa Roma Mkatoliki nchini Marekani. Hii pengine inatokana na kule kukamatwa kwake na wale WASIOJULIKANA kisha katika hali ya kushangaza sana na kwa muda uliopangwa Roma akapatikana akiwa hoi majeruhi na majeraha ya kuteswa.
Jamani jamani umezidi ujuaji brother ahhahahahhahaah.
Sent using Jamii Forums mobile app
Paul Makonda: Haitafika Jumapili kabla hatujampata Roma na wenzake wanne
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ameoneshwa kusikitishwa sana na kupotea kwa msanii Roma Mkatoliki na kuahidi kuwa atahakikisha anampata kabla ya Jumatatu. Ameongea hayo kwa baadhi ya waandishi wa habari waliomfuata ofisini kwake na kutaka kujua kuhusu msimamo wake juu ya hili swala...
www.jamiiforums.com