Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,633
- 27,024
Sio makosa wewe tueleze ulichokidai,mambo ya kusema kufix makosa yake ni kuwa na uelewa wenu mdogo na haraka zenu ,shida ni kujifanya nyie ni werevu wakati hakuna kitu kama hicho,mbunge kuteuliwa au kupewa nyadhifa nyingine sio jambo la ajabu au kitu kipya ndio maana nikakwambia ngoja kwanza kabla hujakurupuka kwa kuleta ngonjera za kitoto,wewe ndio unajaribu kufix makosa yako.
wewe naye ni mkurupukaji.Kosa limeshatendeka,katiba imevunjwa,wewe unataka nn zaidi?Mpaka kifungu cha ibara ya katiba umepewa bado unaleta ngonjera