Je, Rais ana mamlaka ya Kumvua Mtu "Ubunge"?

Je, Rais ana mamlaka ya Kumvua Mtu "Ubunge"?

DK. ABDALLAH POSSI.
muongozo utakuwa huuu.

149.-(1) Any person holding any office established by this Constitution
(including the office of Minister, Deputy Minister, or Member of Parliament,
except an ex-officio Member of Parliament) may resign by giving notice in
writing and signed by him, in accordance with the following procedure:
(a) if such person was appointed or nominated by one person, then
such notice of resignation shall be submitted to the person who
appointed or nominated him, or where he was appointed, or
nominated by a body of persons, then such notice of resignation
shall be submitted to that body of persons;

(b) if that person is the holder of the office of President, then the notice
of resignation shall be submitted to the Speaker;
 
Ama viwanda anavyosema ana maana vile vya kufyatua naniluu alosema pale Lumumba?
 
Tenure of office of Member of Parliament
71.-(1) A Member of Parliament shall cease to be Member of Parliament and shall vacate his seat in the National Assembly upon the occurrence of any of the following matters:
Act No.15 of 1984 Art.13 Act No.4 of 1992, Art.22
(a) where anything happens which, had he not been a Member of Parliament, would have disqualified him from election or would make him lose the qualifications for election or would disqualify him from election or appointment in accordance with the provisions of this Constitution;
Act No.34 of 1994, Art.14
(b) where such Member of Parliament is elected President; (c) where a Member of Parliament fails to attend three consecutive meetings of the National Assembly without the permission of the Speaker; (d) where it is established that he has contravened the provisions of the law concerning the ethics of public leaders; (e) where a Member of Parliament ceases to be a member of the party to which he belonged when he was elected or appointed to be a Member of Parliament; (f) where a Member of Parliament is elected or appointed VicePresident; or (g) in the case of a Member of Parliament who is required to submit a formal statement of property in accordance with the provisions of Article 70, if he fails to make such formal statement in accordance with the provisions of that Article within the period prescribed for that purpose by a law enacted by Parliament, but where a Member of Parliament does not cease to be a Member of Parliament
47
on account of any of those matters mentioned and if he does not sooner resign or die, then he shall continue to hold office as Member of Parliament until the next general election. (2) Parliament may enact a law for the purpose of making provisions enabling a Member of Parliament to appeal according to law, against a decision which confirms that he is a person of unsound mind or against a sentence of death or imprisonment or against conviction for an offence of the type referred to in the provisions of subarticle (5) of Article 67 of this Constitution, and that law may provide that the decision appealed against by the Member of Parliament shall have no effect in law until the expiration of the period prescribed in that law.
 
Mshaurini !mbowe ajiuzulu kuliko kukaa na kujadili mambo ambayo hapo juu ya uwezo wenu wa akili!
 
Mshaurini !mbowe ajiuzulu kuliko kukaa na kujadili mambo ambayo hapo juu ya uwezo wenu wa akili!
Hivi Ukifikia Mahali Unawaita watu zaidi ya milioni moja hawana akili Si utatakiwa Ujiunge tu na Huyu ambaye Ametatanika Mpaka anarusha Mikono Kutafuta neno la Kusema?

 
Ukweli ni kwamba rais anamaamlaka ya kumvua mbunge nafasi na kuchagua mwingine mda wowote maana mbunge hana security of tenure ambayo ni kinga waliyonayo watendaji wakiserekali ambao wenye kinga hio hawawezi fukuzwa pasipo kusikilizwa na kufata utaratibu husika

Rejea wakurugenzi waliotenguliwa uteuzi wao
 
Ukweli ni kwamba rais anamaamlaka ya kumvua mbunge nafasi na kuchagua mwingine mda wowote maana mbunge hana security of tenure ambayo ni kinga waliyonayo watendaji wakiserekali ambao wenye kinga hio hawawezi fukuzwa pasipo kusikilizwa na kufata utaratibu husika
Huu mchango wako unalingana kabisa na sura ya kitoto uliyonayo kwenye avatar yako. Ni vizuri ungerejea vifungu vya katiba na sio kufikiri kwa mantiki (logic) kama ulivyofanya.
 
Kisheria rais wa Tanzania hana mamlaka ya kumvua mtu ubunge, haijarishi Ubunge huo ni wa kuchaguliwa au kuteuliwa, rais hana mamlaka ya kumvua mtu ubunge.
 
Wabunge wote Kwa mujibu wa katiba yetu wana hadhi sawa, bila kujali wametokea kundi gani.
Hivyo basi Kwa mujibu wa katiba taratibu zao lamoja na maslai yao ni Sawa.
Kwa mujibu wa katiba mtu akishakuwa mbunge ataendelea kuwa mbunge hadi hapo bunge litakapovunjwa kupisha uchaguzi mwingine.
Ubunge utaisha au kukoma mapema kwa Wabunge wote bila kujali kundi lake Kwa sababu zifuatazo tu
1. Mbunge huyo yeye mwenyewe akosee taratibu kupita kiasi hadi kupelekea kufungwa hela zaidi ya miezi 6 au kudhalilisha nafasi ya ubunge
2. Kushindwa kutoa tamko la kisheria hususani tamko la .mali na maadili.
3.mbunge kutohudhuria vikao bila ruhusa
4.Mbunge kuumwa sana hususani afya ya akili.
5.Mbunge kujiuzulu yeye mwenyewe.
6.Mbunge kufariki
Kamwe rais hana mamlaka ya kumuondolea mbunge yeyote hata aliyemteua yeye ubunge wake.
Mbunge anaweza kuteuliwa nafasi ya uongozi mwingine na rais na akaendelea na ubunge wake, tulishuhudia kuona wabunge wakiteuliwa kuwa wakuu wa mikoa au wilaya, kiutaratibu ma rc na dc ni watendaji wa juu wa kiserikali kama vile alivyo balozi.
Kimsingi rais alichemka kuwateua akina bulembo anajifanya kusawazisha Mambo.
Kimsingi itabidi posi ajiudhuru yeye mwenyewe naamini ataambiwa afanye hivyo mapema kabla ya bunge lijalo,
Changamoto ninayoiona katiba imeweka utaratibu wa kujaza nafasi za ubunge zitapokuwa wazi kupitia nec Kwa wabunge wa majimbo na viti maalumu. Lakini hizi nafasi 10 za rais hakuna utararibu wa kuzijaza.
Let's say rais ameshateua wabunge 10 Kwa mujibu wa katiba kabla bunge halijaisha mteule huyo akapoteza sifa ya ubunge Kwa sababu yeyote niliyotaja hapo juu, je itakubalika ateue mwengine wa 11 kumreplace Huyo?
Mimi kwangu naona haitakuwa sawa akishateua ameteua nafasi inapotea manake kama ni hivyo hizo nafasi 10 anaweza kuzitumia zikafika hata20 Kwa
 
