Je, Roma Mkatoliki anaandaliwa kuwa shahidi wa ICC?

Nimeshangazwa na hadhi ya ukimbizi aliyopewa Roma Mkatoliki nchini Marekani. Hii pengine inatokana na kule kukamatwa kwake na wale WASIOJULIKANA kisha katika hali ya kushangaza sana na kwa muda uliopangwa Roma akapatikana akiwa hoi majeruhi na majeraha ya kuteswa.



Jamani jamani umezidi ujuaji brother ahhahahahhahaah.

Sent using Jamii Forums mobile app
Rejea
 
Yes Mbumbumbu wa international Law specifically international criminal Law! Ndo maana amethubutu kuandika hiki alichokiandika!
Mkuu hebu tuambie wewe unajua nini kuhusu international criminal law na kuhusu ICC na ina operate vipi na jurisdiction ya ICC ili sisi mambumbumbu tuweze kujifunza kitu.
 
Mshana Jr,
Mnavyoishobokea ICC, wakati inaonyesha wazi hamjui chochote kuhusu Mahakama hii and how it oparate. Kwa ulichoandika ni wazi we ni Mbumbumbu wa ICC! Hujui chochote!

Bora ungepita kimya kimya bila kuandika chochote!
Kwa namna ulivyoandika wewe ndiye unayeonekana mbumbumbu zaidi!!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mimi naomba Andiko au Kitu chochote cha kudhibitisha Roma yupo Marekani kama mkimbizi.
 
CCM wajipange, wabeberu safari hii wataondoka na vichwa vingi sana utawala huu.

Kidogo kidogo wameanza kula "MATAPISHI" yao, wamepeleka muswada bungeni (kama kawaida yao kwa HATI YA DHARURA) kuomba sheria ya Arbitration ibadilishwe ili migogoro ya madini iwe inasuluhishwa kwenye Mahakama Ya Biashara Ya Kimataifa.

Kwa mtazamo wangu, watu wasiojulikana watakuja kufanya "MAAMUZI" magumu sana kwa yule "MKUU WA MIKOA YOTE TANZANIA", ili kuficha aibu yao.

To be continued. . . . . . .

"Kwa mtazamo wangu, watu wasiojulikana watakuja kufanya "MAAMUZI" magumu sana kwa yule "MKUU WA MIKOA YOTE TANZANIA", ili kuficha aibu yao".

Ndivyo inavyokuwa kwa maslahi mapana ya............
 
Jamaa anachekesha sana,anamkosoa mtoa mada kuwa hajui ICC inavyo operate! Sasa unamuuliza atoe ufafanuzi wake,anataka tena mtoa mada (ambae kwa mujibu wake hajui) atoe ufafanuzi
Ndio Mwafrika huyo sasa.Mtu aliyeshindwa kupata jibu la 1+1=2

Mwalimu anamwambia umekosa..sasa badala ya kuelekezwa jinsi gani 2 imepatikana.Mwanafunzi unakula masimango halafu unaulizwa tena 2 imepatikanaje?

Huoneshwi ilipatikanaje...ndio maana mambo yetu mengi huenda kombo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom