Je, Rais amevunja Katiba kwa kuteua cheo nje ya Katiba?

Kumbuka tu: Ikiwa Rais wa Tanzania ana uwezo mpaka wa kuteua na kutenguwa Rais wa nchi nyingine atakosa uwezo wa kuteua naibu waziri mkuu?
Uongo mtupu...

Ateue sasa Rais mpya wa Gabon maana aliyekuwapo ameshapinduliwa.
 
Nakumbuka Salim Ahmed Salim pamoja na Augustine Lyatonga Mrema waliwahi kuteuliwa kwenye nafasi za naibu waziri mkuu wakati wa utawala wa Alli Mwinyi, kama sijasahau.
Lakini kwa hili nafikiri Kasim anatakiwa sasa achukue tahadhari ama ajiuzulu, kwasababu hii sio dalili njema kwa afya ya cheo chake, na ikumbukwe kwamba Kasim hakua chaguo la mama kua prime minister.
KWANI KASSIM MWENYEWE ANASEMAJE?
TUANZIE HAPO
 
Back
Top Bottom