Mkuu, hii kitu umeweka hapa haina ufafanuzi wa kuwa rais ana mamlakani ya kumvua ubunge mbunge wa kuteuliwa. Nacho juwa mimi, mtu akiteuliwa ubunge (na hapa tunazungumzia mbunge wa kuteuliwa) mara baada ya kuapisha na spika, mbunge anakuwa chini ya spika na spika ndio mwenye mamlaka yote ya mbunge kuwa mbunge au la. Na mbunge mwenyewe anauwezo wa kujiuzulu mwenye kama akitaka hivyo. Sidhani kama rais ana mamlaka tena baada ya mbunge kuapishwa.

Ukumbuke pia, mbunge wa kuteuliwa na mbunge wa kuchaguliwa wana mamlaka sawa wanapokuwa bungeni na hata nje ya bunge.
Je, huyo mbunge wa kuteuliwa akiwa chini ya spika wa bunge baada ya kuapishwa, spika anaweza kutengua uteuzi wake?
 
Je, huyo mbunge wa kuteuliwa akiwa chini ya spika wa bunge baada ya kuapishwa, spika anaweza kutengua uteuzi wake?
Kama kuna kigezo kinacho mpa nguvu spika kumvua ubunge, kama vile utoro bungeni, kukosa vikao vya bunge kwa siku 90 bila maelezo yoyote, utovu wa nidhamu nk. Lakini lazima utaratibu ufuatewe kama vile kumwita mbunge mbele ya kamati za maadili na mbunge ajieleze kwanini asichukuliwe hatua.

Na huo utaratibu ni wa wabunge wote sio wa kuteuliwa tuu.
 
Je, Rais ana mamlaka ya kumvua Mtu Ubunge? Kama jibu ni ndiyo, je ni Ubunge wa Kuteuliwa yaani viti maalum tu au hata Ubunge wa Uwakilishi Jimboni?

Swali lako linaweza kuwa zuri lakini limekosewa kwani linataka jibu la "ndio" au "hapana". Swali sahihi linapaswa kuwa ni "vipi mbunge anaweza kupoteza Ubunge wake?" au "Mbunge anapoteza vipi sifa za kuendelea kuwa Mbunge?"
 
ningoje nini tena?Utenguzi wa Posi ni uthibitisho tosha kuwa anajaribu kufix makosa yake,hajui tu kuwa anazidi kuongeza makosa.
Sio makosa wewe tueleze ulichokidai,mambo ya kusema kufix makosa yake ni kuwa na uelewa wenu mdogo na haraka zenu ,shida ni kujifanya nyie ni werevu wakati hakuna kitu kama hicho,mbunge kuteuliwa au kupewa nyadhifa nyingine sio jambo la ajabu au kitu kipya ndio maana nikakwambia ngoja kwanza kabla hujakurupuka kwa kuleta ngonjera za kitoto,wewe ndio unajaribu kufix makosa yako.
 
Wenye kutambua mambo yanavyoenda zamu hii wameshakuwa bize na kujiongezea kipato,jamani jifunze kuelewa zama zimebadilika sana.Bunge live hakuna,zimepigwa kelele hapa miezi kibao hapa JF,ila amri ni moja hakuna bunge live.,ikaja mikutano ya kisiasa ikapigwa marufuku,zikapigwa kelele hapa weee siku kibao na watu wakatokwa povu kibao lakini mwisho wa siku kimya.. Ok mwenyekiti CDM kaanzisha UKUTA kupinga udikteta,ulipigwa mkwara mmoja tu na siku moja tu.. Hakuna cha UKUTA wala UKUTI na wote kimya.Ngoja nirudi kwenye thread.. ,kitakachofanyika ni hiki Dr Posi ataandika barua ya kujiuzuru ubunge kwa aliyemteua kuwa mbunge,na ataipeleka.Na hakuna mwandishi wa habari wala nani kuwepo wala kupewa taarifa,maana haiwahusu fanyeni kazi zenu.Na nafasi za ubunge zitakuwa zimebaki tano za wanawake automatically na hakuna kuhoji.Mambo yamebadilika sana,,.. kama unaona hiii nchi kwako haikaliki tena hama nchi kwa muda rudi 2025,yale mambo mlizoea hayapo tena.Ongezeni ubunifu kila mtu alipo kwa namna yake,huwezi shindana na serikali mbaya zaidi serikali ya Tanzania.Utaishia kupotea tu na watu hawana habari wanaendelea na maisha kama kawaida,yupo wapi Ben Saa9??????????????
 
Back
Top Bottom