Je, Rada zinashindwaje kuziona Drones?

Iran miezi michache nyuma wali fanikiwa ku- intercept drone ya US.iliyosaiwa kufanya ujasusi kwa kuingia anga ya Iran.

Tusubiri hii silaha mpya(supersonic ballistic missile ) iliyozinduliwa juzi na Russia INA speed kuliko mwanga iwapo INA weza ika be detected na radar.

Sent using Jamii Forums mobile app
speed kuliko mwanga?,siyo,sema kuliko sauti..zinapimwa kwa,, march,,ambayo ndiyo speed ya sauti,,march 1,2,3,4,....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iran miezi michache nyuma wali fanikiwa ku- intercept drone ya US.iliyosaiwa kufanya ujasusi kwa kuingia anga ya Iran.

Tusubiri hii silaha mpya(supersonic ballistic missile ) iliyozinduliwa juzi na Russia INA speed kuliko mwanga iwapo INA weza ika be detected na radar.

Sent using Jamii Forums mobile app
NA speed kuliko mwanga?Una uhakika wa hii speed ya MWANGA ama unahisi tu?
 
Teknolojia inapogunduliwa kuna watu wao kazi yao ni kuiovertake hiyo Teknolojia.Kwa hiyo Teknolojia ya Anga ndio inafanya Rada kufeli.High speed drones pia uwezo wa rada unatakiwa kuwa up to date.Pia anae controll rada anaweza kupitiwa na Usingizi au K-vant inamuathiri.Pia Drone za sasa zina uwezo wa kupiga tokea mbali na rada na kufikisha target yao.

Sent using Jamii Forums mobile app

Nimecheka sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahah kweli ujinga ni ugonjwa...eti INA speed kuliko mwanga hahahahahahhahahhahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahah
Mwanangu wa darasa la 3 mwenyewe humdanganyi kitoto hivi
Hapa nipo nawasha tochi kisha nazima naangalia hiyo speed ya mwanga
 
Hapa nipo nawasha tochi kisha nazima naangalia hiyo speed ya mwanga
Yani hilo bom wakilituma Kwenye jua litatumia less than 8sec kufika na wakilituma Kwenye mwezi litachukua chini ya sekunde moja kufika.....absurd
 
Yani hilo bom wakilituma Kwenye jua litatumia less than 8sec kufika na wakilituma Kwenye mwezi litachukua chini ya sekunde moja kufika.....absurd

Mwanga kutoka jua hadi duniani ni dk 7-8 na siyo sekunde. Kutoka duniani to Mars ni dk 17. Its quiet alot.
 
Hahahah kweli ujinga ni ugonjwa...eti INA speed kuliko mwanga hahahahahahhahahhahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahah
Mwanangu wa darasa la 3 mwenyewe humdanganyi kitoto hivi
Nadhani mdau hajui anamaanisha nini, mambo mengine bora kukaa kimya kuliko kuanika ujinga wako, jamaa anasema bila aibu eti speed zaidi ya mwanga!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iran miezi michache nyuma wali fanikiwa ku- intercept drone ya US.iliyosaiwa kufanya ujasusi kwa kuingia anga ya Iran.

Tusubiri hii silaha mpya(supersonic ballistic missile ) iliyozinduliwa juzi na Russia INA speed kuliko mwanga iwapo INA weza ika be detected na radar.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wa russia wameshazidiwa na Israel ambao wamegundua majuzi tek ya kutungua missiles kwa kutumia laser beam yenye spidi na gharama ndogo sana sawa sawa na bure na inafanya kazi mazingira yote mvua mawingu n.k umbali wowote na haikosei shabaha.

Hivyo mizigo ya Iran itatunguliwa na laser Iran ndio anategemea s300 za Urusi kwa ulinzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimemshangaa sana huyo jamaa anaesema speed zaidi ya mwanga, hivi anaijua 3×10^8 m/s au anatania uyo kiumbe. Em arudi vidudu

Distributed Denial-of-Service
With relativity, as an object approaches the speed of light, its momentum approaches infinity. Hata sindano tu na udogo wake ikiwa na speed ya mwanga itakuwa na uwezo wa kuharibu kabisa dunia nzima !!
 
Naomba kuuliza wataalam wenye uelewa wa kijeshi,inakuwaje Rada za nchi lengwa kwa Drones zinashindwa kugundua mashambulizi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Radar zinajamishwa (jammed) au "drones" au ndege yoyote ile inaweza kurushwa ukawa fulani ambapo "radar" hai detect. Au zinaweza kutumika teknolojia za material ambazo radar signals hazi bounce, zinapitiliza, au hurushwa vifaa ambavyo huichanganya mifumo ya radar.

Nakushauri anza kwa kusoma na kuelewa "radar" zinafanyaje kazi kisha soma kuhusu "anti radar" labda utaelewa kinachofanyika.
 
Iran miezi michache nyuma wali fanikiwa ku- intercept drone ya US.iliyosaiwa kufanya ujasusi kwa kuingia anga ya Iran.

Tusubiri hii silaha mpya(supersonic ballistic missile ) iliyozinduliwa juzi na Russia INA speed kuliko mwanga iwapo INA weza ika be detected na radar.

Sent using Jamii Forums mobile app
Uwongo,haiwezi kuwa na speed kuliko mwanga
 
Back
Top Bottom